Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Lissu mikwara miiiingi harafu hamuna kitu. Sio tu wananchi hata yeye mwenyewe ameshindwa kuingia barabarani.
 
Siwezi nikashangaa chama cha mbowe mambo ya ukabila ndio jadi yenu, mambo ya udini ndio jadi yenu, na ndio maana watanzania makini na wanaojielewa wamewanyima kura. RAIS NI MAGUFULI, tunasonga mbele pamoja.
#Tugange yajayo
#Uchaguzi umekwisha
#Linda amani ya taifa
#Ipende tanzania
#Tufanye kazi kwa bidii
#Kataa kuvuruga amani
#Fanya yako kiufasaha
 
Haya Manyumbu ya Mbowe na Kabwe ni mapotoshaji

Sisi tulioko Zanzibar na Pemba tunajua hawa ni wahutu kwa lugha yao . Pia vitendo vyao vya kupita majumbani na kuvunja milango na kuiba huku yakiwanajisi wanawake kwa nguvu
 
Wewe umejuaje?? Usituletee propaganda zako za mitaroni hapa

Hakuna cha propaganda tunawasikia wanavyoongea mitaani.Kiswahili na maneno ya kifaransa
#Tugange yajayo
#Uchaguzi umekwisha
#Linda amani ya taifa
#Ipende tanzania
#Tufanye kazi kwa bidii
#Kataa kuvuruga amani
#Fanya yako kiufasaha

IMG-20201022-WA0001.jpg
 
Utavyopenda kwani clips za mkutano wa viongozi wa ATC na Chadema unaweza kuzipata you tube
Ninaweza kuzipata ila sipo tayari kupoteza bundle langu kusikiliza viongozi wa chadema na Act wakiweweseka kupigania matumbo yao.
N.b ni ACT sio ATC kama ulivyoandika ndugu mfuasi.
 
Ninaweza kuzipata ila sipo tayari kupoteza bundle langu kusikiliza viongozi wa chadema na Act wakiweweseka kupigania matumbo yao.
N.b ni ACT sio ATC kama ulivyoandika ndugu mfuasi.
Kwani zile buku saba ulizopewa Lumumba huwezi kununua bundle ?
 
Back
Top Bottom