Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwani wewe ni shoga?
Labda wawe na raisi Wa mashoga ila kwenye nchi JPM anatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wawe na raisi Wa mashoga ila kwenye nchi JPM anatosha
Mleta mada ana hoja ya msingi ambayo ninadhani ina mantik. Sisi wapenxi wa mabadiliko ya kweli ya kidemokrasia tunajitaji kutiwa moyo na kauli za mara kwa mara zinazoonesha kuwa kuna mkakati wa ushindi au wa kuhakikisha kuwa hata tukishindwa hatushindwi kwa kishindo.
Binafsi natamani coalition ya Chadema na vyama vingine kikiwemo ACT Wazalendo. Na ninatumaini makosa ya 2015 hatutarudia. Natamani ukimya toka chadema na vyamba mbadala upungue na sisi wapenzi tusikose la kusema!
Je unataka kujua mbinu zao ili ufanyeje? Hiyo ni siri yao. Je CCM mna mikakati gani?
Muda mwingine ukipata utulivu akili inakurudia!
Endelea kuota mkuu!!
Hvi Chadema na mdogo wake Zitto kabwe, eti wachukue nchi, Lissu anaenda Ikulu na Mbowe , wanaanza kupanga Baraza la mawaziri,.....ha ha haaaaa....bangi zingine sio nzuri
Mkuu chakaza, CCM hawategemei sanduku la kura bali mikakati halali na haramu, najua Chadema kweli inaenda vijijini kitu tulichokuwa tunashauri siku zote lkn kama iko serious inataka kuingia ikulu inatakiwa iende zaidi ya hapo, iandae timu ya IT yenye vijana wenye uwezo, election is all about numbers, kwa hili muulize February.
Aisee.. Kwa hivo hiyo ndio mikakati yao chini ya Katibu mkuu makini Dr. Mashinji?
We hujui chadema wote mashogaKwani wewe ni shoga?
Well said...wasipokiwasha sasa hv 2020 watakua na changamotoHuwezi kukiondoa madarakani chama kikongwe kama CCM kwa kulalamika kwenye vyombo vya habari, au kusubiri kigawanyike, unaweza kusubiri isiwe na kulalamika tu hakutoshi.
Hadi sasa hatuoni movement yeyote serious kuonyesha kweli mna nia ya kuingia ikulu, pamoja na operation Chadema ni msingi, kwa mfano, kuliko kuishia kufanya press conference pale Ufipa, mnaweza kuandaa makongamano ya kimataifa Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, mkaita vyombo mbalimbali vya ndani na nje, investors, mabalozi, mkaalika known public speakers ikiwezekana kutoka nje, mkatumia fursa hiyo kueleza sera zenu na jinsi mtakavyozitekeleza mtakapochukua madaraka. Huo ni mkakati mmoja tu wa kujitangaza ndani na nje mkaaminika, huwezi kushinda bila support ya nje. Hatuoni mkifanya hivyo.
Sioni mkakati wa kuunganisha nguvu, nilisikia wapinzani wameanzisha Azimio la Zanzibar sijui limeishia wapi, nchini Kenya haikuwa kazi rahisi kuiondoa KANU, vyama vya upinzani viliungana baadhi ya viongozi wao wali sacrifice vyeo vyao.
Siyo lazima muweke wazi mikakati yote lkn angalau wapiga kura waanze kuona mwelekeo wa chama towards 2020, siyo mbali, ikiwezekana wamjue mshika kibendera siyo waje kushitukizwa dakika za mwisho kama mlivyofanya kwenye uchaguzi uliopita.
Kushinda uchaguzi ni zaidi ya sanduku la kura, ingekuwa sanduku leo Lowassa angekuwa rais kwa sababu naimani alipata kura nyingi na Self angekuwa rais wa Zanzibar, sanduku la kura ni kitendo cha kuhalalisha (legitimise) mikakati yako uliyofanya kabla, ya halali na isiyo halali.
If you don't plan you are planning to fail.
