CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

Kisusie naona Zitto ameshinda vita dhidi ya mbowe

State agent
 
Uchaguzi mkuu ndiyo utakuwa balaa

Ova
 
Hiyo Ndio demokrasia

Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati

mwingine TLP itatoa ushindani a sasa
 
Tulia kijana; 2020 kitaeleweka tu...kwanza humo CCM moshi inafukamo.
 
Hata kiswahili tu kinakupa shida, eti na wewe ni asset ya CCM, ila ni sawa tu kwa sababu hata mwenyekiti wenu naye ni jinga la kutupwa kabisa
 
Form zao zitakubaliwa kupokelewa kwanza!!! Maama kama wanavijiji wanazuiliwa unafikiri wagombea ubunge watakuwaje. Tatizo ukiweka siasa mbele ya nchi ndiyo unakuwa unatoa pumba hivi
 
Kwa mazingira ya sasa hakuna tija kugombea unaweza ishia gerezani. Ili tuishi kwa amanai wacha ccm ishinde nafasi zote bila kupingwa na tunaimani baada ya miaka miwili kwa uongozi uliotukuka nchi itapaa kimaendeleo na kuanza kutoa misaada kwa nchi za ulaya
 
Waswahili husema " msione vyaelea vimeundwa"

Ndio, CCM inaanza kuunda ushindi wake wa kishindo 2020 kwa kupiga jalamba kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Anayebisha anatajie kifungu cha sheria kinachomzua mgombea aliyepita bila kupingwa kukutana na wananchi ili kujitambulisha na kuelezea sera zake.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kama kweli CCM wanapendwa na wanasema wametenda mengi Makubwa na mazuri kwa nchi hii, serikali sikivu, serikali ya Wanyonge, then Why wanasumbuka kuiba kura, kukata wapinzani, kuteka na kutesa? Why?

Kwanini Wavamie mikutano ya Wapinzani? Wana Polisi, Mahakama, Binge, they got every thing in their possession! Bado wanaogopa! Conclusively, MTU wa namna hii ana tatizo la akili.
IMG-20191115-WA0029.jpeg
IMG-20191115-WA0007.jpeg
 
Kama kweli CCM wanapendwa na wanasema wametenda mengi Makubwa na mazuri kwa nchi hii, serikali sikivu, serikali ya Wanyonge, then Why wanasumbuka kuiba kura, kukata wapinzani, kuteka na kutesa? Why?

Kwanini Wavamie mikutano ya Wapinzani? Wana Polisi, Mahakama, Binge, they got every thing in their possession! Bado wanaogopa! Conclusively, MTU wa namna hii ana tatizo la akili. View attachment 1264173View attachment 1264174
Rais Magufuli hana upendeleo.....hapo ni Geita siyo Klm!
 
Waswahili husema " msione vyaelea vimeundwa"

Ndio, CCM inaanza kuunda ushindi wake wa kishindo 2020 kwa kupiga jalamba kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Anayebisha anatajie kifungu cha sheria kinachomzua mgombea aliyepita bila kupingwa kukutana na wananchi ili kujitambulisha na kuelezea sera zake.

Maendeleo hayana vyama!
Hilo jalamba kuna siku litakuwa jambajamba.
 
Back
Top Bottom