Hapana kuhusu ukabila Uganda napinga maana wangeenda hivyo Besigye asingewahi kupata kura eneo la BUGANDA na angezoa pia kura za kumwaga huko magharibi ila haipo hivyo.
Kule miaka mingi siasa ziko dominated na makabila ya magharibi hta wagombea urais awamu hii 70% ni magharibi ila wagombea wa-gganda cjawahi kuona wakitoboa licha ya kuwa wengi zaidi.
But Kenya nakubaliana na ww ukabila ndio kila kitu, hku kwetu hizo siasa zipo hasa pemba na unguja na ndio maana watu wanaona kma ni wapinzani sana bila kujua kule vyama vinaenda na historia ya kizawa.
Hku Bara kidogo udini ndio una influence kura hasa za majimboni, kule kigoma kaskazini nlishuhudia wanamkataa Zitto kisa ni muislam ndio maana akaenda ujiji alafu yule mkristo akagombea kaskazini na wote wakashinda.
So mfano CHADEMA kwa kuwa ilikua na top cream ya imani fulani basi maeneo yaliyokua yana imani tofauti yakaona "sio wenzao" mfano Tanga,zenji na mtwara ila CUF kwa kuwa viongozi wa juu walikua imani fulani so kikaaminika sana maeneo ya pwani pekee na kikaonekana cha kigaidi kwenye mikoa ya magharibi.