Uchaguzi 2020 CHADEMA mna saa 24 kuanzia sasa kuweka pingamizi kwenye Majimbo mliyopoteza

Uchaguzi 2020 CHADEMA mna saa 24 kuanzia sasa kuweka pingamizi kwenye Majimbo mliyopoteza

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
CHADEMA nawaasa kuanzia leo saa 10 jioni mna saa 24 tu za kupinga uteuzi kwa maeneo yote ambayo viongozi wenu wamekatwa kwa hila za CCM.

Hakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa kama mtalala shauri yenu, wenzenu CCM hawalali.

Mapambano bado yanaendelea!
 
Kwa wanaojua taratibu za uchaguzi na sheria za nchi. Tumeona wagombea wengi wa CCM wanapita bila kupingwa, je, kuna utaratibu ambao waliokatwa na tume kuappeal au kuweka pingamizi juu ya uwamuzi wa msimamizi wa uchaguzi?
Nendeni mkawaambie hao wapuuzi waliotumia hila ili wapitishwe kuwa mwaka huu watu wamebalehe! Hakuna kupita tena kihuni!
 
Viongozi wa Chadema taifa naona Kama wameridhika Kuna uchafu mwingi sana wagombea wao wanafanyiwa huku majimboni lakini hatuoni hatua zozote walizochukua
Mi siwezi kuwalaumu kwa sababu naona concentration ilikuwa kwa nafasi ile kubwa kwanza, wangewachekea pale tume hali ingekuwa si hali. Huko majimboni hatua ya mapingamizi zinafuata mkuu
 
Tanzania ni nchi ya amani , hata makongamano ya dini yamefanyika mengi sana, hawa UVCCM na wakurugenzi wafanyayo hatujawtuma,
 
Kwa wanaojua taratibu za uchaguzi na sheria za nchi. Tumeona wagombea wengi wa CCM wanapita bila kupingwa, je, kuna utaratibu ambao waliokatwa na tume kuappeal au kuweka pingamizi juu ya uwamuzi wa msimamizi wa uchaguzi?
Utaratibu upo ni suala la ufuatiliaji kwenye Tume ya Taifa ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom