Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Ndugu WATANZANIA,
Hii ndiyo fursa pekee ya kudai UHURU wetu kutoka kwa MKOLONI wa CHATO. Nyerere na wenzie walipigana wakamtoa Mkoloni MWINGEREZA na tukawa huru kuanzia 1961 mpaka 2015 alipokuja huyu MRUNDI wa CHATO...

Hatuogopi tumemchagua Magufuli sasa tuandamane ili iweje wakati tuliomtaka kaja
 
Ndugu WATANZANIA,
Hii ndiyo fursa pekee ya kudai UHURU wetu kutoka kwa MKOLONI wa CHATO. Nyerere na wenzie walipigana wakamtoa Mkoloni MWINGEREZA na tukawa huru kuanzia 1961 mpaka 2015 alipokuja huyu MRUNDI wa CHATO...
Nenda kadai wew iyo haki unayoitaka
 
VIJANAA wenzangu msije mkajifanya mmepagawa na nyie mkaandamana na hao wana siasa ....we waangalie tyuu wenyewe wafanye maandamano yao ..bado tuna vingii vyakufany kwny maisha na family .....yaan mtapigwaaa .....vibayaa sanaa yaan atakaye sapot iv vituu hatokuja kusahau katik maisha yak kama atakuwa hai
Mimi kama mwanamke ninayejielewa siwezi kuwa na mwanaume mwenye akili za kiboya na coward kama wewe.

Sifa ya mwanaume ni kupambana...tena akae mbele kabisa kutetea Nchi yake na kizazi chake...

Mimi kama mama nitapambana kutunza watoto wake na legacy yake....ikitokea bahati mbaya katangulia mbele ya haki.

Uoga na hofu ni dhambi

Uzalendo kwanza.
 
Unajengaje nchi ikiwa watu wamegawanyika hivi? Taifa limejaa huzuni HAIJAPATA TOKEA!! Tunauona mwanzo wa Udikiteta katika historia ya nchi hii nzuri yenye upendo miongoni mwa wananchi Na sasa Kuna Kundi limeanza kutugawa kutujaza chuki kwenye mioyo yetu...Hili kundi lipokee laana ktk maisha yao na vizazi vyaooo!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Watu wamegawanyika nyumbani kwako labda. Mi nipo hapa Mlimani City hamna hata watu wamegawanyika.
 
“Kama Kuna Mtanzania anaamini Matokeo ya Uchaguzi yaliyotangazwa ni sahihi basi atangulie Mirembe akapimwe akili. “- Mh. Mbowe

N:B; Nitajitolea usafiri wa bure kabisa kuwapeleka mpka milembe.
 
Wakafie mbele, hatuandamani ng'oooooooo! Wewe unafikiri zile kelele za nileteeeni gwajimaaaaaa zilikuwa bure! Andamaneni na familia zenu
Wana mapinduzi hawako kama unavyofikiri wewe bali huangalia matokeo makubwa na hawajali kufa. Wewe ambaye unaogopa kudai haki iliyodhulumiwa kaa pembeni na usitu katishe tamaa tulio tayari. Nelson Mandela alikaa jela miaka 27 na wenzie wasiozidi 30, lakini dunia inamkumbuka kwa uhuru wa SA.

Hata Ernesto Che Guevara, Fidel Castro na wana mapinduzi wengine walijitoa nafsi zao kwa ajili ya faida ya walio wengi. JK Nyerere Baba wa Taifa aliacha kazi ya Ualimu akachanganyika na wenzie wachache wakamtoa Mkoloni Mwingereza.

Wewe kama ni mwoga hulazimishwi, kaa nyumbani kwako na mkeo au mumeo na kama ni tegemezi kaa na wazazi wako. WAACHE WANAUME walioamua kuleta HAKI, UHURU na MAENDELEO waingie BARABARANI.

Usipoteze muda kututahadharisha tunajuwa kuna kufa na kuumia ila tumejitoa mhanga.

