Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
CCM inajiandaa kuhujumu upinzani kwenye hatua za kuchukua form uchaguzi mkuu 2020 pia.
Asanteni.
Asanteni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo kwa ajili ya kukera watu na comment zako zile zile za kucopy na kupaste kila uziHiyo Ndio demokrasia
Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati
mwingine TLP itatoa ushindani a sasa
Kwa mbinu hizi za kuwaengua wagombea wa upinzani nchi nzima hakika mtashinda kwa100%CCM inaanza kuunda ushindi wake wa kishindo 2020
Rais Magufuli hana upendeleo.....hapo ni Geita siyo Klm!Kama kweli CCM wanapendwa na wanasema wametenda mengi Makubwa na mazuri kwa nchi hii, serikali sikivu, serikali ya Wanyonge, then Why wanasumbuka kuiba kura, kukata wapinzani, kuteka na kutesa? Why?
Kwanini Wavamie mikutano ya Wapinzani? Wana Polisi, Mahakama, Binge, they got every thing in their possession! Bado wanaogopa! Conclusively, MTU wa namna hii ana tatizo la akili. View attachment 1264173View attachment 1264174
Hilo jalamba kuna siku litakuwa jambajamba.Waswahili husema " msione vyaelea vimeundwa"
Ndio, CCM inaanza kuunda ushindi wake wa kishindo 2020 kwa kupiga jalamba kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Anayebisha anatajie kifungu cha sheria kinachomzua mgombea aliyepita bila kupingwa kukutana na wananchi ili kujitambulisha na kuelezea sera zake.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaa....... acha uoga bwashee!Hilo jalamba kuna siku litakuwa jambajamba.