Uchaguzi 2020 CHADEMA mna saa 24 kuanzia sasa kuweka pingamizi kwenye Majimbo mliyopoteza

Hakuna kitu msidanganyane. Zitto anatetea ubunge na DJ anahangaika na KUB. Kama wana uhakika Lissu atashinda kwa nini wasisubiri nafasi 10 za kuteuliwa. RIP chadema
Sasa huo u KUB ataupataje Kama wanapoteza majimbo kizembe namna hii
 
Kwa wanaojua taratibu za uchaguzi na sheria za nchi. Tumeona wagombea wengi wa CCM wanapita bila kupingwa, je, kuna utaratibu ambao waliokatwa na tume kuappeal au kuweka pingamizi juu ya uwamuzi wa msimamizi wa uchaguzi?
Hakuna namna ya kupingwa iwapo umekatwa.

Sana sana unaweza kumuwekea pingamizi aliyepita ila maamizi ya tume yatakuwa final. Ni dhuluma wizi na upendeleo wa wazi wazi.
 
Anaweza kupinga kuenguliwa kwake kinyume na utaratibu hasa kama atakuwa na nakala ya fomu ambazo anaambiwa amekosea kuzijaza
Hiyo inaweza kufanyika mahakamani mara baada ya uchaguzi, siyo kwa msimamizi wa uchaguzi. Kwa sasa sheria ya uchaguzi haimtambui mgombea ambaye hakupitishwa kugombea kuweka pingamizi dhidi ya mgombea ambaye amepitishwa kuwa mbunge. Kanuni za sheria, pamoja na maofisa wa Serikali wanaotakiwa kuwekeza wagonbea mapingamizi, zinasema kuwa MTU mwenye mandate ya kuweka pingamizi dhidi ya mgombea, 'ni mgombea mwenzake, siyo vyama wala raia yeyote'
 
Hapana kuna utaratibu. Soma hapa

Uchaguzi 2020 - Huu ndio Utaratibu wa Kukata rufaa ndani ya masaa 24 kwa wagombea UBUNGE na Udiwani ambao hawajateuliwa na Tume ya Uchaguzi
 
"MAAGIZO TOKA KWA MWENYEKITI-UFIPA STREET':

"Chama hakitapoteza fedha kugharamia wagombea ktk Majimbo ambayo kwa asilimia 99 ni ngome za CCM , Wagombea wote mna wajibu wa kujigharamia wenyewe na hata kutengeneza Matukio na mizengwe mbalimbali itakayowaondoa kushiriki uchaguzi ili tupate Platfom ya Uminywaji wa Demokrasia Kimataifa....Zingatieni Mbinu 13 alizokuja nazo Lissu, Hatuwezi kutumia Ruzuku au fedha za Sponsors wetu kwa kuzitupa ,hivyo tujiandae kutumia Majimbo hayo ktk kupata Matukio ya kujijenga kisiasa kuliko kujitoa moja kwa moja kwa kutokufanya kitu kabisa" -DJ GASTURA.

Kama kuna bavicha alitegemea kumshinda Mgombea wa CCM kwa majimbo kama Ruangwa, Morogoro mjini nk basi hiki chama kimejaa watoto wa siasa
 
Mambo ya hovyo sana...... Hili dikteta la wabunge ambalo kazi yake ni kutetea serikali badala ya wananchi......
Hili lidudumtu Linaenda kupitisha kibabe sheria zaidi za kidikteta
Na utapanic sana nyumbu we!

Watu mko busy Lisu, Lisu, haya wenzenu walioko field ndio hao sasa wana wabunge 22 mpaka muda huu
 
CHADEMA nawaasa kuanzia leo saa 10 jioni mna saa 24 tu za kupinga uteuzi kwa maeneo yote ambayo viongozi wenu wamekatwa kwa hila za CCM.

Hakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa kama mtalala shauri yenu, wenzenu CCM hawalali.

Mapambano bado yanaendelea.!
Anayeweka pingamizi ni mgombea na siyo chama; sasa walioko korokoroni watawekaje pingamizi?
 
kwenye kata yangu kuna mpuuzi kapitishwa bila kupingwa. Chadema mnakwama wapi? Piganieni hili tafadhari bora mtu ashindwe kwenye ballot box sio huu ushindi wa kubebwa na watendaji wa kata
 
Sawa, Ila utaratibu huu unawahusu wagombea [waliowekewa mapingamizi], siyo raia wala vyama vya siasa. Hoja yangu (nimesoma kwenye kanuni 2020) ni kwamba mgombea ambaye hakuteuliwa anakosa locus stand ya kukata rufaa kwa kuwa, Kwanza, yeye siyo mgombea, pili, hakuna pingamizi analokatia rufaa kwa TUME.
 
"MAAGIZO TOKA KWA MWENYEKITI-UFIPA STREET':

"Chama hakitapoteza fedha kugharamia wagombea ktk Majimbo ambayo kwa asilimia 99 ni ngome za CCM , Wagombea wote mna wajibu wa kujigharamia wenyewe na hata kutengeneza Matukio na mizengwe mbalimbali itakayowaondoa kushiriki uchaguzi ili tupate Platfom ya Uminywaji wa Demokrasia Kimataifa....Zingatieni Mbinu 13 alizokuja nazo Lissu, Hatuwezi kutumia Ruzuku au fedha za Sponsors wetu kwa kuzitupa ,hivyo tujiandae kutumia Majimbo hayo ktk kupata Matukio ya kujijenga kisiasa kuliko kujitoa moja kwa moja kwa kutokufanya kitu kabisa" -DJ GASTURA.

