Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Wewe toka barabarani,wahimize majirani,ndugu zako na familia yako sisi kazi yetu ama maelekezo tutayo wapa Askari wetu hodari na jeshi letu tukufu,wakiona dalili zozote za kupanga kuhimiza ama kuunganika kwa maandamano tutawasaidia kurudi kwenye shughuli zenu kwa adabu stahiki
Subiri hiyo Jumatatu, una haraka ya nini? Mpuuzi wewe.
 
Badala ya kuhamasisha hayo maandamano, mimi nawashauri CHADEMA pamoja na ndugu zenu wa ACT Wazalendo kususia shughuli zote za Serikali kwa vitendo.

Ondoeni Wabunge na Madiwani wenu wote ili wabakie wale wa CCM tu! Shirikianeni kwa ukaribu na Mataifa Wahisani ili mabadiliko ya Katiba yafanyike kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao.

Ndani ya hiyo Katiba Mpya, vipengele muhimu kama uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi, kupunguzwa kwa mamlaka ya Rais, na pia Jeshi la Polisi kujitenga na shughuli za uchaguzi kama ilivyo kwa majeshi mengine vipewe kipaumbele!

Badala ya kulilia Serikali Tatu, sijui takataka gani, nk.

Mbinu ya maandamano kwa Watanzania, inaweza isizae matunda kutokana na ukweli kwamba Watanzania tulio wengi ni waoga wa asili! Na jambo hili limewapa kiburi na kuwaongezea jeuri Polisi na CCM ya kuwanyanyasa raia kadiri wapendavyo.
 
Kwani kuna mwaka wowote wa uchaguzi ambao vyama pinzani vilisha kubali matokeo?
Hebu acheni utoto anzeni kujipanga leo kwajili ya mwaka 2025.
Watanzania tumesha amua.
Watanzania wa wapi wameamua? Kwa uchaguzi upi? Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Subiri hiyo Jumatatu, una haraka ya nini? Mpuuzi wewe.
Karibu Sana,tupo kazini kuanzia sasa tuta hakikisha Amani na maendeleo kwa watanzania wote,wa vyama vyote ila hatuta sita kutoa elimu kwa wavurugaji na wapinga kila kitu,hata kwa yale yanayo onekaka dhahiri.
 
Watu wenyewe hawafiki hata milioni 3 halafu wanataka kutusumbua watu milioni 12.
Milion 12 ni wa NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm siyo watanzania halisi kwa kifupi CCM imepanyikwa ikulu kwa kura za kutengenezwa tu kwa njia haramu za kishetani siyo kwa sanduku la kura
 
Karibu Sana,tupo kazini kuanzia sasa tuta hakikisha Amani na maendeleo kwa watanzania wote,wa vyama vyote ila hatuta sita kutoa elimu kwa wavurugaji na wapinga kila kitu,hata kwa yale yanayo onekaka dhahiri.
Tanzania hakuna Amani kuna kisiwa cha uvumilivu tu Amani hakuna ndiyo maana hata Zanzibar kuna mauaji lakini wameendelea kuvumilia
 
Niaje niaje?

Moja Kwa moja kwenye mada kuu, napenda kuwapongeza WATANZANIA wenzangu Kwa kuwa wazalendo kabisa. Bila shaka ninyi ni mashujaa na wa kweli kabisa katika maisha ya kawaida ndio, lazima tuseme ukweli panapohitajika uwezi kupata ubunge ukalipwa posho zako ukasahau walio kupigania uupate, hii ni dharau. Kira siku ni kujipost tu uko mtandaoni mkijidai na kujitapa kama ninyi ni matajiri wakubwa mnashinda kuvaa gold kwenda kwenye mahotel makubwa na familia mkijiona Bora kabisa ndio....
kumbe manamba bado mpo endeleeni na huyo mkoloni wa burundi aendelee kufaidi hayo masaburi siye tumedhamiria kumfurusha by hooks or crooks
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo huzuni imejaa waoi?

Sema imejaa kwenye familia zenu wana ufipa baada ya Lisu kudondokea pua
Kudondokea pua ipi wakati wananchi wamempa kura nyingi lakini CCM wamejitengenezea kura zao feki na kujitangazia kupitia vyombo vyao binafsi NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm, hakuna uchaguzi huru bali CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi
 
Hata Gaddafi wakati maandamano yanaanza kupamba moto pale Bengazi alidiriki kusema "mende gani hao wanaoandamana? Hao panya wateketezeni kwa risasi".

