- Thread starter
- #21
Hizi ni enzi za teknolojia si lazima mkutane chini ya mwembe kupeana mikakati.Si mko huku JF mnapambana??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni enzi za teknolojia si lazima mkutane chini ya mwembe kupeana mikakati.Si mko huku JF mnapambana??
Huko hutakiwi kutoa maoni wala kuhoji. Leo mfia chama Quinine anatukanwa punga la Lumumba! teh teh teh...Duuh!! Mkuu huyo ni kamanda mwenzio wa Ufipa!! Hahahaha
Unasema kweli, ila unasahau kuwa we are operating in a full-blown dictatorship! Angalia nchi zote za kidikiteita, udikiteita uliokomaa kama wa hapa, hakuna ulipofanyika uchaguzi upinzani ukashinda. Incumbent presidents in full-blown dictatorship win elections by 99.9999%! Quinine unafanyaje katika hali hiyo? Kama hakuna resistance ya UMMA with sacrifice of LIFE, then unless foreign intervention mounts, upinzani hauwezi ukiwa ndani ya nchi! Nani ajitoe kupigwa risasi kama Sudan? Yahya Jameh aliondoka baada ya internal resistance ku mount with life loss and foreign intervention! ..ECOWASHuwezi kukiondoa madarakani chama kikongwe kama CCM kwa kulalamika kwenye vyombo vya habari, au kusubiri kigawanyike, unaweza kusubiri isiwe na kulalamika tu hakutoshi.
Hadi sasa hatuoni movement yeyote serious kuonyesha kweli mna nia ya kuingia ikulu, pamoja na operation Chadema ni msingi kwa mfano, mnaweza kuandaa makongamano ya kimataifa pale Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, mkaita vyombo mbalimbali vya ndani na nje, investors, mabalozi, mkaalika known public speakers ikiwezekana kutoka nje, mkatumia fursa hiyo kueleza sera zenu na jinsi mtakavyozitekeleza mtakapochukua madaraka. Huo ni mkakati mmoja tu wa kujitangaza ndani na nje mkaaminika. Hatuoni mkifanya hivyo.
Sioni mkakati wa kuunganisha nguvu, nilisikia wapinzani wameanzisha Azimio la Zanzibar sijui limeishia wapi, nchini Kenya haikuwa kazi rahisi kuiondoa KANU, vyama vya upinzani viliungana baadhi ya viongozi wao wali sacrifice vyeo vyao.
Siyo lazima muweke wazi mikakati yote lkn angalau wapiga kura waanze kuona mwelekeo wa chama towards 2020, siyo mbali, ikiwezekana wamjue mshika kibendera siyo waje kushitukizwa dakika za mwisho kama mlivyofanya kwenye uchaguzi uliopita.
Kushinda uchaguzi ni zaidi ya sanduku la kura, ingekuwa sanduku leo Lowassa angekuwa rais na Self angekuwa rais wa Zanzibar, sanduku la kura ni kitendo cha kuhalalisha (legitimise) mikakati yako uliyofanya kabla, ya halali na isiyo halali.
If you don't plan you are planning to fail.
Uko sahihi, pamoja na hali hiyo, je wasalimu? haiwezekani sasa nini kifanyike ndio hoja yangu, wana mikakati gani kukabiliana na hizo changamoto, je wamehamasisha umma kutekeleza walichopanga umma hauku respond? kama wanaona serikali na au mahakama hazitawatendea haki wamejaribu kupeleka mashitaka yao sehemu nyingine? nk nk.Unasema kweli, ila unasahau kuwa we are operating in a full-blown dictatorship! Angalia nchi zote za kidikiteita, udikiteita uliokomaa kama wa hapa, hakuna ulipofanyika uchaguzi upinzani ukashinda. Incumbent presidents in full-blown dictatorship win elections by 99.9999%! Quinine unafanyaje katika hali hiyo? Kama hakuna resistance ya UMMA with sacrifice of LIFE, then unless foreign intervention mounts, upinzani hauwezi ukiwa ndani ya nchi! Nani ajitoe kupigwa risasi kama Sudan? Yahya Jameh aliondoka baada ya internal resistance ku mount with life loss and foreign intervention! ..ECOWAS
Aisee.. Kwa hivo hiyo ndio mikakati yao chini ya Katibu mkuu makini Dr. Mashinji?Nadhani kwa sasa wanamuacha bwana yule atambe na ajidanganye kuwa anakubalika ila wakati wa kampeni ukifika,wataanza kutema cheche na hapo bwana yule na chama chake ndio watajua wanakubalika kiasi gani.
Kwa sasa, wamebanwa, ila wanapata nafasi ya kukusanya madhaifu na kasoro za bwana yule na wakati ukifika wataanza kuyasema majukwaani.
Mkuu, kusubiri kushinda dakika za mwisho mbaya sana yasipoenda kama mlivyotazamia mnaweza kujikuta timu nzima imechanganyikiwa kila mtu anacheza style yake (kisiasa kila mgombea anapigania jimbo lake).Nadhani kwa sasa wanamuacha bwana yule atambe na ajidanganye kuwa anakubalika ila wakati wa kampeni ukifika,wataanza kutema cheche na hapo bwana yule na chama chake ndio watajua wanakubalika kiasi gani.
Kwa sasa, wamebanwa, ila wanapata nafasi ya kukusanya madhaifu na kasoro za bwana yule na wakati ukifika wataanza kuyasema majukwaani.
