CHADEMA mkitaka kupata kura 2025 acheni kauli za chuki kwa JPM


Kuna ukweli kiasi,
Lakini nadhani Mbowe atakuwa kashukuru na kusifia kuwa bimaza kafata sheria na katiba inavyotaka
 
..Jk aliiba.

..Jpm alipora.

..kuna tofauti kati ya mwizi na jambazi.
Wote wamekuibia iwe kwa njia ya wizi au kupora, sema mlishazoea tu kuibiwa kura sasa tatizo limekuwa badala ya kutafuta njia ya kuondoa tatizo nyie mnalalamika kukuwa kwa tatizo.
 
Wote wamekuibia iwe kwa njia ya wizi au kupora, sema mlishazoea tu kuibiwa kura sasa tatizo limekuwa badala ya kutafuta njia ya kuondoa tatizo nyie mnalalamika kukuwa kwa tatizo.

..Jpm alikuwa katili na muuaji.

..na kibaya alifanya waziwazi na kuweka machawa wa kushabikia ukatili wake.

..Jk yeye alijiweka mbali na mambo ya kinyama. Pale alipohusika alifanya kwa kificho.
 
Magufuli na uharibifu aliofanya kwa taifa hili ni mada muhimu katika mikutano ya CDM. Ngoja Tundu Lissu aje mtaona na kusikia ufedhuli wote bila kumumunya kitu!
 
Na magufuli hakua kipenzi cha wananchi bure tu. Aliyabeba matakwa yao moyoni.
Nyie mnaompima magufuli kwa kupotea ben saanane, kupotea yule mwandishi jasusi aliyekua anaenda kule rufiji kupeleleza jinsi polisi wanawafyeka wale magaidi, kupigwa risasi tundu lissu mtu aliyemtukana jpm eti ndio rais wa ovyo haijawahi kutokea, mkidhani ndio mambo yatawafanya watanzania kumchukia magufuli hakika mnapoteza muda na mumepotea dira.
Magufuli alikua anaongoza vita vya kiuchumi kulikomboa taifa kutoka unyonyaji wa mabeberu na vikaragosi wake nchini. Hili wananchi walielewa sana. Nyie vikaragosi wa mabeberu mnajua kazi aliyofanya magufuli kuwazibia rizki kwa kuwaibia na kuwanyonya raia. Hamlitaji hili la uchumi ila mnaleta mambo ya kipuuzi tu hayana maana kwa maslahi ya umma. Eti magufuli alikua dikteta, ooh ben saa nane kapotea. Ujinga mtupu.
Wafuasi wa umagufuli wanajipanga kupata mrithi atakayeendeleza ndoto na maono ya magufuli. Wasipompata ccm watamtafuta kwingine.
 
..Jpm alikuwa katili na muuaji.

..na kibaya alifanya waziwazi na kuweka machawa wa kushabikia ukatili wake.

..Jk yeye alijiweka mbali na mambo ya kinyama. Pale alipohusika alifanya kwa kificho.
Ulimboka alimfanyia unyama kwa kificho? Halafu watu hayo mambo hayawashughulishi kabisa watu ndio kwanza wanaona Samia hawamuelewi bora Magufuli tofauti na Mbowe na Zitto wenye kumsifia Samia.
 
Utachopanda ndicho utachovuna! Chuki naamin haiji kwa bahati mbaya bali ilipandwa mbegu ya chuki!! Ndo maan utawala wa sasa umeamua kuondoa taratibu hiyo mbegu ya uadui, chuki, na uhasama!!
Na Chadema mnaambulia fedheha toka kwa Wananchi.
 
Ulimboka alimfanyia unyama kwa kificho? Halafu watu hayo mambo hayawashughulishi kabisa watu ndio kwanza wanaona Samia hawamuelewi bora Magufuli tofauti na Mbowe na Zitto wenye kumsifia Samia.

..jpm alimzidi Jk kwa kupiga na kuumiza wapinzani, hilo halina ubishi.

..na baada ya kuumiza wapinzani jpm akasambaza watu wake wa propaganda kuzidi kuwachafua wahanga walioumizwa.

..kwa mfano sikuwahi kumsikia mzee kinana km Ccm wakati wa Jk akimchafua dr.ulimboka.

..wakati wa jpm km dr.bashiru na mwenezi polepole, waziri wa mambo ya ndani, msemaji wa serikali, igp, walikuwa mstari wa mbele kupayuka matusi dhidi ya majeruhi wa utawala wa jpm.
 
Hatuachi tutamchapa kwa kila aina ya silaha firauni yule
 
wanasiasa wazuri huwa wanaongea kile wananchi wanachotaka kusikia ila CHADEMa viongozi wao wanaongea kile kinachowanufaisha wao binafsi wakiendelea hivi watabaki na wimbo wa kuibiwa kura
 
Kule rufiji likitajwa jina LA Magufuli watu wanalipuka kwa shangwe huko
Anakochukiwa ni wap
 
Magufuri yupi unayemsema weye Samia anastahili pongezi sana yani Mbowe anapomsema Samia vizuri baadhi ya wanaccm hawapendi kusikia hivvyo nawewe ni miong'oni mwao
 
"Sasa Rahi" Nosense
 
Lakini ulimpa kura yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…