Madaraka yalimpa kiburi na kuona kuwa hakuna nguvu yoyote ya kumuondoa madarakani. Maana jeshi lilikuwa likiongozwa na jemedari amabaye alisaidiwa kwa karibu sana na mwanaye. Gaddafi alijiona yu salama salmini.

Magufuli asichukulie poa mambo haya. Mdharau mwiba mguu huota tende. Asidhani kwa kuzungukwa na akina Mabeyo, Diwani na Siro basi yeye yu peponi. Cheza na kitu chochote maishani lkn si dhuluma. Malipo ya dhuluma ktk uislam imeandikwa kwamba ni hapa hapa duniani na hulipwa bila kuchelewa. Ataabika.

Mnaoweza kumpa ushauri Magufuli mpeni ushauri ya kwamba kwa hili mzee umekosea Sana. Arekebishe badala ya kuendelea kuwa kichwa ngumu.

Wote mnaofanya unafiki ktk kulieleza hili na kulitafutia ufumbuzi muda si mrefu mtaanza kujutia. Maana machafuko yakianza huwa ni kama mtego wa panya, unakumbakumba kila mmoja. Na taifa la Tanzania linaenda kubadilika kabisa kuanzia Sasa.

Ni hayo tu kwa watanzania wote wapenda haki. Mpeni salaam zangu hizi Magufuli.

Ni Mimi Sexless
 
kumbe manamba bado mpo endeleeni na huyo mkoloni wa burundi aendelee kufaidi hayo masaburi siye tumedhamiria kumfurusha by hooks or crooks
Baada ya uchaguzi wa America tarehe 4 kuna kitu kinakuja kwa CCM hii inayopora haki za wapiga kura kujipachika ikulu kienyeji pasipo ridhaa baraka za wapiga kura
 
MTU akiamua kuandamana anajitakia kuwa tegemezi kwa ndg zake kwa lazima huku sio marekani maaskari wetu hawacheki na viumbe wasiotumia sawasawa milango yote ya fahamu
 
MTU akiamua kuandamana anajitakia kuwa tegemezi kwa ndg zake kwa lazima huku sio marekani maaskari wetu hawacheki na viumbe wasiotumia sawasawa milango yote ya fahamu
Alibadiri inatosha kuwaamsha CCM mpaka waitishe uchaguzi upya
 
Alibadiri inatosha kuwaamsha CCM mpaka waitishe uchaguzi upya
Nani akaendeshe alibadiri wakati madhekhe na maimamu wameipigia kura ccm zinduka muulize shekhe wako alipiga wapi
 
Mi najaribu kuwaza kuhusu haya maandamano yao wanao yataka nchi nzima.

Kwanza tujue CHADEMA Wana hali mbayaa.
1.Kuwepo na Mbunge mmoja wachama sa sijui Ruzuku itakuwa beigani.Maana wapinzani wanajaribu kukijenga chama alafu mwisho wanakibomoa wenyewee[emoji23][emoji23][emoji23]

2.Najaribu kuangalia Wimbi kubwa la Viongozi wa CHADEMA kukosa kazi yenye kipato kikubwa kama Ubunge sa sitaki kujua wanao waegemea wako wangap katika kutunza familia zao.

Mwisho isije kuwa mgongo wa Demokrasia kumbe watu wanawaza kupoteza majimbo yao pamoja na Posho za Ruzuku za chama.

Maana sio lazima kuwa kiongozi bhanaaa.

Sasa ntashangaa mbongo njaa kibao afu uwache kwenda kazini kwao ama biashara zako ukatafute riziki za wewe na familia yako eti ukaandamane.

Maana nyuma ya hii najua tuu wanaumia kupoteza majimbo yao na Mzee anajua kubana matumizi na kama huna kazi ya kuelewekaa lazima uvurugweee sanaaa.

Any way nawatakia maandamano mema hiyo J3 wakati huo nipo ndani kwangu na kunywa tangawiz na karanga nikisubiria show taam na dada enu[emoji8][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Hakuna jipya hapo, picha ndio limeshaisha.
Usibeze boss,kipindi kile cha Lowassa yaliisha kwa sababu walimtumia Tb Joshua akawashauri wamwachie Mungu.
Wafuasi walikuwa tayari wakisubiria tamko LA lowassa.
 
Walijua fika kabisa kuwa hakuna cha tume huru.

Hata 2015 walikuwa wanajua tume si huru.

2010 vivyo hivyo.

Halafu subiri uone itavyokuwa 2025! Watashiriki tena chini ya tume hii hii!

Ni sikio la kufa hao.
Huko 2015 mbali sana uchaguzi unatakiwa kurudiwa haraka ikibidi hata mwezi ujao
 
Back
Top Bottom