Unaweza ukaogopa kufa kwa kuingia maandamano ya HAKI lakini ukafa kwa kunywa maji machafua kwa ugonjwa wa kichocho tu, au ukafa kwa UKIMWI wa kuambukizwa na House Girl. Kama tulivyokuja duniani ndiyo tutakavyokufa.

Hata huyo MAGUFULI anayelindwa na majeshi yenye nguvu na mitambo, ikifika siku yake ya kufa anakufa kama Benjamin Mkapa tu.

WATANZANIA hatukubali kuwa WATUMWA kwenye nchi yetu.
 
Wakafie mbele, hatuandamani ng'oooooooo! Wewe unafikiri zile kelele za nileteeeni gwajimaaaaaa zilikuwa bure! Andamaneni na familia zenu
kwanza sijaona wa kuwatoa watu nchi mzima waandamane, nawashauri wawaeleze ukweli Mabeberu Mabwana zao kwamba Tz sio kama nchi nyingine, hii nchi iko tofauti sana, subiri waone kitakachowatokea.
 
"Tunadai kuitishwa upya kwa uchaguzi mkuu haraka iwezekanavyo, tunahitaji kuvunjwa kwa NEC na ZEC na kuunda tume huru za uchaguzi, zitakazosimamia uchaguzi mkuu huo"-Freeman Mbowe - Mwenyekiti CHADEMA

#MkutanonaWanahabari
 
Katika jamii iliyostaarabika, ukiona hujaridhika na jambo unafuata taratibu za kisheria, kijamii au kisiasa kutafuta utatuzi.

Uchaguzi ulikuwa huru na umefanyika kwa amani.

Kama kuna mgombea hajaridhika. Anatakiwa akashitaki mahakamani. Kama anaona mlango wa mahakama hauingiliki, basi afanye maongezi na upande wa pili kutafuta kile kinachoweza kumridhisha.

Ukiandamana tu bila kufanya jitihada za maongezi, hakuna mstaarabu yeyote duniani atakayekuunga mkono. Swali la kwanza utaulizwa, je ulifanya hatua gani kabla ya kuandamana? Ukisema hajafanya hatua nyingine yoyote, unaonekana mshari.

Kwahiyo, ushauri wangu, hawa ambao hawajaridhika wawasiliane na Humphrey Polepole wapange kufanya maongezi. Au wanaweza kumtafuta mzee kama Butiku akawasaidia kufikisha ujumbe wao kwa Bashiru.

Tanzania ni nchi ya amani. Tuilinde.
 
Mimi kama mwanamke ninayejielewa siwezi kuwa na mwanaume mwenye akili za kiboya na coward kama wewe.

Sifa ya mwanaume ni kupambana...tena akae mbele kabisa kutetea Nchi yake na kizazi chake...

Hahaha utabakia kutunza legacy yake, nimeipenda hiyo, vp hautatembea na Mbowe au Zito huku nyuma? Una hakika utabakia mwaminifu?
 
Wana mapinduzi hawako kama unavyofikiri wewe bali huangalia matokeo makubwa na hawajali kufa. Wewe ambaye unaogopa kudai haki iliyodhulumiwa kaa pembeni na usitu katishe tamaa tulio tayari. Nelson Mandela alikaa jela miaka 27 na wenzie wasiozidi 30, lakini dunia inamkumbuka kwa uhuru wa SA...
Mitandaoni hakuna waandamaji mzee, huku ni makeybord master tu, vigeugeu waliojaa uoga.
 
Ah wanazingua now
Hayo mambo yakianza kufanyika si vitu vyote vinasimama?

Ishu imetokea wajipange kwa 2025 hizo mambo za maandamano ni ujinga tu
 
Tunawasubiri kwa hamu katika maandamamo yao,tunawahakikishia tuta tumia vyombo vyetu vya ulinzi vilivyo tukuka kuanzia jeshi la wananchi,jeshi la polisi kuhakikisha tunatoa ulinzi imara kwa mama Tanzania
 
Back
Top Bottom