Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Wafuasi wa Lissu mmefika wapi na maandamano yenu?
 
Wafuasi wa Lissu mmefika wapi na maandamano yenu?

Haraka ya nini na maandamano hayana siku moja , hao polisi na majeshi yenu mliyoyakodi kutoka Burundi na yakae wakati wote barabarani
 
Haraka ya nini na maandamano hayana siku moja , hao polisi na majeshi yenu mliyoyakodi kutoka Burundi na yakae wakati wote barabarani
Sawa ndugu mfuasi, ila mliambiwa muandamane leo kuanzia saa mbili asubuhi.
 


Polisi hawa aaskari wa kukodi wa jeshi la Burundi waliovalia sare za Kitanzania au ??
 
Nisikilize au nisome tena? Labda kiswahili kinakupiga chenga ndugu mfuasi.

Utavyopenda kwani clips za mkutano wa viongozi wa ATC na Chadema unaweza kuzipata you tube
 
Tia angalau picha tujionee. Wengine tupo nchi za mbali tunayafuatilia!
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huo ni zaidi ya upuuzi na kutokujua maana halisi ya demokrasia, kukosa nafasi ya ubunge kwa mbowe na zito kabwe pamoja na genge lake la kihuni haihusiani na maana halisi ya kuminywa demokrasia, kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
Suala la watanzania kuamua kuichagua CCM, hiyo ndio demokarsia sahihi kwa maana watanzania wameamua kile wanachokipenda na kukihitaji.
Sasa nasema Acha kazi iendelee hakuna cha maandamano hapa. MAGUFULI NDIE RAIS WETU
MAGUFULI NDIE RAIS WETU
 
Wanajiita makamanda kumbe hawana ukamanda wowote bora hata scout wale wa primary 😅
 

Demokrasia ni kuleta majeshi ya kukodi kutoka Burundi na kuwavika sare za polisi wa Kitanzania huku wakiwazuia mawakala wa upinzani wasiingie vituoni ?? Na wanaokataa kutoka ni kuwapiga risasi na kuwauwa huku Pemba ??
 
We umekwenda?

Sisi tuna strategy nyengine kwani mitaani mumetuletea askri wa jeshi la Burundi wanaingia majumbani wanavunja milango na kuwanajisi wasichana huku wakiiba simu na pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…