CHADEMA mtatoka na ajenda gani baada ya kurudi kwa mikutano ya hadhara ya siasa

Mbona mmrjawa na woga sana.

Hofu imetanda kwani huyo hayati alikosea nini mbona mnatishika sana?

Matendo yake na yenu yanawatisha nyie wenyewe
Hawa bila shaka walikuwa mikono ya marehemu ya kutekelezea uove. Wanapatwa na maluweluwe ya kukamatwa siku moja. Wanaishi katika woga mkubwa. Wakisikia tu Kalemani jatolewa uwaziri, tayari hofu inapanda kuwa labda mwondoa CCTV za uovu anaandaliwa barabara ya kufikishwa kwenye vyombo vya haki.
 
Mikutano sio janbo jipya. Mbowe kwenye hiyo miaka 6 kafanya sana mikutano, sugu kafanya sana, hechrle kafanya sana Ila yote hakuna jipya

..subiri huenda watakuja kivingine.


..Na uwape muda hoja zao zipimwe na kuchambuliwa.
 
Ungekuwa na uwezo wa kutafakari ungejiuliza, kwa nini watu wauawe na polisi. Wananchi watakuwa wamefanya nini mpaka wauawe na Polisi. Fahamu kuwa polisi haruhusiwi kuua mtu isipokuwa tu pale maisha ya huyo polisi yanapodhihirika kuwa yapo hatarini.
 
Hakuna chama kinachokubalika kama CHADEMA, sema ni vile Chama cha Magoat kinavyoibaga kura.. Chadema kwenye mikutano yao wanJaza hata bila kutumia wasanii kushawishi watu.!
 
Mtoa post nakuhakikishia hapo kesho patakuwa hapatoshi, na naomba ufuatilie tarehe 25, ktk maandamano kwenda kumpoke Mh. Sana Tundu Lisu, ndipo utakapojua hujui
 
Wameshagawa hela ya mafuta kwa boda boda ambao ndio watajaza mkutano kesho
 
Sukuma Gang mnaumia sana, rudini kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana washenzi wakubwa nyie ndiyo maana Corona ilimfyekelea mbali huyo mungu wenu
 
kavaa chisheti izo za mungu wako uone kitakacho kukuta
 
Chadema wana laana kubwa sana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Nalaana hiyo itawapoteza kabisa kwenye siasa za Tanzania mbaka akili zitakapo warudi.
Magufuli hapaswi kubezwa na watu wenye akili.
Kibaya zaidi viongozi wao wamelamba asali wanauona ukweli lakini wanashindwa kuwazuia chawa wao kulopokalopoka mambo ya hovyo.
 
ndio kusema mkuno umefanyika leo watu wakawa wachache au
 
Unaharaka gan mkuu wakati mkutano wenyewe ni tarehe 25? We mwenzetu tambitambi mpaka useme watu hawana muitikio?
 
Lumumba mnawashwa washwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…