Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
Na atagombea tena. Magufuli ni Präsident wa maisha. Hatuna shida naye.
 
Lindi kumekucha tangu siku ya uchaguzi

Mtamponza Siro aiache familia yake apelekwe ICC. Ninyi mtabakia mnakula kuku. Njooni mtupige wenyewe. Siro hatofanya hivyo, tushaongea naye. Htuendi kibwege tuko vizuri.
Huzi story ICC, mara kesi ICJ chadema walishadanganya nzo waty sana mpaka zikachuja
 
Tupo hapa Ubungo, watu wanazidi kuongezeka... mida mida tunaanza rasmi kuelekea pale Uchafuzi House!
 
IMG_8735.jpg
 
Maandamano yamepamba moto hapa hadi polisi wamezidiwa nguvu na waandamanaji. Kuna wadada wawili wamejeruhiwa na risasi za moto na wanapelekwa hospitali kwa matibabu. Polisi nao wanapiga mabomu ya machozi ovyo ovyo yaani. Nikiripoti kutoka Jamhuri ya Twitter na Instagram, mimi ni ripota wako Jane Lowassa
 
Back
Top Bottom