Mkuu kwani yanayoaminika ni yapi?johnthebaptist
Hivi na wewe unaamini kabisa matokeo yaliyotolewa na Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi, Charles Mahera, kuwa Tundu Lissu aliambulia asilimia 13 tu ya kura zote zilizopigwa?
Pinga hayo matokeoMjinga katika ubora wako
Kwangu hii ni mpya, kwa hiyo wapinzani wanashiriki chaguzi kwa faida ya matumbo yao? Mbowe akikusikia itakuwa taabu . . . . . . . .Ukiondoa Nchi chache sana Africa, ni kupoteza muda tu kuingia kwenye uchaguzi wowote ambapo mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi anapokea maagizo kutoka kwa Rais na mgombea
Cha kusikitisha ni kwamba Wapinzani huwa wanajua kabla nini kitatokea ila wanaingia kwenye uchaguzi ili angalau wapate ruzuku
Hivi Rais ni nani? Ni malaika anadodoka toka mbiguniiii au ni mwanadamu anayechaguliwe na wanadamu? Sheria zinasema lazima atokane na chama fulani, itakuwaje Watanzania wamchague Rais chama Z wabunge watoke chama X? Si ni sera hizi hizo? Wapiga kura kumchagua Rais ina maana wana imsni naye, ilani yake na chama chake, akisema NIPENI GWAJIMA! NIPENI GWAJIMA! NIPENI GWAJIMA! watamtii na kumpa Gwajima.Kwangu hii ni mpya, kwa hiyo wapinzani wanashiriki chaguzi kwa faida ya matumbo yao? Mbowe akikusikia itakuwa taabu . . . . . . . .
58% percent TOKA wapi , mgombea nae anakusanya matokeo , na yapo up to date ,kila wakati ,WATANZANI na wanganda sio wajingaKama Wapinzani wa Afrika Mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu.
Hadi sasa Bobi Wine amepata 34% ya kura zilizohesabiwa dhidi ya 58% ya Yoweri Museveni. Kura bado zinahesabiwa katika vituo vichache vilivyobaki.
Ikumbukwe Tundu Lisu alipata wastani wa 13% ya kura zote.
Upinzani umeshafutika,, relax bby girl.Kama Wapinzani wa Afrika Mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu.
Hadi sasa Bobi Wine amepata 34% ya kura zilizohesabiwa dhidi ya 58% ya Yoweri Museveni. Kura bado zinahesabiwa katika vituo vichache vilivyobaki.
Ikumbukwe Tundu Lisu alipata wastani wa 13% ya kura zote.
Unatumia asilimia ndogo sana ya ubongo wako kufikiri ndio maana kila unachoambiwa unaamini.Nikichoandika cha uongo ni kipi?
Lisu alipata 13%
Bob amepata 34%
Lisu aliwaachia mbunge 1
Bob mpaka sasa ana wabunge zaidi ya 20
Haya nani ni loser hapo?
Wanavyopenda makesi, wangepigwa wakaaa kimyaa?? Acheni maigizo ya kishambaaaMwenyewe ukafuraahi kabisa wenzako kupigwaa na kunyanyaswa.
Hapana, political change is a process not an event.Kwangu hii ni mpya, kwa hiyo wapinzani wanashiriki chaguzi kwa faida ya matumbo yao? Mbowe akikusikia itakuwa taabu . . . . . . . .
Leteni maendeleo kwa wananchi tu, sidhani kama wapinzani wanawakwamisha kwa sasaUnaushahidi gani wa kuikataa, mbona hukuandamana kuipinga?
Nachoweza kusema ni kimoja.... Museveni walau anatumia brain japo kidogo kuliko majirani zake wenye tabia kama yake ya kidikteta!Kama Wapinzani wa Afrika Mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu.
Hadi sasa Bobi Wine amepata 34% ya kura zilizohesabiwa dhidi ya 58% ya Yoweri Museveni. Kura bado zinahesabiwa katika vituo vichache vilivyobaki.
Ikumbukwe Tundu Lisu alipata wastani wa 13% ya kura zote.
Thanks for education, but politics of Uganda mapungufu yake ni siasa ambazo kabila ndio basis ya kupata wapiga kura, na hiyo naiona kenya pia.Hapana, political change is a process not an event.
Sun Tzu said negotiate while advancing sio negotiate while retreating.
Ni lazima ukiwa unadai tume huru uendelee kusonga mbele kwenue active politics ili kujenga momentum.
Mfano Besigye alifuta mawaziri kibao wa M7 ile 2016 same to Bobi Wine wameangusha mawaziri 17 wa M7 mwaka huu. Ikimaanisha ni basis ya kuonyesha kuwa Serikali za NRM zimekataliwa na kila atakayejinasibisha nao atakataliwa vibaya.
So wapinzani wanashiriki kila chaguzi hta kma wanajua wataibiwa kujenga momentum hku wakiendelea kudai mabadiliko sababu hayaji siku moja.
CHANGE IS A PROCESS
Wafanya maigizo wanafahamika hata nawatoto,sijui wewe mwenzangu.Wanavyopenda makesi, wangepigwa wakaaa kimyaa?? Acheni maigizo ya kishambaaa
Wanamaigizo niwale makanjanja baada ya kugaragazwa kwenye sunduku la kupigia kura, ilibidi watengeneze maigizo ya kuokota vikaratasi majalalani na kuviita kula feki, halafu wakatengeneza igizo la kutishiwa iliwasepe zao ugaibuni kwa kukwepa aibu ya kugaragazwa vibayaaWafanya maigizo wanafahamika hata nawatoto,sijui wewe mwenzangu.
Hayo Mimi siyafahamu ndio nasikia kwao,yawezekana hata wewe unafanya maigizo hayo unayosema.Wanamaigizo niwale makanjanja baada ya kugaragazwa kwenye sunduku la kupigia kura, ilibidi watengeneze maigizo ya kuokota vikaratasi majalalani na kuviita kula feki, halafu wakatengeneza igizo la kutishiwa iliwasepe zao ugaibuni kwa kukwepa aibu ya kugaragazwa vibayaa
Pole saanaHayo Mimi siyafahamu ndio nasikia kwao,yawezekana hata wewe unafanya maigizo hayo unayosema.