Ni kweli wanalumumba[emoji196] [emoji90] [emoji379] [emoji379] hawasikii la mnadi wala kengele ya katolikiNi lini hawa jamaa waliwahi kukubali ushauri?
Hawasikiagi LA mnadi swala wala LA mpiga kengele kanisani.
Hii mihemuko ndo tatizo, ujuaji wa Kila kitu, hatujikosoi, hatukosoi, tuko sahihi always, na Kila anaetoa mawazo tofauti na tunavyotaka ni mwendawazimu. Poa Mkuu, yetu macho, its a matter of time, neno nigelijua huja baadaeHakuna CHADEMA ilipo kosea labda kama hoja yako imekaa kinafiki nafiki wakati ukweli unaujua , CCM Inatumia rushwa wazi wazi tena kwa kukiri kabisa na haichukuliwi hatua , wanatumia jeshi la polisi kukandamiza upinzan kwa nguvu zote na kuvuruga uchaguzi wa uhuru na haki
wanatumia vijana wa kihuni kushambulia wapinzani na kuwajeruhi na kuwaua pamoja na kuwateka mbele polisi Ref: arumeru na hakuna hatua yeyote imechukuliwa ,wanatumia sijui watu gani**** kuteka na kupotezea watu kusiko julikana na wengine kuvizia upizani na kufyatulia risasi hadharani Ref: tundu lissu, nassari leo hapo bado takukuru hawafanyii uchunguzi swala lolote linalo husu upinzani zaid zaid takukuru itawatishia upinzani Ref: tukio la nassari na ushhid wa rushwa bado mahakama itapiga dana dana mashauri yanayo husu chadema ,,
hafu eti mjinga mmoja sijui kichaa anatoka huko aliko toka kuuliza chadema imekosea wapi?!? Wewe lazima utakuwa mwendawazimu.
Kwahiyo mkuu wewe unaamini chadema siyo chama cha kikabila?!Msingi wa ukabila kwenye vyama una historia nadhani wengi mnaijua;
Ilianzia kwenye uchaguzi wa 2010 wakati Mh. Kikwete anagombea na Dr. Slaa. Nadhani kila mtu anakumbuka vuguvugu lilivyokua kali,CCM walitumia mbinu moja kuisambaratisha CDM kuwa imejengwa kwa misingi ya ukabila (Kanda ya Kaskazini). Hii iliwafavor CCM kupata kura za wenye kupinga ukabila kama alivyotukuza Mwl. Nyerere. Lakini dhambi ya ubaguzi huwa haiishi, ndio inaendelea kukua mpaka leo na kujenga chuki na sio kwa CCM na CDM tu, na imeenda mpaka sasa hivi JPM anaitwa wa kanda ya ziwa. Haya ndio madhara ya kutumia silaha ambayo inaweza na wewe kukurudia na kukuangamiza! "Synthetic lethality"
Dua insha Allah mwenyezi mungu awaondolee jazba na harufu mbaya ya midomo!Hakuna CHADEMA ilipo kosea labda kama hoja yako imekaa kinafiki nafiki wakati ukweli unaujua , CCM Inatumia rushwa wazi wazi tena kwa kukiri kabisa na haichukuliwi hatua , wanatumia jeshi la polisi kukandamiza upinzan kwa nguvu zote na kuvuruga uchaguzi wa uhuru na haki
wanatumia vijana wa kihuni kushambulia wapinzani na kuwajeruhi na kuwaua pamoja na kuwateka mbele polisi Ref: arumeru na hakuna hatua yeyote imechukuliwa ,wanatumia sijui watu gani**** kuteka na kupotezea watu kusiko julikana na wengine kuvizia upizani na kufyatulia risasi hadharani Ref: tundu lissu, nassari leo hapo bado takukuru hawafanyii uchunguzi swala lolote linalo husu upinzani zaid zaid takukuru itawatishia upinzani Ref: tukio la nassari na ushahid wa rushwa, bado mahakama itapiga dana dana mashauri yanayo husu chadema ,,wakati huo tume ya uchaguzi inaendeleza usanii wake wa kukandamiza upinzani bado bunge nalo halijaja na kauli mbiu ya '' wewe wabane bungeni mimi nitawashughulikia huku nje'' hahahhaaa
halafu eti mjinga mmoja sijui kichaa anatoka huko aliko toka kuuliza chadema imekosea wapi?!? Wewe lazima utakuwa mwendawazimu. Hilo swali ungeuliza kama vyama vyote biwe na uhuru sawa pasipo mbeleko ya jeshi la polisi ,tume ya uchaguzi, bunge na mahakama
