Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Sasa huo u KUB ataupataje Kama wanapoteza majimbo kizembe namna hiiHakuna kitu msidanganyane. Zitto anatetea ubunge na DJ anahangaika na KUB. Kama wana uhakika Lissu atashinda kwa nini wasisubiri nafasi 10 za kuteuliwa. RIP chadema
Hakuna namna ya kupingwa iwapo umekatwa.Kwa wanaojua taratibu za uchaguzi na sheria za nchi. Tumeona wagombea wengi wa CCM wanapita bila kupingwa, je, kuna utaratibu ambao waliokatwa na tume kuappeal au kuweka pingamizi juu ya uwamuzi wa msimamizi wa uchaguzi?
Hiyo inaweza kufanyika mahakamani mara baada ya uchaguzi, siyo kwa msimamizi wa uchaguzi. Kwa sasa sheria ya uchaguzi haimtambui mgombea ambaye hakupitishwa kugombea kuweka pingamizi dhidi ya mgombea ambaye amepitishwa kuwa mbunge. Kanuni za sheria, pamoja na maofisa wa Serikali wanaotakiwa kuwekeza wagonbea mapingamizi, zinasema kuwa MTU mwenye mandate ya kuweka pingamizi dhidi ya mgombea, 'ni mgombea mwenzake, siyo vyama wala raia yeyote'Anaweza kupinga kuenguliwa kwake kinyume na utaratibu hasa kama atakuwa na nakala ya fomu ambazo anaambiwa amekosea kuzijaza
Wafanyaje nao wanapambana kwenye majimboViongozi wa Chadema taifa naona Kama wameridhika Kuna uchafu mwingi sana wagombea wao wanafanyiwa huku majimboni lakini hatuoni hatua zozote walizochukua
Hapana kuna utaratibu. Soma hapaHiyo inaweza kufanyika mahakamani mara baada ya uchaguzi, siyo kwa msimamizi wa uchaguzi. Kwa sasa sheria ya uchaguzi haimtambui mgombea ambaye hakupitishwa kugombea kuweka pingamizi dhidi ya mgombea ambaye amepitishwa kuwa mbunge. Kanuni za sheria, pamoja na maofisa wa Serikali wanaotakiwa kuwekeza wagonbea mapingamizi, zinasema kuwa MTU mwenye mandate ya kuweka pingamizi dhidi ya mgombea, 'ni mgombea mwenzake, siyo vyama wala raia yeyote'
Na utapanic sana nyumbu we!Mambo ya hovyo sana...... Hili dikteta la wabunge ambalo kazi yake ni kutetea serikali badala ya wananchi......
Hili lidudumtu Linaenda kupitisha kibabe sheria zaidi za kidikteta
Anayeweka pingamizi ni mgombea na siyo chama; sasa walioko korokoroni watawekaje pingamizi?CHADEMA nawaasa kuanzia leo saa 10 jioni mna saa 24 tu za kupinga uteuzi kwa maeneo yote ambayo viongozi wenu wamekatwa kwa hila za CCM.
Hakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa kama mtalala shauri yenu, wenzenu CCM hawalali.
Mapambano bado yanaendelea.!
Sawa, Ila utaratibu huu unawahusu wagombea [waliowekewa mapingamizi], siyo raia wala vyama vya siasa. Hoja yangu (nimesoma kwenye kanuni 2020) ni kwamba mgombea ambaye hakuteuliwa anakosa locus stand ya kukata rufaa kwa kuwa, Kwanza, yeye siyo mgombea, pili, hakuna pingamizi analokatia rufaa kwa TUME.
Ujanja kupata,sio kuwahiWalichofanya sio sawa KABISA. Demokrasia gani hii jamani??
Dogo acha propaganda nyepesi nyepesi"MAAGIZO TOKA KWA MWENYEKITI-UFIPA STREET':
"Chama hakitapoteza fedha kugharamia wagombea ktk Majimbo ambayo kwa asilimia 99 ni ngome za CCM , Wagombea wote mna wajibu wa kujigharamia wenyewe na hata kutengeneza Matukio na mizengwe mbalimbali itakayowaondoa kushiriki uchaguzi ili tupate Platfom ya Uminywaji wa Demokrasia Kimataifa....Zingatieni Mbinu 13 alizokuja nazo Lissu, Hatuwezi kutumia Ruzuku au fedha za Sponsors wetu kwa kuzitupa ,hivyo tujiandae kutumia Majimbo hayo ktk kupata Matukio ya kujijenga kisiasa kuliko kujitoa moja kwa moja kwa kutokufanya kitu kabisa" -DJ GASTURA.
