....CHADEMA mnakoelekea siko acheni kiki na matukio fanyeni siasa,
Yaan chama kinachotegemea kushika dola ndo kinafanya mambo haya
Mtu kafanikiwa kutoroka wakaua mbwa
CHADEMA mnakoelekea siko acheni kiki na matukio fanyeni siasa,
Yaan chama kinachotegemea kushika dola ndo kinafanya mambo haya
Mtu kafanikiwa kutoroka wakaua mbwa
Kwa hiyo unashauri nini?Msingi wa Chadema ulijengwa katika ukanda na ukabila kama ambavyo msingi wa Cuf ulivyojengwa katika udini na Upemba kwa maana hiyo vyama hivi lazima vitajimaliza vyenyewe na kamwe wasiisingizie CCM!!
Mnachekesha sana. Mahakamani hamumpeleki kama kweli mna hoja. Mmekalia kurudia kelele.Kaka Pascal Mayalla, nakubaliana na hoja yako. Lakini, ugonjwa mkubwa uliobaki na kuwasumbua CHADEMA ni kuwepo kwa Lowassa na kundi lake. Kundi la Lowassa likiondoka kwa kuhamia chama kingine au kuanzisha chama chao, CHADEMA itarejea kwenye njia yake. Hakika, uwepo wa Lowassa na kundi lake ni jambo gumu sana kwa CHADEMA kwakuwa inakuwa na muda mwingi wa kujibu tuhuma kuliko kujijenga.
Waandishi akiwamo Paschal wanaogopa kuiambia serikali ukweli, inapovunja sheria, katiba ya nchi. Kuzuia vyama kufanya siasa. Hata maombi kwa Lissu, kumtolea damu, yalizuiliwa eti ni mkutano wa siasa. Lakini mkullu alipotumia shughuli ya kutoa kamisheni JWTZ, kufanya siasa hakuna aliekosoa. Inapominya uhuru wa habari KIMYA.Leo kwa hii way foward nimekuunga miguu na mikono mheshimiwa!!Hapa unafiki tuache umesema ukweli tupu. Mnyonge tumnyonge ila haki yake tumpe. Pascal sometimes unakuwaga hueleweki ila kwa leo hapo way foward hakuna ulichobakiza na kama viongozi wa CDM wako huku wakiifanya hii ndio blue print yao ikulu wanaiona mapema ila wakishupaza shingo kama wamekula dawa ya kuharisha ndio wataendelea kupiga kelele kama kasuku na kuiona ikulu kwenye picha.
Ushauri toka kwa mchawi wako? Mbona wachekesha.Ni lini hawa jamaa waliwahi kukubali ushauri?
Hawasikiagi LA mnadi swala wala LA mpiga kengele kanisani.
Msingi wa Chadema ulijengwa katika ukanda na ukabila kama ambavyo msingi wa Cuf ulivyojengwa katika udini na Upemba kwa maana hiyo vyama hivi lazima vitajimaliza vyenyewe na kamwe wasiisingizie CCM!!
Viongozi wa Chadema katika mikoa uliyotaja 85% wanatokea mkoa mmoja wa kaskazini. Hata mbunge wa ilemela katika mwaka ulioutaja alitokea mkoa huo huo wa kaskazini!Misingi ya ubaguzi ni mtazamo tu na kutumika na wanasiasa kugawa watu. Kama ilivyosasa, je ni kweli Rais anaendesha na kuteua kwa ubaguzi wa kikanda au ukabila. Nadhani, historia iko wazi, inategemea wapi wa vyama wamechaguliwa na kuonekana kupata wafuasi wemgi kwa asili yao. Je Mbeya, Songwe, Iringa, Mwanza (2010-2015), na arusha nako ni ukabila? Kusemwa kusemwa kuwa kuna chama cha ukabila, udini na ukanda ndio chanzo cha kuanza kubaguana. Hii mitazamo ya kibaguzi ndiyo itakayotuletea ubaguzi wa wazi kwa sababu kuna voingozi wanakua wataamini hivyo. Maana kwa sasa kila chama kinalalamikiwa kwa ubaguzi unaweza kuwa wa kikanda, ukabila, udini. Dhana hii inamharibia hata Rais kwani watu badala ya kuangalia weledi, wanasikilizia aliyeteuliwa ametoka wapi? wakuu wa taasisi wengi wanalalamikiwa kutoka kanda ya victoria. Ni dhana potofu, itatumaliza siku zijazo.
Mkuu umewashauri kwa nia njema subiri waje wakulipe matusi!
Ni sawa na kutumia akili ya huyuMaswali kuntu kabisa hayo!
Ila tatizo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.