CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

Unasema kweli, ila unasahau kuwa we are operating in a full-blown dictatorship! Angalia nchi zote za kidikiteita, udikiteita uliokomaa kama wa hapa, hakuna ulipofanyika uchaguzi upinzani ukashinda. Incumbent presidents in full-blown dictatorship win elections by 99.9999%! Quinine unafanyaje katika hali hiyo? Kama hakuna resistance ya UMMA with sacrifice of LIFE, then unless foreign intervention mounts, upinzani hauwezi ukiwa ndani ya nchi! Nani ajitoe kupigwa risasi kama Sudan? Yahya Jameh aliondoka baada ya internal resistance ku mount with life loss and foreign intervention! ..ECOWAS
 
Uko sahihi, pamoja na hali hiyo, je wasalimu? haiwezekani sasa nini kifanyike ndio hoja yangu, wana mikakati gani kukabiliana na hizo changamoto, je wamehamasisha umma kutekeleza walichopanga umma hauku respond? kama wanaona serikali na au mahakama hazitawatendea haki wamejaribu kupeleka mashitaka yao sehemu nyingine? nk nk.

Kama wapo wapo tu wanasubiri labda kuna siku polisi au NEC itawaonea huruma, never in Africa.
 
Aisee.. Kwa hivo hiyo ndio mikakati yao chini ya Katibu mkuu makini Dr. Mashinji?
 
Mkuu, kusubiri kushinda dakika za mwisho mbaya sana yasipoenda kama mlivyotazamia mnaweza kujikuta timu nzima imechanganyikiwa kila mtu anacheza style yake (kisiasa kila mgombea anapigania jimbo lake).

Wakati unasubiri uteme cheche dkk za mwisho mwenzako atakuwa anazimwagia maji huku tayari yeye anapoint mkononi, dawa ni kuanza sasa mikakati.
 
Mkuu chakaza, CCM hawategemei sanduku la kura bali mikakati halali na haramu, najua Chadema kweli inaenda vijijini kitu tulichokuwa tunashauri siku zote lkn kama iko serious inataka kuingia ikulu inatakiwa iende zaidi ya hapo, iandae timu ya IT yenye vijana wenye uwezo, election is all about numbers, kwa hili muulize February.
 
Hvi Chadema na mdogo wake Zitto kabwe, eti wachukue nchi, Lissu anaenda Ikulu na Mbowe , wanaanza kupanga Baraza la mawaziri,.....ha ha haaaaa....bangi zingine sio nzuri
 
Hvi Chadema na mdogo wake Zitto kabwe, eti wachukue nchi, Lissu anaenda Ikulu na Mbowe , wanaanza kupanga Baraza la mawaziri,.....ha ha haaaaa....bangi zingine sio nzuri
Kwani kuna tatizo gani Mbowe, Zitto kwenda ikulu na walio ikulu kwani walitoka mwezini.
 
Siyo siri tena ujio wa lowasa ndani ya cdm pamoja na kukiongezea chama kura lkn kumeleta athali kubwa sana ya kwa viongozi wetu wakuu.

Wamekuwa baridi sana bila kuwa mnafiki wanatuvunja moyo sana
 
Mkuu pamoja na hayo lazima tukili madhaifu ndani ya chama kwa sasa tunahitaji kuondoa huu ubaridi uliopo na nafikiri hii ni sumu ya lowasa
 
Kwani kuna tatizo gani Mbowe, Zitto kwenda ikulu na walio ikulu kwani walitoka mwezini.
Hao sio presidential material kwa sasa, ni wazur kwenye kujenga hoja na kushawishi, but kwenye kufanya maamuz wako hovyo mno Kwa sasa, hawafai kuongoza nchi ambayo 70% hawana Elimu anagalau Kwa level ya diploma au Form six, hao wanafaa endapo nchi ingekuwa na wakazi 70% wenye elimu na utambuz....

Kwa sasa nchi inahtaj raisi mwenye huruma tu na wananchi, hii nchi raisi ana uwezo wa kuchukua nusu ya bajeti akaweka mfukoni na hakuna wa kuhoji strictly Kwa sababu watz wengi ni bongo lala....
Mtu kama Zitto na Mbowe Kwa akli Yao ile uwape nchi, itakuwa umeuza nchi hawafai hata kidogo,
Slaa ndo alikuwa mtu sahihi, Kwa sasa kdogo labda Lissu japo ni mropokaji asiye na staha
 
Tusubiri baada ya 11.9.2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…