waliorudi ccm na kujiunga ni wengi kuliko walioondokaNadhani ungefanya tathmini kidogo kuanzia 2015 kuona watu waliotoka CDM wakaenda CCM na kutoka CCM wakaenda CDM. Kwa tathmini hiyo ungeweza kuja na asilimia(%) za movements from one party to another and back. Nadhani hiyo ingeweka hali halisi na ingeendana na hoja yako!
Lete data kaka, naomba useme CDM to CCM...%, CCM to CDM....%. Twende kisayansi kama CCM ilivyochukua kata 42 kisayansi!waliorudi ccm na kujiunga ni wengi kuliko walioondoka
Waache uwana Harakati Hakuna Taswila ya Nguvu ya umma (the so called Peoples power) Watengeneze Muundo unao eleweka wa Masilahi ya kila mmoja kwa Majukumu yake Nijuavyo mimi Mkono mtupu haulambwi Kujitolea sawa lazima kuwe na mwisho siyo unajtolea Mwanzo mwishoSio siri tena; Kuna tatizo kubwa sana ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Hakuna haja ya kuendelea kulificha Bali kulikabili na kulitatua.
Haiwezekani wanachama kila uchwao wakawa wanaondoka tu bila kuwepo sababu za msingi??
Hata kama sababu zinaweza kuwa dhaifu kwa wengine lakini uwepo wa sababu zinazobebana unathibitisha kuwepo kwa tatizo.
Kuna tatizo kubwa sana CHADEMA..
Kuna tatizo kubwa kwa wanaohamia CHADEMA, tena la uelewa na kujitambua. Kuhama CHADEMA ni dalili kuwa wanaofanya hivyo wamekua na kukomaa kisiasa.Sio siri tena; Kuna tatizo kubwa sana ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Hakuna haja ya kuendelea kulificha Bali kulikabili na kulitatua.
Haiwezekani wanachama kila uchwao wakawa wanaondoka tu bila kuwepo sababu za msingi??
Hata kama sababu zinaweza kuwa dhaifu kwa wengine lakini uwepo wa sababu zinazobebana unathibitisha kuwepo kwa tatizo.
Kuna tatizo kubwa sana CHADEMA..
Msingi wa ukabila kwenye vyama una historia nadhani wengi mnaijua;Msingi wa Chadema ulijengwa katika ukanda na ukabila kama ambavyo msingi wa Cuf ulivyojengwa katika udini na Upemba kwa maana hiyo vyama hivi lazima vitajimaliza vyenyewe na kamwe wasiisingizie CCM!!
Zigo mumeo sizonje[emoji196] [emoji90] [emoji216] [emoji379] [emoji379] [emoji218]hahahaha.eti mwiba.mwiba kivipi? ana kipi kipya? amechafua CHADEMA hadi sasa haieleweki
alafu aliwaambia eti mpige kura yeye atazilinda..Hhahaha..what happened?
This guy is just overrated.Na hio overrating ndio iliwachanganya chadema hadi kupokea zigo la mavi
FactsNdugu mwenyekiti Freeman Mbowe kuna sehemu kama chama kikuu cha upinzani nchini tumekosea, nguvu ya chama inaendelea kupwaya.
Kama kiongozi mkuu jaribu kusikiliza maoni mbali mbali ya wanachama na wapenzi wenye nia njema ya kuona CHADEMA kinaimarika na kushika dola.
Kuendelea kuilaumu CCM badala ya kutafakari kwa kina wapi tumekosea hakutanusuru kuanguka kwa chama chetu.
Kwa mfano ajenda yetu kwa sasa ni ipi?, Mbona wale tuliosema wachafu kwa miaka mingi tunawapokea na kusema ni wasafi ?, Tatizo ni nini?, Usafi wao unakuwepo wakihamia upande wetu?
Je wananchi na baadhi ya wanachama wafia chama wanatuelewaje?
