Pre GE2025 CHADEMA ni Wakati wa Kwenda na Lissu. Msisite, nina sababu…

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe pamoja na wana-Chadema wenzako mnajidanganya bure. Kupigania upatikanaji wa Katiba Mpya ndio Jambo la msingi zaidi kwa sasa hivi hapa Tanzania, ndipo mambo mengine yafuatie.
Hauwezi kununua mabehewa na injini za kuvuta mabehewa Kabla ya kutengeneza na kutandika mataluma ya reli kwanza halafu utegemee kwamba mradi wa usafiri wa treni utakamilika na kutoa matunda mazuri. Never happen.

Ili mtoto azaliwe ni lazima ujauzito utungwe kwanza! Mwanamke asitarajie kupata mtoto wake wa kumzaa bila ya yeye kubeba ujauzito kwanza.
It's a pipedream!

Hiki wanachofanya CHADEMA kwa sasa hivi ni sawa na kusema kwamba "wanataka mtoto lakini hawataki kubeba ujauzito."
Hii inawezekana vipi ?
 
Nimekwisha kuelewa ni wapi tunapo pishana mimi na wewe.
You're still stuck in the past, while am looking at the present and future.
WaTanzania hawawezi kuishi maisha yao ya zamani milele eti kwa vile CCM inataka iwe hivyo.

Naomba unielewe kwa hili moja tu basi: CHADEMA au kundi lingine lolote lenye nia njema na nchi hii wajitoe mhanga kuwa elimisha wananchi wa nchi hii juu ya mamlaka yao juu ya kila kitu ndani ya nchi hii.

Wewe hulioni hilo, ndiyo maana unaeleza uliyo eleza huko juu. Mimi hayo siyaamini. Ninacho amini ni uwezo wa waTanzania kubadili chochote wanacho taka kibadilike, mradi tu pawepo na kundi/chama kinachosimamia matakwa yao vizuri.
 
Hivi mnataka mtu wakugombea urais au mnataka mtu atakayeweza kutoa challenge kwa mgombea wa ccm? Kama ni mtu wa kutoa challenge kwa mgombea wa ccm upinzani kwa sasa hayupo labda atoke upande wa pili au aje mtu fresh ambaye hajawahi kugombea urais na mwenye uzalendo kweli kweli.
 
 

Attachments

  • Screenshot_2024-08-16-13-49-12-189_com.whatsapp.jpg
    279.4 KB · Views: 1
Too bad, you're quoting a leader who I have no iota of respect. Apart from being illiterate, he was more like dead through out his leadership period.
 
Nimeanza kupata shaka shaka juu ta uwezo wa kiuongozi wa Mh Lissu hasa kufiatia interview zake mbili.
 
Yametimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…