Sawa kwa unayoyasema inaonesha CCM hawataki kuachia dola by any means....Chadema wamejipangaje kukabil hii hali ?? Kulaumu tu hakuwez kusaidia....Hakuna CHADEMA ilipo kosea labda kama hoja yako imekaa kinafiki nafiki wakati ukweli unaujua , CCM Inatumia rushwa wazi wazi tena kwa kukiri kabisa na haichukuliwi hatua , wanatumia jeshi la polisi kukandamiza upinzan kwa nguvu zote na kuvuruga uchaguzi wa uhuru na haki
wanatumia vijana wa kihuni kushambulia wapinzani na kuwajeruhi na kuwaua pamoja na kuwateka mbele polisi Ref: arumeru na hakuna hatua yeyote imechukuliwa ,wanatumia sijui watu gani**** kuteka na kupotezea watu kusiko julikana na wengine kuvizia upizani na kufyatulia risasi hadharani Ref: tundu lissu, nassari leo hapo bado takukuru hawafanyii uchunguzi swala lolote linalo husu upinzani zaid zaid takukuru itawatishia upinzani Ref: tukio la nassari na ushahid wa rushwa, bado mahakama itapiga dana dana mashauri yanayo husu chadema ,,wakati huo tume ya uchaguzi inaendeleza usanii wake wa kukandamiza upinzani bado bunge nalo halijaja na kauli mbiu ya '' wewe wabane bungeni mimi nitawashughulikia huku nje'' hahahhaaa
halafu eti mjinga mmoja sijui kichaa anatoka huko aliko toka kuuliza chadema imekosea wapi?!? Wewe lazima utakuwa mwendawazimu. Hilo swali ungeuliza kama vyama vyote biwe na uhuru sawa pasipo mbeleko ya jeshi la polisi ,tume ya uchaguzi, bunge na mahakama
Chooni ni wapi na sebuleni ni wapi hasa?Toka lini mtu akatoa kinyesi chooni na kukileta sebuleni akabaki salama.[emoji45]
Pascal Mayalla unajitoa ufahamu!Wanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, hivyo ni kawaida, ukifanya ukosoaji wowote kuihusu Chadema humu jf, utanyooshewa vidole kuwa wewe ni CCM. Nafanya ukosoaji wangu constructively, truthfully with objectivity, impartiality and balancing, hivyo nawashauri Chadema, wawe tayari kupokea na kuuzingatia ushauri wowote, hata kama ushauri huo unatoka kwa kichaa au kwa shetani, ili kujitafakari na kujitathinini, kama inajidhania imesimama, na uiangalie isianguke. CHADEMA msipuuzie ushauri hata kama ni kutoka kwa shetani!, S ...
Utangulizi
Hili ni bandiko la ushauri wa bure kwa Chadema, na unatolewa na mtazamaji wa muda mrefu wa mchezo wa siasa nchini Tanzania, ambaye ameangalia tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania, uchaguzi wa jimbo la Kwahani, 1994, uchaguzi mkuu wa 1995, 2000, 2005, 2010, na 2015. Ushauri wenyewe ni kuhusu hii hama hama ya wanachama na viongozi wa Chadema kuhamia CCM. Naishauri Chadema Wajitafakari!, Wasiwabeze Wanaohama Kama Wafanyavyo CCM, Wanaohama Chadema, Wana Hoja za Msingi, Chadema Wanadhani Adui Yao Mkuu Anaowanya Kushindwa Kwenda Ikulu ni CCM, Kiukweli Adui Mkuu wa Chadema Sio CCM, Nitawatajia Adui Mkuu wa Chadema, na Mwisho Nitawapa Ushauri Chadema Wafanye Nini, Waweze Kuingia Ikulu 2025 Magufuli atakapomaliza and only if Magufuli atamaliza 2025!, kwa sababu haya ninayoshauri, kwa uchaguzi wa 2020, saa hizi tayari ni too little too late, na Magufuli ni just too powerful kiasi kwanza hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, uchaguzi wa rais wa 2020 utakuwa ni igizo tuu la uchaguzi, lakini mshindi tayari ni Magufuli, hivyo wote watakaompinga Magufuli 2020, itakuwa ni kujifurahisha tuu, hivyo Chadema Watake Wasitake, Lazima Wabadilike, Vinginevyo...its the end of the road kwa Chadema, tunarudi kwenye nchi ya Chama Kimoja.