Unachangia huku unamlaani mleta uzi kwa kuwavua nguo kwamba mpaka muda chama hakina muelekeo!Unafikiri ni kauzu kama wewe?
Mahaba huwa yamekuzidi hutaki kujitathimini kama hivi!Mbona akili yangu iko vizuri tu siku zote labda huwa unanisoma wakati umevaa miwani ya mbao.
Umejitoa lini huko....!?Ni kweli ni vizuri kuanza sasa hivi kumnadi wanaye taka kumsimamisha au wakae na vyama halisi vya mabadiliko mapema kijulikane kama ni mbwai na iwe mbwai
Upinzani umefungwa mikono na miguu, huku watawala wakiwa huru kufanya wanachokitaka, popote pale na escort ya polisi wanapata, media attention wanapewa...Huwezi kukiondoa madarakani chama kikongwe kama CCM kwa kulalamika kwenye vyombo vya habari, au kusubiri kigawanyike, unaweza kusubiri isiwe na kulalamika tu hakutoshi.
Hadi sasa hatuoni movement yeyote serious kuonyesha kweli mna nia ya kuingia ikulu, pamoja na operation Chadema ni msingi, kwa mfano, kuliko kuishia kufanya press conference pale Ufipa, mnaweza kuandaa makongamano ya kimataifa Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, mkaita vyombo mbalimbali vya ndani na nje, investors, mabalozi, mkaalika known public speakers ikiwezekana kutoka nje, mkatumia fursa hiyo kueleza sera zenu na jinsi mtakavyozitekeleza mtakapochukua madaraka. Huo ni mkakati mmoja tu wa kujitangaza ndani na nje mkaaminika, kwa dunia ya leo huwezi kushinda urais bila support ya nje. Hatuoni mkifanya hivyo.
Sioni mkakati wa kuunganisha nguvu, nilisikia wapinzani wameanzisha Azimio la Zanzibar sijui limeishia wapi, nchini Kenya haikuwa kazi rahisi kuiondoa KANU, vyama vya upinzani viliungana baadhi ya viongozi wao wali sacrifice vyeo vyao.
Siyo lazima muweke wazi mikakati yote lkn angalau wapiga kura waanze kuona mwelekeo wa chama towards 2020, siyo mbali, ikiwezekana wamjue mshika kibendera siyo waje kushitukizwa dakika za mwisho kama mlivyofanya kwenye uchaguzi uliopita.
Kushinda uchaguzi ni zaidi ya sanduku la kura, ingekuwa sanduku leo Lowassa angekuwa rais kwa sababu naimani alipata kura nyingi na Self angekuwa rais wa Zanzibar, sanduku la kura ni kitendo cha kuhalalisha (legitimise) mikakati yako uliyofanya kabla, ya halali na isiyo halali.
If you don't plan you are planning to fail.
Niko huko na Niko sana. Ila sio kiongozi hata wa mtaa hivyo tunawaambia tulio delegate power kwa watekeleze.Umejitoa lini huko....!?
Ha ha haa!! Mkuu kule, Nyumbani kumenoga, niko njianiNiko huko na Niko sana. Ila sio kiongozi hata wa mtaa hivyo tunawaambia tulio delegate power kwa watekeleze.
Mkuu TUJITEGEMEE karibu huku tubadili maisha na Uhuru wa Mtanzania
Kwani kuna tatizo gani Mbowe, Zitto kwenda ikulu na walio ikulu kwani walitoka mwezini.
Paragraph yako ya mwisho ndio hoja yangu.Upinzani umefungwa mikono na miguu, huku watawala wakiwa huru kufanya wanachokitaka, popote pale na escort ya polisi wanapata, media attention wanapewa...
Ni ngumu kutoboa, hata wanachama wako kukutana nao huna uhuru huo..
Mbinu zilizosalia ni kutumia nguvu ya uma, ila chadema hawako tayari ku_risk usalama wa raia wake kwa sasa...
So, maybe kuna mipango smart zaidi wanayo..ila kila physical mean wamebanwa...