CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

Kupata madaraka kwa ridhaa ya wananchi maana yake ni kuchaguliwa kwa kushawishi wananchi wakuchaguwe sio sawa sawa anayepata uongozi bila kupigiwa kura au kuiba kura za yule aliyeshinda.''That is not voksi populi voksi dei''
 
Hahahaaa....... acha uoga bwashee!
Bwashee mark my words. Mwenendo huu wa ukora wa haki za kidemokrasia haikubaliki hata kwa wazee wastaafu wa CCM. Angalia ule waraka wa wale wazee, angalia "comments" za akiba Warioba na Butiku, angalia "speech" ya kujimwambafai ya Jakaya, soma kitabu cha Ben na hisia zake kuhusu mwenendo mzima wa uhuru wa vyama vya upinzani nchini na tume huru ya uchaguzi, achilia mbali jalamba analopasha moto nalo Membe tuelekeapo 2020 huku akiungwa mkono na maelfu ya makada.
 
Waswahili husema " msione vyaelea vimeundwa"

Ndio, CCM inaanza kuunda ushindi wake wa kishindo 2020 kwa kupiga jalamba kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Anayebisha anatajie kifungu cha sheria kinachomzua mgombea aliyepita bila kupingwa kukutana na wananchi ili kujitambulisha na kuelezea sera zake.

Maendeleo hayana vyama!

Kukutana na wananchi zaidi ya ile rais anayofanya kupita nchi nzima kumwaga chuki dhidi ya wapinzani?
 
Rais Magufuli hana upendeleo.....hapo ni Geita siyo Klm!
Kwani unadhani Klm walijengewa shule na serikali? Fanya uchunguzi uelewe, wakati huko Geita, Chato, Bariadi nk mnajikita kwenye uchawi, kuchinja albino na kuwanga usiku wenzenu walikuwa wanasomesha na kujenga mashule
 
CCM wameogopa kutumia hata bao la mkono, sasa hivi wametumia Bao la Makalio uwiii poleni Mataga.
 
Kwani unadhani Klm walijengewa shule na serikali? Fanya uchunguzi uelewe, wakati huko Geita, Chato, Bariadi nk mnajikita kwenye uchawi, kuchinja albino na kuwanga usiku wenzenu walikuwa wanasomesha na kujenga mashule
Kuna mkoa wenye uchawi hapa Tanzania unaowazidi klm?!!
 
Anayebisha anatajie kifungu cha sheria kinachomzua mgombea aliyepita bila kupingwa kukutana na wananchi ili kujitambulisha na kuelezea sera zake.
Jiulize kama umepita bila kupingwa-je utatoa pesa yako mfukoni kwako ukapige hiyo jaramba? Kama si uwendawazimu huo ni nini?
 
Katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana, na Chama cha Mapinduzi kuibuka kidedea katika nafasi za uenyekiti wa mitaa, vijiji, vitongoji na ujumbe, vyama vya upinzani vilisusa kushiriki katika uchaguzi huo japo baadhi ya maeneo wapinzani walishiriki na kushinda baadhi ya nafasi.

Swali la msingi ni je wapinzani katika uchaguzi wa 2020 watasusa? Je kususa kwao wanamkomoa nani? Au tutarajie wakija na hoja mpya ya wao kushiriki katika uchaguzi huo?
 
Kura za Uchaguzi wa Serikal ya Mitaa hauongezi Ruzuku wala wabunge wa vitanda maalum ndio sababu wamegoma
 
....…..........Wewe aneth sikujua kinachoendelea so mpaka sasa wapinzani wamechukua mitaa/vitongoji vingapi?
 
Mbona una kiherehere sana subiri ufike huo mwaka 2020.Kwanza fanyeni sherehe ya Kupata ushindi mkubwa kuwahi kutokea hata wakati wa chama kimoja
 
Mbona una kiherehere sana subiri ufike huo mwaka 2020.Kwanza fanyeni sherehe ya Kupata ushindi mkubwa kuwahi kutokea hata wakati wa chama kimoja

Umeumia pole sana,hiyo ndio siasa,politics is a game of chance, ukizubaa unaliwa
 
Back
Top Bottom