Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Maskini ndio huwa anashabikia anguko la mtu aliyemzidi kila kitu sababu inampa relief ya inferiority complex aliyonayo!!

Huyo Zitto alikua akifanyia consultancy wizara ya fedha/Hazina ya nchi fulani hpa EA alikua analipwa $200 kwa cku moja!!

Hiyo inalingana na posho ya bunge? Mind you mali zake alizodisclose zina fikia net worth ya 2B plus!! Ikiwemo kumiliki vitalu vya gesi. Afu unadhani ategemee posho ya bungeni?

Pambana na maisha usaidie ukoo wako unaoteseka na umaskini huko maporini. Leo hii huyo Zitto hta akienda CCM atapokelewa kishujaa na kupewa hta u RC hku ww ukibaki kupovuka mitandaoni tu.

Narudia tena, black mentality na inferiority complex haitokufikisha popote.
Na ndomana maandamano yenu ya kishwenz yamefeli, kazi kubwabwaja maneno mengi, vitendo F.
Kalale pungunguani wew
 
Kwa milo Dar hebu tupeni updates km hz nyumbuh walau zilisogelea yale maeneo ya maandamano.
 
Siwezi nikashangaa chama cha mbowe mambo ya ukabila ndio jadi yenu, mambo ya udini ndio jadi yenu, na ndio maana watanzania makini na wanaojielewa wamewanyima kura. RAIS NI MAGUFULI, tunasonga mbele pamoja.
#Tugange yajayo
#Uchaguzi umekwisha
#Linda amani ya taifa
#Ipende tanzania
#Tufanye kazi kwa bidii
#Kataa kuvuruga amani
#Fanya yako kiufasaha
 
Maskini ndio huwa anashabikia anguko la mtu aliyemzidi kila kitu sababu inampa relief ya inferiority complex aliyonayo!!

Huyo Zitto alikua akifanyia consultancy wizara ya fedha/Hazina ya nchi fulani hpa EA alikua analipwa $200 kwa cku moja!!

Hiyo inalingana na posho ya bunge? Mind you mali zake alizodisclose zina fikia net worth ya 2B plus!! Ikiwemo kumiliki vitalu vya gesi. Afu unadhani ategemee posho ya bungeni?

Pambana na maisha usaidie ukoo wako unaoteseka na umaskini huko maporini. Leo hii huyo Zitto hta akienda CCM atapokelewa kishujaa na kupewa hta u RC hku ww ukibaki kupovuka mitandaoni tu.

Narudia tena, black mentality na inferiority complex haitokufikisha popote.

Vipi huyu balozi Seif Idd mwenye nyumba 37, na yale mashamba ya watu aliyoyaiba Magufuli Tanga na Ali Hassan mwinyi aliyeiba mashamba ya watu Morogoro ekari 60 000, na huku kitope yale mashamba ya watu aliyojichukulia Kitope , vipi atayarudisha ??
 
#Tugange yajayo
#Uchaguzi umekwisha
#Linda amani ya taifa
#Ipende tanzania
#Tufanye kazi kwa bidii
#Kataa kuvuruga amani
#Fanya yako kiufasaha

1604320442731.png
 
Bavicha badala ya kuingia barabarani na mabango wanahama tu thread za Jf na kelele tu nyuma ya keyboard.
 
Kabisa Hawa wapotoshaji Sana....... Wakubaliane na Hali uchaguzi kuna kushinda na kushindwa kwahiyo wakubali na sio kutengeneza vtu tu kwa akali ya kupotosha jamii

Kushinda kwa kulitumia jeshi , majeshi ya kukodi ya Burundi , polisi , TISS, kuuwa watu , kuchapisha kura feki , kufunga wapinzani
 
Maskini ndio huwa anashabikia anguko la mtu aliyemzidi kila kitu sababu inampa relief ya inferiority complex aliyonayo!!

Huyo Zitto alikua akifanyia consultancy wizara ya fedha/Hazina ya nchi fulani hpa EA alikua analipwa $200 kwa cku moja!!

Hiyo inalingana na posho ya bunge? Mind you mali zake alizodisclose zina fikia net worth ya 2B plus!! Ikiwemo kumiliki vitalu vya gesi. Afu unadhani ategemee posho ya bungeni?

Pambana na maisha usaidie ukoo wako unaoteseka na umaskini huko maporini. Leo hii huyo Zitto hta akienda CCM atapokelewa kishujaa na kupewa hta u RC hku ww ukibaki kupovuka mitandaoni tu.

Narudia tena, black mentality na inferiority complex haitokufikisha popote.
Huyo Zitto mwenye pesa mbona husemi kama alitoa ahadi 2015 kwamba akishinda ubunge na kupata Meya wa mji kupitia ACT atawalipia ada wanafunzi wote waliochaguliwa kwenda A-level ndani ya shule za mkoa wa Kigoma, lakin hakutimiza ivo?? Sasa ajue hilo ni moja kati ya yalimpotezea ubunge, pia hakupata wanachama wapya zaidi ya kupoteza wapigakura wake.
Sisi wananchi wa Kigoma tunamisimamo yetu hata mbunge apendwe vp asipotimiza ahadi zake alizoahidi kwa mapenzi yake off he go. Apumzike tuone huyu Kirumbe (incoming) atafanya nn.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Chadema na ACT,kwa wale wabunge wenye ushahidi tosha nendeni mahakamani ili kuweka kumbukumbu!! Kinachotakiwa sasa hivi ni kuungana na kuunda chama kimoja chenye nguvu ili kuipasua ccm!! na kudai katiba mpya!!!
Ni ngumu mno kushinda kama chama tawala hakijapasuka na bila katiba mpya na tume huru!!
Na Logoff after five years tukutane tena!!!!
 
Huzi story ICC, mara kesi ICJ chadema walishadanganya nzo waty sana mpaka zikachuja
Jana nilikuambia nakusubiri jioni ya leo nione utaandika nini vipi maandamano mlipo toka Jf mligika salama Instagram je mlipokelewa mlipofika Twitter???
 
Back
Top Bottom