CHADEMA, Mungu - Yehova anawapenda. Matukio ya Arusha na Hai ni taarifa njema kwenu.!!

Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo , endeleeni hivyo CCM na mbinu zenu za kishamba na kilimbukeni muone kitakachotokea mwaka huu.
 
Ni ujumbe mzito Sana.........

Mwenye kuulewa na auelewe na mwenye kufanywa moyo wake mgumu (kama ambavyo alivyofanywa Mfalme Herode kuwa moyo wake mgumu) na iwe hivyo, ili kusudi la Mungu litimie.
Amen
 
Mgombea wa CDM ajikite kutuelezea atatufanyia nini tukimpa kibarua Cha URAIS na sio porojo za kutaka mdahalo mubashara kwa LUGHA yoyote
 
Yani Ole sabaya tume vijana kufanya fujo nyie msingizie ubelgiji??? CCM ni wapumbavu sijawai kuona!!!
 
Mgombea wa CDM ajikite kutuelezea atatufanyia nini tukimpa kibarua Cha URAIS na sio porojo za kutaka mdahalo mubashara kwa LUGHA yoyote

Hujui uwazalo wala usemalo....

Uko gizani. Unahitaji nuru/mwanga kukuwezesha kuona....

It's too late kwa sababu itachukua muda sana kuanza kukuelimisha, nikitaka...

Itoshe kusema, watu wa aina yako mabadiliko yajapo ni lazima yawazoe hivyo hivyo mlivyo na macho na ufahamu wenu utafumbuliwa huko huko mbeleni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…