Why Chadema?
Tanzania japo tuna vyama vya siasa zaidi ya 22, lakini vyama vikubwa ni CCM, Chadema na CUF, by now CUF is already a gone case, hivyo tunapozungumzia upinzani Tanzania, tunazungumzia Chadema. Kifo cha CUF hichoo... chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee ...
Justification ya Kuikosoa Chadema kwa Mtu Ambaye Sii Mwanachama.
Mashabiki na manazi wa Chadema humu jukwaani, ukifanya ukosoaji wa Chadema, au kutoa ushauri wowote kuhusu Chadema, watakubeza unashauri kama nani?. Kwa sababu Chadema ni public party paid by taxpayers money, then the taxpayers have the right to know the conduct of their tax, hivyo Watanzania wote wana right kujua mambo yote ya Chadema, public na private, ni haki yao kwa sababu kinaendeshwa kwa kodi zao!.
Kwanini Uishauri Chadema, Kwa Wao Wenyewe Hawajioni na Kujishauri?.
Ushauri huu nautoa kwa dhana kuwa Viongozi wa Chadema, wanachama wao, wafuasi wao, washabiki wao na manazi wa Chadema humu jf, wote ni pro Chadema, wako ndani ya box la Chadema, hivyo wanaweza wasiwe na uwezo wa kuona nje ya box, soso tulioko nje ya box ambao ni watazamaji, tunaweza kuwa tunaiona Chadema vizuri Zaidi kwa nje, kuliko waliomo ndani ya chama, lakini pia kuna walioko ndani, wanayaona madhaifu na mapungufu ya Chadema from within, lakini kwa vile wamo, wanakosa objectivity ya kujiambia, kujitathinini na kujikosoa, hata hivyo tathmini ya kweli, inapaswa ifanywe na watu wa nje na sio kujitathmini yenyewe.
Chadema Isiwabeze Wanaohama, Ni Haki Yao, Ila Pia Izingatie Hoja Zao, Wana Hoja za Msingi
Kati ya wanachama na viongozi wa Chadema wanaohamia CCM, kuna wengine wanahama kimya kimya bila kusema sababu, kuna wengine wananunuliwa, na kuna wengine na haswa baadhi ya viongozi, wanapohama, wanaandika barua Chadema na kuaga kwa kutoa sababu, ziwe ni sababu za kweli au ni visingizio tuu, lakini kuna kitu wanasema, na wengine hawasemi chochote kuhusu Chadema lakini siku wanapokelewa CCM, Chadema, japo ni kweli wengi kinachowahamisha Chadema ni njaa zao tuu, na wanakwenda CCM kufukuzia fursa, lakini kuna baadhi, wana hoja za msingi sana, hivyo Chadema inatakiwa kutozipuuza hoja zao, isisikilize na kujitathmini kuhusu ukweli wa hoja hizo.
A Way Forward, Chadema Ifanye Nini.
Ni hayo kwa uchache, nikikumbuka mengine nitayaongeza.
- Kwanza Chadema ijitathmini, is it on the right track?, itambue makosa yake, ikubali makosa, ijirekebishe, isonge mbele. CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!
- Ianzishe grassroots recruitment ya wanachama wake waaminifu, isije kujikuta imewakumbatia CCM ndani, Chadema nje hadi ndani ya CC yake, kama ilivyotokea kwa Mwenyekiti wa Bavicha.
- Ianzishe headhunting na spotting leadership talents na able people toka kwenye jamii kujiunga Chadema na kujenga kada ya viongozi wake wa kesho, born and breed in Chadema, kwa kuwafanyia grooming, ili kupata wagombea wake wa nafasi mbalimbali za uongozi.