Mkuu chakaza, CCM hawategemei sanduku la kura bali mikakati halali na haramu, najua Chadema kweli inaenda vijijini kitu tulichokuwa tunashauri siku zote lkn kama iko serious inataka kuingia ikulu inatakiwa iende zaidi ya hapo, iandae timu ya IT yenye vijana wenye uwezo, election is all about numbers, kwa hili muulize February.Nilijaribu kufuatilia vile vikao vya ndani maeneo mbalimbali ya nchi nikagundua kuwa Chadema ya sasa ni imara zaidi kuliko wakati wote. Katika mazingira kama haya ya sasa chini ya Magufuli anayekandamiza Uhuru wa kisiasa kwa kutumia dola na unyanyasaji Chadema ingekuwa imekufa kama wanavyo tabiri lakini hamasa ilionekana ni kubwa na sio kama wakati wa Dr Slaa ambapo ushabiki ulikuwa mkubwa.
Sasa hivi hata Chawata wanaonekana tena kwa ujasiri mkubwa hadi polisi wanaona watumie mabavu kwa hao wanawake.
Ni kweli ni vizuri kuanza sasa hivi kumnadi wanaye taka kumsimamisha au wakae na vyama halisi vya mabadiliko mapema kijulikane kama ni mbwai na iwe mbwai
Tunasubiri Magu akatwe hapo mwakani.Tunasubiri matukio ya chama Dume CCM
Endelea kuota mkuu!!Tunasubiri Magu akatwe hapo mwakani.
Kwani kuna tatizo gani Mbowe, Zitto kwenda ikulu na walio ikulu kwani walitoka mwezini.Hvi Chadema na mdogo wake Zitto kabwe, eti wachukue nchi, Lissu anaenda Ikulu na Mbowe , wanaanza kupanga Baraza la mawaziri,.....ha ha haaaaa....bangi zingine sio nzuri
Huwezi kukiondoa madarakani chama kikongwe kama CCM kwa kulalamika kwenye vyombo vya habari, au kusubiri kigawanyike, unaweza kusubiri isiwe na kulalamika tu hakutoshi.
Hadi sasa hatuoni movement yeyote serious kuonyesha kweli mna nia ya kuingia ikulu, pamoja na operation Chadema ni msingi, kwa mfano, kuliko kuishia kufanya press conference pale Ufipa, mnaweza kuandaa makongamano ya kimataifa Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, mkaita vyombo mbalimbali vya ndani na nje, investors, mabalozi, mkaalika known public speakers ikiwezekana kutoka nje, mkatumia fursa hiyo kueleza sera zenu na jinsi mtakavyozitekeleza mtakapochukua madaraka. Huo ni mkakati mmoja tu wa kujitangaza ndani na nje mkaaminika, huwezi kushinda bila support ya nje. Hatuoni mkifanya hivyo.
Sioni mkakati wa kuunganisha nguvu, nilisikia wapinzani wameanzisha Azimio la Zanzibar sijui limeishia wapi, nchini Kenya haikuwa kazi rahisi kuiondoa KANU, vyama vya upinzani viliungana baadhi ya viongozi wao wali sacrifice vyeo vyao.
Siyo lazima muweke wazi mikakati yote lkn angalau wapiga kura waanze kuona mwelekeo wa chama towards 2020, siyo mbali, ikiwezekana wamjue mshika kibendera siyo waje kushitukizwa dakika za mwisho kama mlivyofanya kwenye uchaguzi uliopita.
Kushinda uchaguzi ni zaidi ya sanduku la kura, ingekuwa sanduku leo Lowassa angekuwa rais kwa sababu naimani alipata kura nyingi na Self angekuwa rais wa Zanzibar, sanduku la kura ni kitendo cha kuhalalisha (legitimise) mikakati yako uliyofanya kabla, ya halali na isiyo halali.
If you don't plan you are planning to fail.
Tunasubiri matukio ya chama Dume CCM
Nadhani kwa sasa wanamuacha bwana yule atambe na ajidanganye kuwa anakubalika ila wakati wa kampeni ukifika,wataanza kutema cheche na hapo bwana yule na chama chake ndio watajua wanakubalika kiasi gani.
Kwa sasa, wamebanwa, ila wanapata nafasi ya kukusanya madhaifu na kasoro za bwana yule na wakati ukifika wataanza kuyasema majukwaani.
Naona upande wa pili waweka sawa polisi
Hao sio presidential material kwa sasa, ni wazur kwenye kujenga hoja na kushawishi, but kwenye kufanya maamuz wako hovyo mno Kwa sasa, hawafai kuongoza nchi ambayo 70% hawana Elimu anagalau Kwa level ya diploma au Form six, hao wanafaa endapo nchi ingekuwa na wakazi 70% wenye elimu na utambuz....Kwani kuna tatizo gani Mbowe, Zitto kwenda ikulu na walio ikulu kwani walitoka mwezini.
Sasa wewe punga LA Lumumba wakwambie mikakati yao ikusaidie nin wewe endelea kuliwa hapo Lumumba.
Duuh!! Mkuu huyo ni kamanda mwenzio wa Ufipa!! Hahahaha
Asante kwa kuchangia.
Nilijaribu kufuatilia vile vikao vya ndani maeneo mbalimbali ya nchi nikagundua kuwa Chadema ya sasa ni imara zaidi kuliko wakati wote. Katika mazingira kama haya ya sasa chini ya Magufuli anayekandamiza Uhuru wa kisiasa kwa kutumia dola na unyanyasaji Chadema ingekuwa imekufa kama wanavyo tabiri lakini hamasa ilionekana ni kubwa na sio kama wakati wa Dr Slaa ambapo ushabiki ulikuwa mkubwa.
Sasa hivi hata Chawata wanaonekana tena kwa ujasiri mkubwa hadi polisi wanaona watumie mabavu kwa hao wanawake.
Ni kweli ni vizuri kuanza sasa hivi kumnadi wanaye taka kumsimamisha au wakae na vyama halisi vya mabadiliko mapema kijulikane kama ni mbwai na iwe mbwai