CHADEMA na Upinzani kwa ujumla tumpongeze Bobi Wine kwa hatua ya mafanikio aliyofikia!

CHADEMA na Upinzani kwa ujumla tumpongeze Bobi Wine kwa hatua ya mafanikio aliyofikia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Kama Wapinzani wa Afrika Mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu.

Hadi sasa Bobi Wine amepata 34% ya kura zilizohesabiwa dhidi ya 58% ya Yoweri Museveni. Kura bado zinahesabiwa katika vituo vichache vilivyobaki.

Ikumbukwe Tundu Lissu alipata wastani wa 13% ya kura zote.
 
Kama wapinzani wa Afrika mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu..
John mara moja moja tuwe halisia katika mambo ya msingi, mazingira yetu sii mazingira ya wenzetu.
 
Kama wapinzani wa Afrika mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu...
Lisu alishinda uchaguzi wa Tanzania lakini ccm wakapindua meza wakampora ushindi kwa uonevu mkubwa
 
Kama wapinzani wa Afrika mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu...
Mbona sijui kuwa uchaguzi umerudiwa! Hata hivyo huyo Wine alijiunga lini na Chadema na katokea wapi?
 
Chadema walishatulia zao na kunyamaza bado hamlali bila kuwasema ,hivi huwezi kuishi bila kutaja chadema mbona ccm mnakuwa wajinga hivi ni kama sehemu za bongo zenu zimeshikwa na chadema
Si baaada ya kugaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwituu. Poleni saanaa
 
Back
Top Bottom