John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa chama hicho hakiutambui uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 na matokeo yake ni batili hivyo chama hicho kimetaka uchaguzi huo ufutwe.
Aidha Heche amesema kuwa Tume ya Uchaguzi haina sifa ya kuwa Tume Huru ya uchaguzi na kwamba tume hiyo ifutwe.
Ndoto za mchana.John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa chama hicho hakiutambui uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 na matokeo yake ni batili hivyo chama hicho kimetaka uchaguzi huo ufutwe.
Aidha Heche amesema kuwa Tume ya Uchaguzi haina sifa ya kuwa Tume Huru ya uchaguzi na kwamba tume hiyo ifutwe.