johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Unaushahidi gani wa kuikataa, mbona hukuandamana kuipinga?Majizi yamepeana uzoefu. Hiyo 13% ya Lissu ilithibitishwa na chombo gani huru?.
Kura za kwenye mabegi.Kiukweli Bob Wine wangesimama na Lisu, Lisu angepigwa mchana kweupe!
Kawaachia chadema mbunge mmoja.
Sampuli hii ndo imebaki kama watetezi Wa CCM.Kiukweli Bob Wine wangesimama na Lisu, Lisu angepigwa mchana kweupe!
Kawaachia chadema mbunge mmoja.
Nikichoandika cha uongo ni kipi?Sampuli hii ndo imebaki kama watetezi Wa CCM.
Zimwi la wizi wa kura kwenye mabegi meusi bado linawatesa.mbona ccm mnakuwa wajinga hivi ni kama sehemu za bongo zenu zimeshikwa na chadema
John mara moja moja tuwe halisia katika mambo ya msingi, mazingira yetu sii mazingira ya wenzetu.Kama wapinzani wa Afrika mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu..
Lisu alishinda uchaguzi wa Tanzania lakini ccm wakapindua meza wakampora ushindi kwa uonevu mkubwaKama wapinzani wa Afrika mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu...
Mbona sijui kuwa uchaguzi umerudiwa! Hata hivyo huyo Wine alijiunga lini na Chadema na katokea wapi?Kama wapinzani wa Afrika mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu...
Wewe shughulika kwanza na Corona huko nchini kwenu Malawi!Mbona sijui kuwa uchaguzi umerudiwa! Hata hivyo huyo Wine alijiunga lini na Chadema na katokea wapi?
Si baaada ya kugaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwituu. Poleni saanaaChadema walishatulia zao na kunyamaza bado hamlali bila kuwasema ,hivi huwezi kuishi bila kutaja chadema mbona ccm mnakuwa wajinga hivi ni kama sehemu za bongo zenu zimeshikwa na chadema