Mkuu mwenyekiti, Freeman Mbowe, bila tafakuri ya kina jahazi linazama pole pole, mitandaoni vijana tumebakiza matusi na kejeri, je ndo yataimarisha chama chetu?, wale vijana mahili wajenga hoja na wachambuzi wa sera wako wapi siku hizi?.
Wakati ni sasa, bado hatujachelewa, tubadili mbinu na mikakati ya kuimarisha CHADEMA.
Angalizo, mbinu ziwe ni zile zisizo na madhara kwa raia na mali zao.
Hakuna CHADEMA ilipo kosea labda kama hoja yako imekaa kinafiki nafiki wakati ukweli unaujua , CCM Inatumia rushwa wazi wazi tena kwa kukiri kabisa na haichukuliwi hatua , wanatumia jeshi la polisi kukandamiza upinzan kwa nguvu zote na kuvuruga uchaguzi wa uhuru na hakiNdugu mwenyekiti Freeman Mbowe kuna sehemu kama chama kikuu cha upinzani nchini tumekosea, nguvu ya chama inaendelea kupwaya.
Kama kiongozi mkuu jaribu kusikiliza maoni mbali mbali ya wanachama na wapenzi wenye nia njema ya kuona Chadema kinaimarika na kushika dola.
Kuendelea kuilaumu CCM badala ya kutafakari kwa kina wapi tumekosea hakutanusuru kuanguka kwa chama chetu.
Kwa mfano ajenda yetu kwa sasa ni ipi?, mbona wale tuliosema wachafu kwa miaka mingi tunawapokea na kusema ni wasafi ?, tatizo ni Nini?, usafi wao unakuwepo wakihamia upande wetu?
Je wananchi na baadhi ya wanachama wafia chama wanatuelewaje?
Mkuu mwenyekiti, Freeman Mbowe, bila tafakuri ya kina jahazi linazama pole pole , mitandaoni vijana tumebakiza matusi na kejeri, je ndo yataimarisha chama chetu?, wale vijana Mahili wajenga hoja na wachambuzi wa sera wako wapi siku hizi?.
Wakati ni Sasa, bado hatujachelewa, tubadili mbinu na mikakati ya kuimarisha Chadema
Angalizo, mbinu ziwe ni zile zisizo na madhara kwa raia na mali zao
Ndugu mwenyekiti Freeman Mbowe kuna sehemu kama chama kikuu cha upinzani nchini tumekosea, nguvu ya chama inaendelea kupwaya.
Kama kiongozi mkuu jaribu kusikiliza maoni mbali mbali ya wanachama na wapenzi wenye nia njema ya kuona CHADEMA kinaimarika na kushika dola.
Kuendelea kuilaumu CCM badala ya kutafakari kwa kina wapi tumekosea hakutanusuru kuanguka kwa chama chetu.
Kwa mfano ajenda yetu kwa sasa ni ipi?, Mbona wale tuliosema wachafu kwa miaka mingi tunawapokea na kusema ni wasafi ?, Tatizo ni nini?, Usafi wao unakuwepo wakihamia upande wetu?
Je wananchi na baadhi ya wanachama wafia chama wanatuelewaje?
Mkuu mwenyekiti, Freeman Mbowe, bila tafakuri ya kina jahazi linazama pole pole, mitandaoni vijana tumebakiza matusi na kejeri, je ndo yataimarisha chama chetu?, wale vijana mahili wajenga hoja na wachambuzi wa sera wako wapi siku hizi?.
Wakati ni sasa, bado hatujachelewa, tubadili mbinu na mikakati ya kuimarisha CHADEMA.
Angalizo, mbinu ziwe ni zile zisizo na madhara kwa raia na mali zao.
Agenda ya chama chochote ni kushika dola hizo nyingine ni mengineyoNdugu mwenyekiti Freeman Mbowe kuna sehemu kama chama kikuu cha upinzani nchini tumekosea, nguvu ya chama inaendelea kupwaya.