Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

TAARIFA MUHIMU SANA!!!

Watanzania tuishio nje ya nchi (TANZANIA DIASPORA) tumeanza kuandamana kupinga UCHAFUZI uliofanyika juzi hapo nyumbani Tanzania!

Hawa ni ndugu zetu kutoka Ulaya ya Kaskazini (Sweden [emoji1236], Norway [emoji1189] na Denmark [emoji1087]) ambao tayari wameanza maandamano yao nje ya Ubalozi wetu uliopo Stockholm, Sweden...

Watanzania tuishio nchini hapa Ufaransa [emoji632] tunaandaa maandamano hayo kesho Jumatatu, November 2, 2020 nje ya Ubalozi wa Tanzania [emoji1241] nchini Ufaransa [emoji632].

Maandamano yataanza saa 2 asubuhi na kumalizika saa 6 mchana!

Baada ya maandamano, WAZANZIBARI tuishio nchini hapa, kwa kuongozwa na Balozi wetu (BABU MZANZIBARI), tutazindua Ubalozi wetu (Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar nchini Ufaransa)... Ofisi za Ubalozi wetu zipo mitaa ya TROCADÉRO, karibu sana na mnara wa EIFFEL...

Kwa niaba ya Wazanzibari wote waishio nchini hapa Ufaransa, mimi, BABU MZANZIBARI, Balozi wa Zanzibar nchini Ufaransa, natumia fursa hii kuwakaribisha ndugu zetu Watanzania waishio nchini hapa, katika uzinduzi wa Ubalozi wetu!

Usafiri, kula, kunywa ni kwa gharama yangu mwenyewe!...

Kwa kauli moja, tumekubaliana kuwa hatuitambui serikali haramu ya John Pombe Joseph Magufuli! Hatuitambui serikali haramu ya Hussein Ali Hassan Mwinyi!

Rais wa Zanzibar tunayemtambua ni Maalim Seif Sharif Hamad aliyechaguliwa na wananchi wa Zanzibar!... Na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunayemtambua ni Tundu Antipas Lissu, aliyechaguliwa na Watanzania!...

Mungu ibariki Zanzibar yenye mamlaka kamili, Mungu ibariki Tanzania!... [emoji1488]

[emoji1485][emoji1485][emoji1485] Sambaza ujumbe huu umfikie kila Mtanzania mpenda haki!...[emoji1474]

Tuma picha tuone
 
Mwenye uchu wa madaraka ni Magufuli ambaye ameiba uchaguzi na kumwaga damu ili aendelee kuwa Rais.
Jembe Magufuli angekuwa na uchu wa madaraka, basi pale walipopendekeza atakapomaliza muda wake aongezewa tena muda, angekubali.

Mbona hakuafikiana na hilo?.

Ni kwasababu yeye Jembe Magufuli hana uchu wa madaraka, na ni mtu wa kujielewa.

Wivu tu unawasumbueni
 
Fara kabisa wewe. Utakuwa kimada wake wewe. Siyo bure. Amekataa kwani 2025 imekwishapita? NECCM imepigia kura majumbani na kuzileta kwenye vituo vya kura kwa mtutu wa bunduki halafu unasema huyo basha wako hana uchu wa madaraka!
Ndio maana nimekuambia wewe una wivu.

Umeona?

Magufuli Jembe la nguvu.

Inabidi umzoee tu
 
Mimi Naangalia Maslahi ya Nchi
Acha uongo. Mbona wakati uko bungeni ukichukuwa alawansi zote hukuandamana. Mbona kwenye uchaguzi muhumu wa ngazi za kata na kijiji hukuandamana. Unangoja ukose ubunge ndiyo unaandamana. Naona unalilia ruzuku ya walipa kodi. Sijui miaka mitano ijayo utaishi vipi. Ulizoea kuchota ruzuku ya chama bila huruma, sasa hamna pa kuchota, si ACT si bungeni.
 
Kamwambieni huyo mume wenu kuwa wamesema wataandamana. Andaeni AK47. Nyie si mtaishi milele? Kwani kuna tofauti gani kati ya kufa kwa risasi na kufa kwa saratani ama corona? Vyote ni vifo tu.
Matusi hayakusadii kwenye hoja. Unaonyesha jinsi ulivyofirisika kihoja sasa unakimbilia matusi. Kama unataka mashindano ya matusi kashindane na Tundu Lissu.
 
japo nipo siku zote , uchaguzi huu ulikuwa tayari na matokeo dunia yote inajua na mimi ninao ushahidi , kwahiyo hakuna haja ya kupeana pole
Kusema unao ushahidi si sawa na kuwa na ushahidi.
 
