mayounger
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 693
- 670
Na ndomana maandamano yenu ya kishwenz yamefeli, kazi kubwabwaja maneno mengi, vitendo F.Maskini ndio huwa anashabikia anguko la mtu aliyemzidi kila kitu sababu inampa relief ya inferiority complex aliyonayo!!
Huyo Zitto alikua akifanyia consultancy wizara ya fedha/Hazina ya nchi fulani hpa EA alikua analipwa $200 kwa cku moja!!
Hiyo inalingana na posho ya bunge? Mind you mali zake alizodisclose zina fikia net worth ya 2B plus!! Ikiwemo kumiliki vitalu vya gesi. Afu unadhani ategemee posho ya bungeni?
Pambana na maisha usaidie ukoo wako unaoteseka na umaskini huko maporini. Leo hii huyo Zitto hta akienda CCM atapokelewa kishujaa na kupewa hta u RC hku ww ukibaki kupovuka mitandaoni tu.
Narudia tena, black mentality na inferiority complex haitokufikisha popote.
Kalale pungunguani wew