CHADEMA na TEC hawakutuma Mwakilishi kwenye Kongamano la Vyama vya Siasa?

wa TEC si alikuepo 😳
 
TEC hawawezi kugomea, kuzira, kujivunga, au kupuuza kongamano lolote linalojadili masuala ya KITAIFA eti wawaachie wengine wafanye wanavyotaka halafu baadae waje kulaumu, hawawezi kufanya hivyo kamwe.
Walikuepo zaidi ya moja tena kwa platform zaidi ya moja kwenye ukumbi moja.
 
Aisee, naona umeamka sio sawa. Hao waumini wake watasimama hadharani kuunga mkono huo mkataba?
Mfano, makamu wa raisi ni mkatoliki sasa ataweza kusimama hadharani na kusema maaskofu wamekosea. Una maana gani unaposema taasisi hizi hazina impact yoyote
 
Hayo ni mawazo ya mhitimu wa madrassa
 
Hizo ndio taasisi pekee zinazojitambua kwa sasa nchini.
Wacha hao wanafiki wengine waendeleze unafiki wao
 
Hivyo hivyo Ila hajasema gazeti kasema Katiba ni kitabu km kilivyo kitabu cha 'Adili na Nduguze' Shaaban Robert
Kwahiyo kiliitishwa kongamano la kujadili kitabu cha Adili na nduguze utaenda?
 
Mamlaka ya nchi iliyopatikana kwa uchaguzi wa kihayawani nayo ni ya kuogopwa?
 
TEC waende kufanya nini kwenye kongamano la vyama vya siasa?
 
Hivyo hivyo Ila hajasema gazeti kasema Katiba ni kitabu km kilivyo kitabu cha 'Adili na Nduguze' Shaaban Robert


Maana maudhui ya kikao yalikuwa kujadili kitabu cha Adili na Nduguze, unaona ulivyo na akili ya hovyo.
 
TEC ni chama cha siasa?
 
Mama alichanganyikiwa kuona wadau muhimu kama TEC na CHADEMA hawapo,kilichobaki ikawa ni kuimba taarabu jukwaani.Aibu kubwa sana kwa taifa!
Acha porojo hujafatilia TEC walikuepo
 
Your browser is not able to display this video.

Hapo vipi πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
IBARA 4 (2) ya mkataba huu wa Kimangungo inasema Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Yaani Tanzania iombe ridhaa Dubai kwa Mali zake? Huu ujinga ubaki kwako na CCM yako.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mnapoteza muda tuu kuendekeza negativity kwa kiongozi wa nchi
 
Ule siyo mkataba mkuu, taasisi ya serikali yenye mamlaka kuingia mikataba ya bandari ni TPA basi na siyo vinginevyo. Kuhusu hiyo ibara ya nne inazungumzia kujikinga na conflict of interests au mgongano wa kimaslahi soma pia s.4 ya land act
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…