- Ipunguze kushobokea makapi kutoka CCM, wana CCM wanaojitoa CCM na kujinga Chadema, wawe wanachama wa kawaida tuu kama wanachadema wengine na sio kupapatikiwa na kupewa uongozi moja kwa moja.
- Chadema I invest on people na mass mobilization, na sio ku invest on vitu na mikutano tuu ya hadhara, kupitia social media na kumiliki media yake yenyewe, kutawafikia watu wengi Zaidi kuliko kutegemea mikutano na maandamano pekee.
- Chadema irudishe ukomo wa uongozi, hata kiongozi awe mzuri vipi, anafikia kiwango cha ukomo wake na kuwa kama saturated solution, he can do no more than what he can!, anakuwa hana jipya!, pia Chadema waandae succession plan, by now, wawe na a pool of able people from within kushika nafasi zote za uongozi, na kuendesha serikali, kungekuwa na ukomo, by now watu wangejua Mbowe amefikia ukomo wa uwezo wake, hivyo nani watampokea.
- CCM ni chama dola, hivyo Chadema isitumie model ya CCM kuitafuta ikulu, iandae model yake yenyewe ya kupata viongozi wake na wagombea wake, mtindo wa the democrats ya US ni mzuri kuanzia kwenye primaries.
- Kuondokana na viongozi ving'ang'anizi na miungu watu, maadamtarget ni kuingia ikulu, umeshindwa kuuingiza Chadema ikulu, unapisha wengine wanaendeleza, sio umeshindwa hala unang'ang'ania!.
- Kuwafanyia tathmini wabunge wake na kukubalika kwao, na kuwe hakuna haki miliki ya majimbo, mfano 2020, Mdee anatathminiwa amefanya nini Kawe for 10 years, na jee bado anakubalika?, Wanachadema wote wenye uwezo, wawe huru kumchallenge Mdee, akitokea mwanachama mwingine mwenye sifa Zaidi, uwezo Zaidi na kukubalika Zaidi, Mdee anawekwa pembeni, vinginevyo 2020, kuna majimbo kibao Chadema mtayarudisha CCM!.
- Chadema kionyeshe ukomavu na kuwa ni chama mbadala kwa kuachana na cheap politics ya siasa za matukio, na kujikita kwenye real politics ya kushindanisha sera, sio kwa kupinga kila kitu, CCM ikifanya mazuri, mfano elimu bure, Chadema ikubali hili ni zuri, lakini ionyeshe ingekuwa Chadema ingefanya bora zaidi kwa elimu bure hadi chuo kikuu, kwa kuonyesha how CCM inatapanya fedha kwa mambo yasiyo na maana, halafu inanyanyasa Watanzania masikini kwa kuwanyima mikopo. Chadema wajifunze kuibomoa CCM kwa hoja na sio siasa za matukio, mfano mwaka 2020, Magufuli anaingia ulingoni akiwa na elimu bure, ndege za ATCL zinapaa dunia nzima, flyovers, reli ya SGR, na Tanzania ya viwanda. Chadema lazima waje na sera mbadala kuonyesha jinsi ATCL, flyovers na SGR zilivyowatia umasikini Tanzania, kama fedha hizo zingewekezwa kwenye sekta ya kilimo nini kingepatikana, bila kuinua sekta ya kilimo, hiyo Tanzania ni Tanzania ya viwanda gani vinavyotumia malighafi gani?. Ijikite kwenye hoja kama hizi Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas ...
- Chadema ipiganie a level playing field kwenye the political ground, kupitia tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, haiwezekani watu wawili wanagombea urais, mgombea mmoja anakuja na vingora, na full government media team, paid by public money for the advantage ya CCM, halafu, mwingine with nothing, halafu utegemee kushinda!.
- Chadema ipiganie true free and fair elections with maximum transparency, kama hakuna manouvers zozote zinazofanywa na Tume ya Uchaguzi, kwa nini wazueie party tallying?, wanaogopa nini, kama matokeo yote hadi ya urais yanabandikwa vituoni mbele ya mawakala wa vyama, kuna kosa gabi kama mawakala wote watakuwa na smart phones, ku scan matokeo na kutuma makao makuu kwenye tallycenters za vyama, kama haki itatendeka, then tallying za vyama zitafana na tallying ya NEC, what is it there to hide kuzuia tallying?.
