CHADEMA mtatoka na ajenda gani baada ya kurudi kwa mikutano ya hadhara ya siasa

🤣🤣🤣wanahofu kubwa sana
 
Mkutano lini, unafanyika wapi na saa ngapi? Nitapita hapo kula madini niliyo yamisi
 
Yuko Mwanza wapi? Unaamini yuko Mwanza? Hawa ni wapumbavu amabo wakisha milij smart phone wamemaliza kila kitu, ila Wazazi wao wana life la choka mbata huko bushi linalo sababishwa na hawa hawa CCM
Tuliza kichwa chako dogo kesho sio mbali, hebu edit kwanza maandishi yako sababu hata kuanzika hujui.
 
Chama cha Mambuzi mnaandika uongo kujidanganya wenyewe kisha mnafurahia, nadhani hata sokwe wanaweza kuwa na IQ kubwa kuliko nyie

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nipo na mishe zangu, siwezi kwenda sababu ya huo ujinga wenu.
Ukiitwa mjinga utachukia! Maana unaandika ujinga. Thread umeanzisha wewe na kusema umeenda Mwanza kufuatilia pia mkutano, sasa unaandika upoloto huu tena?
Wakati mwingine bora kufuga mbuzi utamla supu kuliko kuwa na mifugo aina yako

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
nmepita hapoo watu wanauliza, wanakuja kugawa mahindi ya chakula??
 
Unafurahi ili? Halafy unakuta mtu kama wewe wazazi wako wana life choka mbaya sana huko Bushi, ila uko town una kenua meno tu, ujinga wa watu kama nyie ni mtaji mkubwa sana kwa CCM.Fake ID zinasaidia sana la sivyo
Hakuna Bush wala Biden, tulia hivyohivyo uone aibu inayoenda kutokea
 
Povu lote la nini hili? Nimekutana na nyoka njiani nimepiga kichwani, kosa langu nn? Kwani nilipanga kukutana na nyoka?

Note: cdm ni kama nyoka
 
Nimepewa taarifa hawa wavaa combat feki wanakutana na zomea zomea toka waendee Mwanza

Wanapita mitaani na mawani yao makubwa wanapanua vidole viwili wananchi wanawajibu kwa kuwazomea

Hii aibu imefanya CHADEMA kuita viongozi wa umoja fulani wa watu waishio Mwanza kutoka kule mkoa fulani wawashawishi ili kuhudhuria mkutano

Pia machinga wanapewa tisheti za bure kama watahudhuria mkutano

Pia kuna malori yameandaliwa kutoka Mara kusomba watu kwenda kufuta aibu

Hii aibu wanayopata CHADEMA sijaishuhudia toka waanze siasa
 
Unaweweseka tu, hata nyie chawa tunawakaribisha sana
 
Unawashwa kinyeo
 
Huku mwanza wamepitisha gari zao Ila watu hakuna
Watu hakuna wapi? Kwenye gari la matangazo? Mkutano bado, wewe unasema watu hakuna! Ukisikia kuchanganyikiwa ndiyo huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…