Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Acha umbeya. Uchafu gani? Hadi sasa 9-0Viongozi wa Chadema taifa naona Kama wameridhika Kuna uchafu mwingi sana wagombea wao wanafanyiwa huku majimboni lakini hatuoni hatua zozote walizochukua
Nendeni mkawaambie hao wapuuzi waliotumia hila ili wapitishwe kuwa mwaka huu watu wamebalehe! Hakuna kupita tena kihuni!Kwa wanaojua taratibu za uchaguzi na sheria za nchi. Tumeona wagombea wengi wa CCM wanapita bila kupingwa, je, kuna utaratibu ambao waliokatwa na tume kuappeal au kuweka pingamizi juu ya uwamuzi wa msimamizi wa uchaguzi?
Walichofanya sio sawa KABISA. Demokrasia gani hii jamani??Nendeni mkawaambie hao wapuuzi waliotumia hila ili wapitishwe kuwa mwaka huu watu wamebalehe! Hakuna kupita tena kihuni!
Mi siwezi kuwalaumu kwa sababu naona concentration ilikuwa kwa nafasi ile kubwa kwanza, wangewachekea pale tume hali ingekuwa si hali. Huko majimboni hatua ya mapingamizi zinafuata mkuuViongozi wa Chadema taifa naona Kama wameridhika Kuna uchafu mwingi sana wagombea wao wanafanyiwa huku majimboni lakini hatuoni hatua zozote walizochukua
Mkuu usihangaike na Hawa ving'asti..!Acha umbeya. Uchafu gani? Hadi sasa 9-0
Inashangaza! Wengi wanaangalia majimbo yao tuuViongozi wa Chadema taifa naona Kama wameridhika Kuna uchafu mwingi sana wagombea wao wanafanyiwa huku majimboni lakini hatuoni hatua zozote walizochukua
Utaratibu upo ni suala la ufuatiliaji kwenye Tume ya Taifa ya uchaguzi.Kwa wanaojua taratibu za uchaguzi na sheria za nchi. Tumeona wagombea wengi wa CCM wanapita bila kupingwa, je, kuna utaratibu ambao waliokatwa na tume kuappeal au kuweka pingamizi juu ya uwamuzi wa msimamizi wa uchaguzi?
Viongozi wa chadema wasimamie hili. Ndani ya masala 24 wananchi tuujuwe ukweli.kuna tunduma , sengerema, morogoro mjini n.kNendeni mkawaambie hao wapuuzi waliotumia hila ili wapitishwe kuwa mwaka huu watu wamebalehe! Hakuna kupita tena kihuni!
Nadhan kosa ni mbowe kugombea..angeacha kugombea akasimamia show zoteInashangaza! Wengi wanaangalia majimbo yao tuu
Wapo bize kuhakikisha lissu hakatwiHakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa kama mtalala shauri yenu, wenzenu CCM hawalali.