Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Subiri hiyo Jumatatu, una haraka ya nini? Mpuuzi wewe.Wewe toka barabarani,wahimize majirani,ndugu zako na familia yako sisi kazi yetu ama maelekezo tutayo wapa Askari wetu hodari na jeshi letu tukufu,wakiona dalili zozote za kupanga kuhimiza ama kuunganika kwa maandamano tutawasaidia kurudi kwenye shughuli zenu kwa adabu stahiki