Kama kuna bavicha alitegemea kumshinda Mgombea wa CCM kwa majimbo kama Ruangwa, Morogoro mjini nk basi hiki chama kimejaa watoto wa siasa
Dogo acha propaganda nyepesi nyepesi
 
Viongozi wa chadema wasimamie hili. Ndani ya masala 24 wananchi tuujuwe ukweli.kuna tunduma , sengerema, morogoro mjini n.k
hao wahuni wanaweza wakafunga hata ofisi zao leo ili siku ipite wasiweke pingamizi
 
kwenye kata yangu kuna mpuuzi kapitishwa bila kupingwa. Chadema mnakwama wapi? Piganieni hili tafadhari bora mtu ashindwe kwenye ballot box sio huu ushindi wa kubebwa na watendaji wa kata
Wewe umesaidia nini ,kabla hujalaumu?
Onesha ushiriki wako katika chama unachokiamini, chadema si Mbowe na lisu tuu, ni Mimi na wewe huko mitaani.
wajibika ,weka historia, Mikakati makinina
na ujue Moto hujibiwa kwa Moto tuu.
Kulia lia basi.
CCM hawana Huruma na mtu wako tayari kwa lolote hata ROHO na Kukutia kilema.
We endeleza mapambio.
 
"MAAGIZO TOKA KWA MWENYEKITI-UFIPA STREET':

"Chama hakitapoteza fedha kugharamia wagombea ktk Majimbo ambayo kwa asilimia 99 ni ngome za CCM , Wagombea wote mna wajibu wa kujigharamia wenyewe na hata kutengeneza Matukio na mizengwe mbalimbali itakayowaondoa kushiriki uchaguzi ili tupate Platfom ya Uminywaji wa Demokrasia Kimataifa....Zingatieni Mbinu 13 alizokuja nazo Lissu, Hatuwezi kutumia Ruzuku au fedha za Sponsors wetu kwa kuzitupa ,hivyo tujiandae kutumia Majimbo hayo ktk kupata Matukio ya kujijenga kisiasa kuliko kujitoa moja kwa moja kwa kutokufanya kitu kabisa" -DJ GASTURA.

Kama kuna bavicha alitegemea kumshinda Mgombea wa CCM kwa majimbo kama Ruangwa, Morogoro mjini nk basi hiki chama kimejaa watoto wa siasa
Umepanga mwenyewe,
Muongomkubwa wee
Hii si kauli ya Chama ngo
 
Sawa, Ila utaratibu huu unawahusu wagombea [waliowekewa mapingamizi], siyo raia wala vyama vya siasa. Hoja yangu (nimesoma kwenye kanuni 2020) ni kwamba mgombea ambaye hakuteuliwa anakosa locus stand ya kukata rufaa kwa kuwa, Kwanza, yeye siyo mgombea, pili, hakuna pingamizi analokatia rufaa kwa TUME.
Soma hapa Chadema mbona wameweza kata rufaa?
Screenshot_20200826-105931_Twitter.jpg
 
Hiyo inaweza kufanyika mahakamani mara baada ya uchaguzi, siyo kwa msimamizi wa uchaguzi. Kwa sasa sheria ya uchaguzi haimtambui mgombea ambaye hakupitishwa kugombea kuweka pingamizi dhidi ya mgombea ambaye amepitishwa kuwa mbunge. Kanuni za sheria, pamoja na maofisa wa Serikali wanaotakiwa kuwekeza wagonbea mapingamizi, zinasema kuwa MTU mwenye mandate ya kuweka pingamizi dhidi ya mgombea, 'ni mgombea mwenzake, siyo vyama wala raia yeyote'
Sasa kama hakuwa mgombea ataendaje mahakamani baada ya uchaguzi? wewe nawe unapotosha. Muhimu ni wao kuwasilisha malalamiko yao kwa ngazi ya juu ya tume; mbona wale wa Moshi lalamiko lao lilifanyiwa kazi na hawakuwa bado wagombea?
 
Kilimanjaro siyo elsewhere ndugu. Maamuzi ya NEC yanafanyika Kwa kuangalia potential damage.
 
"MAAGIZO TOKA KWA MWENYEKITI-UFIPA STREET':

"Chama hakitapoteza fedha kugharamia wagombea ktk Majimbo ambayo kwa asilimia 99 ni ngome za CCM , Wagombea wote mna wajibu wa kujigharamia wenyewe na hata kutengeneza Matukio na mizengwe mbalimbali itakayowaondoa kushiriki uchaguzi ili tupate Platfom ya Uminywaji wa Demokrasia Kimataifa....Zingatieni Mbinu 13 alizokuja nazo Lissu, Hatuwezi kutumia Ruzuku au fedha za Sponsors wetu kwa kuzitupa ,hivyo tujiandae kutumia Majimbo hayo ktk kupata Matukio ya kujijenga kisiasa kuliko kujitoa moja kwa moja kwa kutokufanya kitu kabisa" -DJ GASTURA.

Kama kuna bavicha alitegemea kumshinda Mgombea wa CCM kwa majimbo kama Ruangwa, Morogoro mjini nk basi hiki chama kimejaa watoto wa siasa

Kama wanashinda mbona hawataki kuruhusu uchaguzi wafanye kampeni?
 
Back
Top Bottom