Kama kuna bavicha alitegemea kumshinda Mgombea wa CCM kwa majimbo kama Ruangwa, Morogoro mjini nk basi hiki chama kimejaa watoto wa siasa
hao wahuni wanaweza wakafunga hata ofisi zao leo ili siku ipite wasiweke pingamiziViongozi wa chadema wasimamie hili. Ndani ya masala 24 wananchi tuujuwe ukweli.kuna tunduma , sengerema, morogoro mjini n.k
Mikwara ya social mediaNendeni mkawaambie hao wapuuzi waliotumia hila ili wapitishwe kuwa mwaka huu watu wamebalehe! Hakuna kupita tena kihuni!
Wewe umesaidia nini ,kabla hujalaumu?kwenye kata yangu kuna mpuuzi kapitishwa bila kupingwa. Chadema mnakwama wapi? Piganieni hili tafadhari bora mtu ashindwe kwenye ballot box sio huu ushindi wa kubebwa na watendaji wa kata
Umepanga mwenyewe,"MAAGIZO TOKA KWA MWENYEKITI-UFIPA STREET':
"Chama hakitapoteza fedha kugharamia wagombea ktk Majimbo ambayo kwa asilimia 99 ni ngome za CCM , Wagombea wote mna wajibu wa kujigharamia wenyewe na hata kutengeneza Matukio na mizengwe mbalimbali itakayowaondoa kushiriki uchaguzi ili tupate Platfom ya Uminywaji wa Demokrasia Kimataifa....Zingatieni Mbinu 13 alizokuja nazo Lissu, Hatuwezi kutumia Ruzuku au fedha za Sponsors wetu kwa kuzitupa ,hivyo tujiandae kutumia Majimbo hayo ktk kupata Matukio ya kujijenga kisiasa kuliko kujitoa moja kwa moja kwa kutokufanya kitu kabisa" -DJ GASTURA.
Kama kuna bavicha alitegemea kumshinda Mgombea wa CCM kwa majimbo kama Ruangwa, Morogoro mjini nk basi hiki chama kimejaa watoto wa siasa
Soma hapa Chadema mbona wameweza kata rufaa?Sawa, Ila utaratibu huu unawahusu wagombea [waliowekewa mapingamizi], siyo raia wala vyama vya siasa. Hoja yangu (nimesoma kwenye kanuni 2020) ni kwamba mgombea ambaye hakuteuliwa anakosa locus stand ya kukata rufaa kwa kuwa, Kwanza, yeye siyo mgombea, pili, hakuna pingamizi analokatia rufaa kwa TUME.
Sasa kama hakuwa mgombea ataendaje mahakamani baada ya uchaguzi? wewe nawe unapotosha. Muhimu ni wao kuwasilisha malalamiko yao kwa ngazi ya juu ya tume; mbona wale wa Moshi lalamiko lao lilifanyiwa kazi na hawakuwa bado wagombea?Hiyo inaweza kufanyika mahakamani mara baada ya uchaguzi, siyo kwa msimamizi wa uchaguzi. Kwa sasa sheria ya uchaguzi haimtambui mgombea ambaye hakupitishwa kugombea kuweka pingamizi dhidi ya mgombea ambaye amepitishwa kuwa mbunge. Kanuni za sheria, pamoja na maofisa wa Serikali wanaotakiwa kuwekeza wagonbea mapingamizi, zinasema kuwa MTU mwenye mandate ya kuweka pingamizi dhidi ya mgombea, 'ni mgombea mwenzake, siyo vyama wala raia yeyote'
Kilimanjaro siyo elsewhere ndugu. Maamuzi ya NEC yanafanyika Kwa kuangalia potential damage.Sasa kama hakuwa mgombea ataendaje mahakamani baada ya uchaguzi? wewe nawe unapotosha. Muhimu ni wao kuwasilisha malalamiko yao kwa ngazi ya juu ya tume; mbona wale wa Moshi lalamiko lao lilifanyiwa kazi na hawakuwa bado wagombea?
"MAAGIZO TOKA KWA MWENYEKITI-UFIPA STREET':