CHADEMA na TEC hawakutuma Mwakilishi kwenye Kongamano la Vyama vya Siasa?

Yaani TEC na Chadema watume wawakilishi kwenye tamasha la kina Mrisho Mpoto,Abdu Nondo kweli!
kweli kuna watu wengi humu hamfuatilii mambo yanavyokwenda, mnaendeshwa kwa hisia wakati mkutano wenyewe ulikua live bila chenga.

Aliezungumza baada ya Asakofu Bangonza ni muwakilishi kutoka TEC anaitwa Dr. Camilius Kasala, Mkurugenzi wa Utu na Hadhi ya Mwanadamu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzazania.

Kanisa katoliki haliwezi hata siku moja kususia au kugomea jambo lolote amabalo mwisho wa siku linaweza kuwa na faida au hasara kwa waamini wake. Hilo kanisa ni la kipekee sana, ni lazim liwawakilishe waamini wake bila kukosa ili kukwepa laumu na manunguniko ya waamini wao huko mbeleni.
 
Anaiwakilisha Zanzibar kwa tiketi ya Chama gani?
usiulize kwa Tiketi ya Chama Gani.....tofauti na vyama vya siasa kila mtu anamajukumu yake mengine kama Walimu, wachumi, wazee wa busara and so on.... swali la msingi... uliza ameshiriki kwa Maslahi ya nani na kwa mwaliko wa nani ? ni jambo la kitoto kama msemaji rasmi wa Chadema anasema Chadema hawajutuma mwakilishi rasmi ila CCM wanang'ang'ania Chadema wanamwikilishi, Je amebeba maoni ya Chadema ? Amequalify kuwa mwakilishi wa Chadema bara na visiwani ? je Chama kitafanyia kazi chochote kitakachoamuliwa huko ? Jibu ni Hapana.
 
Tuendelee kutoa maoni mtandaoni ili yachukukuliwe na serikali. Mimi maoni yangu ni kukataa nchi kuhatarisha uhai wake kwa kukabidhi rasilimali muhimu kwa mataifa ya kigeni. Hili ni kuipeleka nchi kwenye ukoloni mpya unaoweza kusababisha machafuko kama yale ya Darfur huko Sudan, ambapo baada ya waarabu kufanikiwa kutawala maswala muhimu ya taifa hili, wakaamua kuwaangamiza watu wote weusi wenye asili ya uafrika ili waendelee kuitanua himaya ya kiarabu.
Tukatae kuweka shingo zetu hatarini kwa ajili ya kuchinjwa siku za usoni na hawa maharamia wasiokuwa na utu.
 
Unajitahidi kutetea jambo fulani lakini mbona kauli yako inapingana dhamira ya R4 za Rais Samia?
 
Na wewe unaamini Chadema hawajatuma mtu?!
 
Huyo atakuwa amehudhuria bila ridhaa ya chadema. Watamuita msaliti sawa na wale wabunge 19 wa viti maalum.
 
Hotuba ya ufunguzi kutoka kwa Rais (Mama Samia) ilizungumzia mgawanyiko.
Kwani mgawanyiko ndani ya chama huthibitishwa vipi? Fikiria nje ya sanduku.
 
Yaani baadaye mseme waliwaharibia kitchen party yenu?
 
Wanamaslahi yao binafsi, sisi wananchi masikini tunaenda na wale wenye mtazamo chanya na wanapambania maslahi ya taifa.

JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo walivyoipotezea katiba wakataka kumpiga chini yeye ilikuwa sawa au sio?? Mbona sasa ana kinyongo hadi kesho??

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Wewe usitutoe kwenye reli

Swali: Katiba ni nini?

Jibu: Ni kitabu tu km vilivyo vitabu vingine
Kila kitabu kina sababu yake, na katiba ni kitabu chenye muongozo wa utawala wa nchi. Au unataka maelezo ya ziada?
 
Kila kitabu kina sababu yake, na katiba ni kitabu chenye muongozo wa utawala wa nchi. Au unataka maelezo ya ziada?
Ni kitabu au ni Sheria Mama?
Usichanganye madesa Mzee utapotea unatetea hoja kizembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…