Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] duh!!
 
Wote tunajua uchaguzi mkuu wa mwaka huu haukua uchaguzi bali ulikua uchafuzi wa demokrasia, Hali jinsi inayoonekana Bunge lijalo linaenda kubadili katiba na kipengele muhimu kinachoenda kutiliiwa maanani ni kuhusu muda atakaokaa madarakani rais aliepo madarakani- Ikiwa katiba ya nchi inaenda kufanyiwa mabadiliko maana yake raia watahitajika kufanya kura ya maoni kuhusu katiba hio, Tume huru katika kura hio ya maoni ni muhimu ili raia wasipoteze haki zao kama taifa.

Tusipodai tume huru mapema kabla ya kura hiyo, Tutakua tumeuza uhuru wetu kwa watawala na yatajirudia haya yaliyojitokeza katika uchaguzi mwaka huu 2020.
 
China wapo nyuma yake
 
Tulitegemea kuyasikia haya baada ya Uchaguzi kutoka kwa hawa vibaraka wa mabeberu kwahiyo hapo hakuna kipya.

Wanatulazimisha wananchi kupinga matokeo ambayo Sisi wenyewe ndo tumeyapigia Kura.

Kuhusu kuibiwa Kura hiyo nikuendelea kujidhalilisha tu, Vyama vina zaidi ya miaka20 kwenye ulingo wa siasa bado vinalialia michezo ya kitoto Kama hiyo, je siku vikipewa nchi si ndo mtakuwa mnaimbiwa rasilimali za taifa huku mkiendelea kulialia badala ya kudhibiti.

Acha tuwaweke parking kwanza mpaka pale mtakapo jitambua Wasaliti Wakubwa nyie.
 
Dada vipi ile taringi center ya kigogo ya kujumlishia matokeo imeshatoa mshindi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tunatoka jumatatu kuandamana hakuna shida
Mkuu habari imekuwa muda sasa hatujakutana hapa jukwaani..

Nafikiri ubishi wetu umeshakwisha sasa tuijenge nchi.

Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
 
Hatuogopi tumemchagua Magufuli sasa tuandamane ili iweje wakati tuliomtaka kaja
MAGUFULI hajachaguliwa na kura za wananchi bali makaratasi yaliyotengenezwa na USALAMA WA TAIFA. Kama unapinga hapa wewe PUNGUANI hamna namna ya kukusaidia hata ukipondwa pondwa ukawa udongo na kuumbwa upya utabakia punguani
 
Watu wenyewe hawafiki hata milioni 3 halafu wanataka kutusumbua watu milioni 12.
Sawa, andaeni risasi zisizofika hata milioni 3, mtuue Sisi Wakenya, (wapinzani siyo Watanzania!)
 
Kuna rais amewahi kutekwa na CIA akiwa angani halafu akafichwa kwa miezi sita. Siku anatolewa anakuta nchini kwake kuna rais mpya. Endeleeni kumdanganya jiwe.
Hii itakuwa series ya 24, sasa unaleta movie bwege wewe
 
“Kama Kuna Mtanzania anaamini Matokeo ya Uchaguzi yaliyotangazwa ni sahihi basi atangulie Mirembe akapimwe akili. “- Mh. Mbowe

N:B; Nitajitolea usafiri wa bure kabisa kuwapeleka mpka milembe.
Hili tusi Mbowe Mungu anamuona...yaani sisi Watanzania 12M twende mirembe hii ni dharau kubwa dhidi yetu.

Uchaguzi umeisha hakuna cha kurejea hapa.

Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
 
Safi sana Chadema na ACT. Haya ndo maamuzi niliyokuwa nayatarajia. Tukikalia kimya udhalimu huu nawahakikishieni, watanzania kwenye hii miaka 5 tunaenda kuchinjwa kama kuku...
Pale Mbeya sugu alikuwa karidhika hata kipindi cha kampeni yy akawa anakula bata tu wakati dada anakomaa kutafuta kura, kapigwa kata funua mnalalama nyuma ya keyboard ha ha ha!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…