Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,408
Kuna jambo hulielewi kuhusu pingamizi. MTU mwenye mandate ya kuweka pingamizi ni mgombea, au maafisa wa serikali au NEC. Sasa MTU ambaye jina lake halikuteuliwa atawekaje pingamizi wakati siyo mgombea?CHADEMA nawaasa kuanzia leo saa 10 jioni mna saa 24 tu za kupinga uteuzi kwa maeneo yote ambayo viongozi wenu wamekatwa kwa hila za CCM.
Hakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa kama mtalala shauri yenu, wenzenu CCM hawalali.
Mapambano bado yanaendelea.!