- Chadema kutimiza majukumu yake kikamilifu kama Chama cha upinzani kazi yake sio tuu kuikosoa serikali, bali ku I check serikali kuhakikisha inafuata katiba na kutekeleza sharia, taratibu na kanuni, mfano, katika kuzuia mikutano ya kisiasa, rais Magufuli amevunja katiba wazi wazi kabisa mchana kweupe!, chama chochote makini, by now, kingeifungua shauri mahakamani, ili mahakama itoe tafsiri rasmi, kama itathibitisha rais amevunja katiba, anashitakiwa na bunge, na kuondolewa madarakani!. Mfano hata suala dogo tuu kama Daudi Bashite, nilishauri Je, wajua suala vyeti vya Bashite, linaweza kabisa kumng'oa Rais ...
- Chadema waipinge CCM kwa kujikita kwenye hoja zenye maslahi kwa taifa, ujinga, umasikini, maradhi, rushwa na ufisadi, kwa kuonyeshea CCM katika kipindi chote cha miaka 50, CCM imeshindwa, na katika rushwa na ufisadi, Chadema iwaeleze wananchi, CCM ndio shina na mlezi wa rushwa zote na mafisadi karibu wote ni CCM!, ili wananchi waelewe kuwa CCM inapigana vita ilivyovilea na kuvijenga.
Paskali
Nadhani ushauri wangu ni kufutwa kwa vyama vyote vya upinzani tanzania ndio itakuwa salama yao maana vinginevyo wataendelea kupewa vilema kila siku. Maana na polisi na kwa sifa hawajambo na ukizingatia polisi wengi wa sasa ni adolescent sSawa kwa unayoyasema inaonesha CCM hawataki kuachia dola by any means....Chadema wamejipangaje kukabil hii hali ?? Kulaumu tu hakuwez kusaidia....
Huo ndio ukweli nadhan nitapeleka hoja binafsi bungeni ya kuvifuta vyama vya upinzani tanzania maana inaonekama kama nchi hatukuwa na maandalizi mazuri kuvipokea hatukujipanga ndio maana upinzani wamekuwa maadui wakuu serikalin na wana windwa kama digi digiDua insha Allah mwenyezi mungu awaondolee jazba na harufu mbaya ya midomo!
upinzani wa tanzania huwezi upata sehemu yoyote duniani ni wa malalamiko kwenye vyombo vya habari!Huo ndio ukweli nadhan nitapeleka hoja binafsi bungeni ya kuvifuta vyama vya upinzani tanzania maana inaonekama kama nchi hatukuwa na maandalizi mazuri kuvipokea hatukujipanga ndio maana upinzani wamekuwa maadui wakuu serikalin na wana windwa kama digi digi
Sasa assume wewe ndio upinzani tanzania unadhan nje na vyombo vya habari ungelalamikia wapi? Maan polisi hawako upande wako ,mahakama tia maji tia maji tume haiko upande wako nankote ukipeleka taatifa au ukilalamika huko hawatoi msaada wowote mfa. Nassari alitoa taarifa juu ya tukio la rushwa na video clip akawasilisha na muhusika akakiri tena mbele ya media na hakuna kilicho fanyika bado utaendelea kupeleka malalamiko yako hukko? Swala la lissu jee lipo kwenyw vyombo husika nini kinaendelea hadi sasa, walio tekwa ! Taatifa zipo sehwemu husika nini kimefanyika, wanao vamia mikutano ya upinzan tena na silaha za moto na wengine na sare kabisa je jeshi na vyombo husika vimetoa msaada ganiupinzani wa tanzania huwezi upata sehemu yoyote duniani ni wa malalamiko kwenye vyombo vya habari!
Hata mimi nimeshtukia hiyo ilikuwa gia ya kuzima msiba wa "kuondokewa" na Wema...CHADEMA mnakoelekea siko acheni kiki na matukio fanyeni siasa,
Mtu kafanikiwa kutoroka wakaua mbwa