Kuna jambo hulielewi kuhusu pingamizi. MTU mwenye mandate ya kuweka pingamizi ni mgombea, au maafisa wa serikali au NEC. Sasa MTU ambaye jina lake halikuteuliwa atawekaje pingamizi wakati siyo mgombea?CHADEMA nawaasa kuanzia leo saa 10 jioni mna saa 24 tu za kupinga uteuzi kwa maeneo yote ambayo viongozi wenu wamekatwa kwa hila za CCM.
Hakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa kama mtalala shauri yenu, wenzenu CCM hawalali.
Mapambano bado yanaendelea.!
Hata kipenga hakijalia, mmekong'otwa 9-0.Kazi mnayo mbona.CHADEMA nawaasa kuanzia leo saa 10 jioni mna saa 24 tu za kupinga uteuzi kwa maeneo yote ambayo viongozi wenu wamekatwa kwa hila za CCM.
Hakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa kama mtalala shauri yenu, wenzenu CCM hawalali.
Mapambano bado yanaendelea.!
Mkuu Chadema haijalala, ondoa shaka kabisa.Viongozi wa Chadema taifa naona Kama wameridhika Kuna uchafu mwingi sana wagombea wao wanafanyiwa huku majimboni lakini hatuoni hatua zozote walizochukua
jiandae kujinyonga , hakuna kupita bila kupingwa , hizo njamba za kishamba za wakurugenzi wa Rwangwa , Morogoro na kanda ya ziwa tumezijua mapema sanaMbinu ni moja tu, kushambulia sana hadi adui aidha aruhusu kufungwa au ajifunge. Mgombea urais mwenyewe hana uhakika na kesho yake kaomba tuwe wavumilivu hadi kesho saa 10, watapata wapi nguvu ya kuwapigania wengine 19!
Haiwasaidii, ndiyo maana tumekuwa tukiwashauri to concentrate na ubunge hiyo nafasi ya rais inakula muda wenu na kusahau kuwasaidia wagombea ubunge wenu. Bado mechi nyingine ya mawakala napo mtachemsha kwa sana tuuuu Maendeleo hayana chama.Leo myika na timu yake hakuna kulala
Kuna jambo hulielewi kuhusu pingamizi. MTU mwenye mandate ya kuweka pingamizi ni mgombea, au maafisa wa serikali au NEC. Sasa MTU ambaye jina lake halikuteuliwa atawekaje pingamizi wakati siyo mgombea?
Na kwa wale ambao inasadikika waliporwa fomu au kutekwa? Au wale ambao msimamizi alikimbia ofisi? Utaratibu wao ukoje?Anaweza kupinga kuenguliwa kwake kinyume na utaratibu hasa kama atakuwa na nakala ya fomu ambazo anaambiwa amekosea kuzijaza
CHADEMA nawaasa kuanzia leo saa 10 jioni mna saa 24 tu za kupinga uteuzi kwa maeneo yote ambayo viongozi wenu wamekatwa kwa hila za CCM.
Hakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa kama mtalala shauri yenu, wenzenu CCM hawalali.
Mapambano bado yanaendelea.!
Pingamizi ni baada ya uteuzi. Inaonekana unaongea kitu ambacho hukielewiiFomu za pigamizi wakurugenzi wamekula kona nazo.
In a full panic mode! Sorry have a drink..Chadema ni wajinga
Tundu lissu chaguo la watanzaniaHuyo loketo ana kesi 6 atapata wapi muda wa kushughulikia wenzie?
Kesho mtaishia kulialia...ngoja tuoneIn a full panic mode! Sorry have a drink..
Mambo ya hovyo sana. Hili dikteta la wabunge ambalo kazi yake ni kutetea serikali badala ya wananchi.Eti hata Ndugai anapita bila kupingwa?
Hakuna viongozi taifa. Kuna mapicha picha tu kama akina mbowe wanaohangaika kuwa KUB. Tamaa kama yote.Viongozi wa Chadema taifa naona Kama wameridhika Kuna uchafu mwingi sana wagombea wao wanafanyiwa huku majimboni lakini hatuoni hatua zozote walizochukua
Hakuna kitu msidanganyane. Zitto anatetea ubunge na DJ anahangaika na KUB. Kama wana uhakika Lissu atashinda kwa nini wasisubiri nafasi 10 za kuteuliwa. RIP chademaUmoja ni nguvu. Facts of the case ni sawa kwa nyote, ACT na CHADEMA shirikianeni kulikabili hili. Msiwaachie wagombea , hawana nguvu ya kuwakabir wasimamizi! Uongozi wa juu wa ACT na Chadema fanyeni kazi hiyo to direct the cause of action!
Hakuna viongozi taifa. Kuna mapicha picha tu kama akina mbowe wanaohangaika kuwa KUB. Tamaa kama yote.