Kamwambieni huyo mume wenu kuwa wamesema wataandamana. Andaeni AK47. Nyie si mtaishi milele? Kwani kuna tofauti gani kati ya kufa kwa risasi na kufa kwa saratani ama corona? Vyote ni vifo tu.

Halafu kwanini umeweka DP Picha ya Mwalimu wakati unasapoti maandamano. Siunajua kuwa Mbowe na Lema hatokuwepo Kesho, hakika hata Lissu hatoshiriki

Kesho ni siku ya Kazi ; KAFANYE KAZI. Uchaguzi umeisha
 
Mimi sijashikiliwa na Mambosasa. Nitakuwepo asubuhi kuandamana. Wapenda haki wote tujitokeze.
Wewe ndugu yangu, nimetaka na wewe uupitie huu uzi kwa tahadhari tu.

Wasi wasi wangu ungelala bila ya kuupitia huu uzi
 
Kwani Nyerere una-copyright yake? FuQUOTE]

Sawa Mkuu. Nadhani hujui vijana wenzio mpaka sasa wangapi wapo ndani. Sasa wewe endelea na munkari wa keyboard. Siunajua kuna watu maalumu kwa ajili ya kuharibu wanaume? Muulize Lissu! Atakupa Habari yote.
 
Vyama vipo 21
hapo vimeandikwa ACT na CHADEMA
Vyama vingine sisi atuandamani tunasubiri wenzetu wenye uchungu zaidi na nchi wafe ili sisi tukombolewe..
WaTZ tuna reasoning ndogo sana. Sheria ya vyama inatoa haki ya vyama kuandamana kwa amani. Sasa mabomu ya nni? Mbona kwa Lissu busara ilitumika na mambo yakaenda poa tu!!

Mtu umuibie kura, katiba hairuhusu kupinga matokeo mahakamani, then wakiandamana mnashabikia kuwa wapigwe risasi!!

Kma hizi ndio akili za maGT wote basi tuna safari ndefu sana kma taifa.
 
Kamwambieni huyo mume wenu kuwa wamesema wataandamana. Andaeni AK47. Nyie si mtaishi milele? Kwani kuna tofauti gani kati ya kufa kwa risasi na kufa kwa saratani ama corona? Vyote ni vifo tu.
Sawa Mkuu. Nadhani hujui vijana wenzio mpaka sasa wangapi wapo ndani. Sasa wewe endelea na munkari wa keyboard. Siunajua kuna watu maalumu kwa ajili ya kuharibu wanaume?

Muulize Lissu! Atakupa Habari yote
 
Hahahah ulipanga uendelee kula mamilioni ya posho kwa miaka 20 ijayo??!! Pole sana, karibu mtaani tusake life
Shida mnadhani siasa ni ajira. Huyo zitto au Lissu wana professions nje ya siasa so hawasaki life bali wanakula matunda ya taaluma zao hta nje ya siasa.

Kma mlidhani bila ubunge watakua kapuku kama ww then pole sana. Wenzio wana M.A za Warwick na Bucerius ndio uwaonee huruma?

Ndio yale mambo ya tajiri akiugua mnashangilia unadhani akiporomoka ww ndio utapanda!!

Typical black mentality
 
Basi Hamia bara lingine, tuache na bara letu Afrika, tuache na Tanzania yetu yenye baraka ya amani..
Tanzania ina baraka gani? Wapuuzi nyie mnaua watu zenji na tarime alafu mnasema kuna amani?

Kinachowapa kiburi sababu mna jeshi na upinzani hawana. Otherwise kma mngekua mnashindana na ISIS nadhani ndio mngekuwa na adabu.

But kizuri madaraka yanapita tu huyo Magufuli ipo siku atakufa tu na atabaki historia. Mugabe yukwapi? Mitutu haiwezi kukupa mamlaka ya milele.
 
Hadi huruma. Mmetia aibu kwenye uchaguzi huu kwa kugomewa na Wananchi wapenda amani, mnataka kutia aibu tena kwa kugomewa na Wananchi wapenda amani?
 
Hatuandamani ng'o! Labda utaandamana wewe na watoto wako.
 
Ndugu yangu posho za ubunge ufaidi na familia yako, baada ya kukosa uniingize mimi barabarani nikale mkong'oto wa Polisi . Chukua familia yako itangulize mbele. Mimi najua uchaguzi umeisha kifuatacho ni kuchapa kazi.
Period...
 
Back
Top Bottom