johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa..... !Si baaada ya kugaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwituu. Poleni saanaa
Hahahaaaa..... !Si baaada ya kugaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwituu. Poleni saanaa
Halafu yeye kasepa, ha ha ha.Kiukweli Bob Wine wangesimama na Lisu, Lisu angepigwa mchana kweupe!
Kawaachia chadema mbunge mmoja.
Bila kuitaja Chadema hataona mlango wa chooni so hapo yuko kwenye ajira mvumilie tuChadema walishatulia zao na kunyamaza bado hamlali bila kuwasema ,hivi huwezi kuishi bila kutaja chadema mbona ccm mnakuwa wajinga hivi ni kama sehemu za bongo zenu zimeshikwa na chadema
Alafu huu usenge wa kuzima mitandao wakati General elections za nchi za EAST AFRIKA ni nani kauleta?.Kama wapinzani wa Afrika mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu.
Hadi sasa Bobi Wine amepata 34% ya kura zilizohesabiwa dhidi ya 58% ya Yoweri Museveni. Kura bado zinahesabiwa katika vituo vichache vilivyobaki.
Ikumbukwe Tundu Lisu alipata wastani wa 13% ya kura zote.
Mwenyewe ukafuraahi kabisa wenzako kupigwaa na kunyanyaswa.Si baaada ya kugaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwituu. Poleni saanaa
What's your concern mr? Ni kwanini cdm ndio wapongeze badala ya ccm kwa rafiki na swahiba wao kumaintain momentum? Acha unafiki kwani una athari kubwa hasi kisaikolojia!Kama wapinzani wa Afrika mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu.
Hadi sasa Bobi Wine amepata 34% ya kura zilizohesabiwa dhidi ya 58% ya Yoweri Museveni. Kura bado zinahesabiwa katika vituo vichache vilivyobaki.
Ikumbukwe Tundu Lisu alipata wastani wa 13% ya kura zote.
CCM watampongeza Mu7!What's your concern mr? Ni kwanini cdm ndio wapongeze badala ya ccm kwa rafiki na swahiba wao kumaintain momentum? Acha unafiki kwani una athari kubwa hasi kisaikolojia!
Ni dalili ya kutokuwa na hoja, unaweka mada ambayo tayari unalengo lako la kuchokonoa, hivi na wewe ni GT su umeparamia tu jukwaa!Wewe shughulika kwanza na Corona huko nchini kwenu Malawi!
Rubbish! kwani hapa kulikuwa na uachaguzi? huwezi linganisha na Uganda pamoja na kuwa nako ni wizi huo huo....angalau maboksi hayakunyakuliwa mengi kama hapa. no stacked ballots has been reported, mawakala hawakufukuzwa kwenye vituo etc etc. Kmbe una kichaa kichwaniKama wapinzani wa Afrika mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu.
Hadi sasa Bobi Wine amepata 34% ya kura zilizohesabiwa dhidi ya 58% ya Yoweri Museveni. Kura bado zinahesabiwa katika vituo vichache vilivyobaki.
Ikumbukwe Tundu Lisu alipata wastani wa 13% ya kura zote.
Kama ndivyo Basi pongezi zinatosha na cdm hawahitajiki kupongeza.CCM watampongeza Mu7!
Hahahaaaa......... Kwahiyo hamtumi pongezi?Rubbish! kwani hapa kulikuwa na uachaguzi? huwezi linganisha na Uganda pamoja na kuwa nako ni wizi huo huo....angalau maboksi hayakunyakuliwa mengi kama hapa. no stacked ballots has been reported, mawakala hawakufukuzwa kwenye vituo etc etc. Kmbe una kichaa kichwani
Wajinga hawataisha hii comparison inakujaje?Kiukweli Bob Wine wangesimama na Lisu, Lisu angepigwa mchana kweupe!
Kawaachia chadema mbunge mmoja.
kumpongeza nani?Hahahaaaa......... Kwahiyo hamtumi pongezi?
Bobi Wine!kumpongeza nani?
Mjinga katika ubora wakoNikichoandika cha uongo ni kipi?
Lisu alipata 13%
Bob amepata 34%
Lisu aliwaachia mbunge 1
Bob mpaka sasa ana wabunge zaidi ya 20
Haya nani ni loser hapo?
Tutampongeza kwa vile kashinda ila kanyanganywa haki yake...... Nikuulize swali, hivi dhambi ya wizi wa kura mtaitubu wapi?Bobi Wine!