Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Update jamani. Maana keyboard worriers siwaoni humu kuja update.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajaendaaaa 😂😂😂😂😂😂 Acha kupanick tuma picha wewe au hujaenda mkuu ??
Mimi niko michenzani hspaNenda ubungo bus terminal au buguruni sheli
Nenda ubungo bus terminal au buguruni sheli
Wafuasi wa Lissu mmefika wapi na maandamano yenu?
Sawa ndugu mfuasi, ila mliambiwa muandamane leo kuanzia saa mbili asubuhi.Haraka ya nini na maandamano hayana siku moja , hao polisi na majeshi yenu mliyoyakodi kutoka Burundi na yakae wakati wote barabarani
Sawa ndugu mfuasi, ila mliambiwa muandamane leo kuanzia saa mbili asubuhi.
Maandamano yamepamba moto hapa hadi polisi wamezidiwa nguvu na waandamanaji. Kuna wadada wawili wamejeruhiwa na risasi za moto na wanapelekwa hospitali kwa matibabu. Polisi nao wanapiga mabomu ya machozi ovyo ovyo yaani. Nikiripoti kutoka Jamhuri ya Twitter na Instagram, mimi ni ripota wako Jane Lowassa
Nisikilize au nisome tena? Labda kiswahili kinakupiga chenga ndugu mfuasi.Sikiliza tena labda kiswahili kinakupiga chenga
Nisikilize au nisome tena? Labda kiswahili kinakupiga chenga ndugu mfuasi.
Ni Tundu tu
Tia angalau picha tujionee. Wengine tupo nchi za mbali tunayafuatilia!Maandamano yamepamba moto hapa hadi polisi wamezidiwa nguvu na waandamanaji. Kuna wadada wawili wamejeruhiwa na risasi za moto na wanapelekwa hospitali kwa matibabu. Polisi nao wanapiga mabomu ya machozi ovyo ovyo yaani. Nikiripoti kutoka Jamhuri ya Twitter na Instagram, mimi ni ripota wako Jane Lowassa
🤣🤣🤣🤣🤣Maandamano yamepamba moto hapa hadi polisi wamezidiwa nguvu na waandamanaji. Kuna wadada wawili wamejeruhiwa na risasi za moto na wanapelekwa hospitali kwa matibabu. Polisi nao wanapiga mabomu ya machozi ovyo ovyo yaani. Nikiripoti kutoka Jamhuri ya Twitter na Instagram, mimi ni ripota wako Jane Lowassa
CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia Buguruni Sheli kuchukua barabara ya Uhuru mpaka Kariakoo, Msimbazi Road mpaka fire, Morogoro road, Bibi Titi mpaka Ofisi za Tume.
Kundi lingine litaanza Ubungo Bus Terminal kuchukua Morogoro road mpaka fire kisha Bibi Titi kuelekea Ofisi ya Tume.
Wajumbe wa Kamati Kuu mnaopenda kushiriki maandamano tafadhali mtachagua kati ya maeneo hayo. Maandamano yanaanza saa mbili kamili asubuhi kuelekea Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere Conference Center. Viongozi Wakuu wataongoza Maandamano hayo.
Wanajiita makamanda kumbe hawana ukamanda wowote bora hata scout wale wa primary 😅Maandamano yamepamba moto hapa hadi polisi wamezidiwa nguvu na waandamanaji. Kuna wadada wawili wamejeruhiwa na risasi za moto na wanapelekwa hospitali kwa matibabu. Polisi nao wanapiga mabomu ya machozi ovyo ovyo yaani. Nikiripoti kutoka Jamhuri ya Twitter na Instagram, mimi ni ripota wako Jane Lowassa
Tundu
We umekwenda?Sikiliza tena labda kiswahili kinakupiga chenga
Huo ni zaidi ya upuuzi na kutokujua maana halisi ya demokrasia, kukosa nafasi ya ubunge kwa mbowe na zito kabwe pamoja na genge lake la kihuni haihusiani na maana halisi ya kuminywa demokrasia, kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
Suala la watanzania kuamua kuichagua CCM, hiyo ndio demokarsia sahihi kwa maana watanzania wameamua kile wanachokipenda na kukihitaji.
Sasa nasema Acha kazi iendelee hakuna cha maandamano hapa. MAGUFULI NDIE RAIS WETU
MAGUFULI NDIE RAIS WETU
ToboTundu
Unajua maana ya Tundu kwanza ????
We umekwenda?