CHADEMA na Upinzani kwa ujumla tumpongeze Bobi Wine kwa hatua ya mafanikio aliyofikia!

Mmekwishaanza kutifuana wenyewe kwa wenyewe mmewakumbuka wapinzani hadi mnawaomba viti maalum waende! Bure kabisa
 
Kwangu hii ni mpya, kwa hiyo wapinzani wanashiriki chaguzi kwa faida ya matumbo yao? Mbowe akikusikia itakuwa taabu . . . . . . . .
 
Kwangu hii ni mpya, kwa hiyo wapinzani wanashiriki chaguzi kwa faida ya matumbo yao? Mbowe akikusikia itakuwa taabu . . . . . . . .
Hivi Rais ni nani? Ni malaika anadodoka toka mbiguniiii au ni mwanadamu anayechaguliwe na wanadamu? Sheria zinasema lazima atokane na chama fulani, itakuwaje Watanzania wamchague Rais chama Z wabunge watoke chama X? Si ni sera hizi hizo? Wapiga kura kumchagua Rais ina maana wana imsni naye, ilani yake na chama chake, akisema NIPENI GWAJIMA! NIPENI GWAJIMA! NIPENI GWAJIMA! watamtii na kumpa Gwajima.
 
58% percent TOKA wapi , mgombea nae anakusanya matokeo , na yapo up to date ,kila wakati ,WATANZANI na wanganda sio wajinga
 
Upinzani umeshafutika,, relax bby girl.
 
Nikichoandika cha uongo ni kipi?

Lisu alipata 13%
Bob amepata 34%

Lisu aliwaachia mbunge 1
Bob mpaka sasa ana wabunge zaidi ya 20

Haya nani ni loser hapo?
Unatumia asilimia ndogo sana ya ubongo wako kufikiri ndio maana kila unachoambiwa unaamini.
Akili ya kuambiwa changanya na yako
 
Bila tume huru ya uchaguzi na inayothibitika kuwa huru kimfumo na kiutendaji, Mimi sitakaa nipange foleni kwenda kupiga kura.
 
Kwangu hii ni mpya, kwa hiyo wapinzani wanashiriki chaguzi kwa faida ya matumbo yao? Mbowe akikusikia itakuwa taabu . . . . . . . .
Hapana, political change is a process not an event.

Sun Tzu said negotiate while advancing sio negotiate while retreating.

Ni lazima ukiwa unadai tume huru uendelee kusonga mbele kwenue active politics ili kujenga momentum.

Mfano Besigye alifuta mawaziri kibao wa M7 ile 2016 same to Bobi Wine wameangusha mawaziri 17 wa M7 mwaka huu. Ikimaanisha ni basis ya kuonyesha kuwa Serikali za NRM zimekataliwa na kila atakayejinasibisha nao atakataliwa vibaya.

So wapinzani wanashiriki kila chaguzi hta kma wanajua wataibiwa kujenga momentum hku wakiendelea kudai mabadiliko sababu hayaji siku moja.

CHANGE IS A PROCESS
 
Nachoweza kusema ni kimoja.... Museveni walau anatumia brain japo kidogo kuliko majirani zake wenye tabia kama yake ya kidikteta!
 
Thanks for education, but politics of Uganda mapungufu yake ni siasa ambazo kabila ndio basis ya kupata wapiga kura, na hiyo naiona kenya pia.
Kadiri Museveni anabaki madarakani baadhi ya makabila makubwa lazima yaungane na sio wananchi mmoja mmoja.
 
Wafanya maigizo wanafahamika hata nawatoto,sijui wewe mwenzangu.
Wanamaigizo niwale makanjanja baada ya kugaragazwa kwenye sunduku la kupigia kura, ilibidi watengeneze maigizo ya kuokota vikaratasi majalalani na kuviita kula feki, halafu wakatengeneza igizo la kutishiwa iliwasepe zao ugaibuni kwa kukwepa aibu ya kugaragazwa vibayaa
 
Hayo Mimi siyafahamu ndio nasikia kwao,yawezekana hata wewe unafanya maigizo hayo unayosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…