Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Demokrasia ni kuleta majeshi ya kukodi kutoka Burundi na kuwavika sare za polisi wa Kitanzania huku wakiwazuia mawakala wa upinzani wasiingie vituoni ??
Acha uzwazwa wewe, tuthibitishie hapa hao wanajeshi wa burundi kwa picha zao na identity zao, vitambulisho vyao vya Burundi. Usiwe kama sigara kali
 
Acha uzwazwa wewe, tuthibitishie hapa hao wanajeshi wa burundi kwa picha zao na identity zao, vitambulisho vyao vya Burundi. Usiwe kama sigara kali

Sisi tunawajua kwani kiswahili chao ni wanachanganya na kifaransa . Identity zao hizo evidence mtakuja kuona kwani tunakusanya . au waandikie TISS
 
Mmeandaa watu wa kuyaanzisha au ni yoyote atakae wahi kufika?

Nadhani kesho sio mbali Ila sioni Hilo likifanikiwa hata kwa asilimia 5.

Msifanye haya mambo kwa hasira zenu binafsi, mmeshajua watu mtaani wanataka Nini Maana ni lazima nao wawe na mawazo na hasira Kama zenu ndo mtawaona Ila Kama mnafanya hivi kutokana na maamuzi ya ndani mtafeli Sanaa.

Huku nilipo watu wamelalamika juzi na Jana ila leo wameshayaacha na siasa wanaendelea na shughuli zao hakuna hata Ile amsha Kama ya kipindi Cha mange
Ninyi raia sababu mtakosa zile posho za wabunge majimboni mwenu.
 
Sisi tunawajua kwani kiswahili chao ni wanachanganya na kifaransa . Identity zao hizo evidence mtakuja kuona kwani tunakusanya . au waandikie TISS
Wewe umejuaje?? Usituletee propaganda zako za mitaroni hapa
 
mkuu sioni ukianzisha mada. Pole bhana.
Tulipokua tunawaambia wanaota walituona sisi ni ccm. Hawa kina Mbowe ni genge la wahuni. Mwaka jana uchaguzi wa serikali za mitaa waligoma sababu haikuhusu maslahi yao bali ya wale wanachama wadogo kwenye serikali za mitaa. Mwaka huu tume ni ileile sababu kulikua na uhakika wa ulaji hawakugomea. Hala wajinga bado wanawaita makomandoo
 
Sisi tuna strategy nyengine kwani mitaani mumetuletea askri wa jeshi la Burundi wanaingia majumbani wanavunja milango na kuwanajisi wasichana huku wakiiba simu na pesa
Aiseeh nyie watu ni mabingwa wa propaganda. Hivi hayo mabo huwa mnayaona nyinyi tu CHADEMA, kwamba mmewekewa alama kwenye mapaji yenu ya uso, kiasi kwamba mabaya yote yanayofanywa na hao askari (mnaodai kuwa ni warundi) yanawapata nyinyi tu?
 
Ni kwa sababu hakuna jsmaa yako aliyeuliwa na sskari wenu wa kukodi kutoka burundi
 
Janedume zima linaomba picha ya wanamume wenzake.
Halafu hata kiswahili hujui eti Janedume ndo nn hicho
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na sio wanamume = wanaume 😂😂😂😂
 
CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi.

Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia Buguruni Sheli kuchukua barabara ya Uhuru mpaka Kariakoo, Msimbazi Road mpaka fire, Morogoro road, Bibi Titi mpaka Ofisi za Tume.

Kundi lingine litaanza Ubungo Bus Terminal kuchukua Morogoro road mpaka fire kisha Bibi Titi kuelekea Ofisi ya Tume.

Wajumbe wa Kamati Kuu mnaopenda kushiriki maandamano tafadhali mtachagua kati ya maeneo hayo. Maandamano yanaanza saa mbili kamili asubuhi kuelekea Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere Conference Center. Viongozi Wakuu wataongoza Maandamano hayo.

Nichukue nafasi hii kusema kwamba kuandamana ni upungufu wa akili kwani huwezi wewe mtu ukatete ugali wa mtu bila kujiangalia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom