ROMUARD KYARUZI
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 683
- 465
Bwashee mark my words. Mwenendo huu wa ukora wa haki za kidemokrasia haikubaliki hata kwa wazee wastaafu wa CCM. Angalia ule waraka wa wale wazee, angalia "comments" za akiba Warioba na Butiku, angalia "speech" ya kujimwambafai ya Jakaya, soma kitabu cha Ben na hisia zake kuhusu mwenendo mzima wa uhuru wa vyama vya upinzani nchini na tume huru ya uchaguzi, achilia mbali jalamba analopasha moto nalo Membe tuelekeapo 2020 huku akiungwa mkono na maelfu ya makada.Hahahaaa....... acha uoga bwashee!
Waswahili husema " msione vyaelea vimeundwa"
Ndio, CCM inaanza kuunda ushindi wake wa kishindo 2020 kwa kupiga jalamba kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Anayebisha anatajie kifungu cha sheria kinachomzua mgombea aliyepita bila kupingwa kukutana na wananchi ili kujitambulisha na kuelezea sera zake.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani unadhani Klm walijengewa shule na serikali? Fanya uchunguzi uelewe, wakati huko Geita, Chato, Bariadi nk mnajikita kwenye uchawi, kuchinja albino na kuwanga usiku wenzenu walikuwa wanasomesha na kujenga mashuleRais Magufuli hana upendeleo.....hapo ni Geita siyo Klm!
Kuna mkoa wenye uchawi hapa Tanzania unaowazidi klm?!!Kwani unadhani Klm walijengewa shule na serikali? Fanya uchunguzi uelewe, wakati huko Geita, Chato, Bariadi nk mnajikita kwenye uchawi, kuchinja albino na kuwanga usiku wenzenu walikuwa wanasomesha na kujenga mashule
Jiulize kama umepita bila kupingwa-je utatoa pesa yako mfukoni kwako ukapige hiyo jaramba? Kama si uwendawazimu huo ni nini?Anayebisha anatajie kifungu cha sheria kinachomzua mgombea aliyepita bila kupingwa kukutana na wananchi ili kujitambulisha na kuelezea sera zake.
AiseKura za Uchaguzi wa Serikal ya Mitaa hauongezi Ruzuku wala wabunge wa vitanda maalum ndio sababu wamegoma
Wakina Aneth huwa hawawi na mawazo ya kipumbavu kama wewe.
[emoji16][emoji16][emoji16]dada aneth
....…..........Wewe aneth sikujua kinachoendelea so mpaka sasa wapinzani wamechukua mitaa/vitongoji vingapi?
Mbona una kiherehere sana subiri ufike huo mwaka 2020.Kwanza fanyeni sherehe ya Kupata ushindi mkubwa kuwahi kutokea hata wakati wa chama kimoja