Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu WATANZANIA,
Hii ndiyo fursa pekee ya kudai UHURU wetu kutoka kwa MKOLONI wa CHATO. Nyerere na wenzie walipigana wakamtoa Mkoloni MWINGEREZA na tukawa huru kuanzia 1961 mpaka 2015 alipokuja huyu MRUNDI wa CHATO...
Nenda kadai wew iyo haki unayoitakaNdugu WATANZANIA,
Hii ndiyo fursa pekee ya kudai UHURU wetu kutoka kwa MKOLONI wa CHATO. Nyerere na wenzie walipigana wakamtoa Mkoloni MWINGEREZA na tukawa huru kuanzia 1961 mpaka 2015 alipokuja huyu MRUNDI wa CHATO...
Mimi kama mwanamke ninayejielewa siwezi kuwa na mwanaume mwenye akili za kiboya na coward kama wewe.VIJANAA wenzangu msije mkajifanya mmepagawa na nyie mkaandamana na hao wana siasa ....we waangalie tyuu wenyewe wafanye maandamano yao ..bado tuna vingii vyakufany kwny maisha na family .....yaan mtapigwaaa .....vibayaa sanaa yaan atakaye sapot iv vituu hatokuja kusahau katik maisha yak kama atakuwa hai
Hata wakati wa kupinga ubaguzi wa rangi South Africa. Kulikuwa na watu waliokuwa na akili Kama zakoIringa tunaandaa mashamba kuwahi mvua mtuache
Tunatoka jumatatu kuandamana hakuna shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nyie mnataka Lisu aongee lugha gani kama anataka muandamane?
Watu wamegawanyika nyumbani kwako labda. Mi nipo hapa Mlimani City hamna hata watu wamegawanyika.Unajengaje nchi ikiwa watu wamegawanyika hivi? Taifa limejaa huzuni HAIJAPATA TOKEA!! Tunauona mwanzo wa Udikiteta katika historia ya nchi hii nzuri yenye upendo miongoni mwa wananchi Na sasa Kuna Kundi limeanza kutugawa kutujaza chuki kwenye mioyo yetu...Hili kundi lipokee laana ktk maisha yao na vizazi vyaooo!!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Wana mapinduzi hawako kama unavyofikiri wewe bali huangalia matokeo makubwa na hawajali kufa. Wewe ambaye unaogopa kudai haki iliyodhulumiwa kaa pembeni na usitu katishe tamaa tulio tayari. Nelson Mandela alikaa jela miaka 27 na wenzie wasiozidi 30, lakini dunia inamkumbuka kwa uhuru wa SA.Wakafie mbele, hatuandamani ng'oooooooo! Wewe unafikiri zile kelele za nileteeeni gwajimaaaaaa zilikuwa bure! Andamaneni na familia zenu
kwanza sijaona wa kuwatoa watu nchi mzima waandamane, nawashauri wawaeleze ukweli Mabeberu Mabwana zao kwamba Tz sio kama nchi nyingine, hii nchi iko tofauti sana, subiri waone kitakachowatokea.Wakafie mbele, hatuandamani ng'oooooooo! Wewe unafikiri zile kelele za nileteeeni gwajimaaaaaa zilikuwa bure! Andamaneni na familia zenu
Niambie hawara wa lowasa anayejinyenyea muda wote.Uchaguzi umeshaisha jamani. Kwa sasa tujenge nchi.
Mimi kama mwanamke ninayejielewa siwezi kuwa na mwanaume mwenye akili za kiboya na coward kama wewe.
Sifa ya mwanaume ni kupambana...tena akae mbele kabisa kutetea Nchi yake na kizazi chake...
Mitandaoni hakuna waandamaji mzee, huku ni makeybord master tu, vigeugeu waliojaa uoga.Wana mapinduzi hawako kama unavyofikiri wewe bali huangalia matokeo makubwa na hawajali kufa. Wewe ambaye unaogopa kudai haki iliyodhulumiwa kaa pembeni na usitu katishe tamaa tulio tayari. Nelson Mandela alikaa jela miaka 27 na wenzie wasiozidi 30, lakini dunia inamkumbuka kwa uhuru wa SA...