Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Halima Mdee.Naunga mkono hoja Lissu agombee, na mgombea mwenza atafutwe mwanamke msomi na mwenyekuweza kujenga hoja
Ukiacha uCovid19, she is one hell of a politician.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halima Mdee.Naunga mkono hoja Lissu agombee, na mgombea mwenza atafutwe mwanamke msomi na mwenyekuweza kujenga hoja
Hana leadership skills. Anafaa uanaharakati.Mkuu humuungi mkono Lisu kwa lipi?
Kwamba aombe kugombea afu asiombe kuungwa mkono?Wala Lisu hataki umuunge mkono.
Watatoboa2025 naona uchaguzi mwepesi kwa opposition. Yaani wakikaza ndio mwaka wao.
Eti leadership skills wakati amekuwa kiongozi kwenye taasisi kubwa za kitaifa na kimataifa.Hana leadership skills. Anafaa uanaharakati.
Sio na ww. Ww hiyo kura yako mpe Samia.Kwamba aombe kugombea afu asiombe kuungwa mkono?
Ni ushauri mzuri kabisa.Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke
Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee kwa sasa. Ni mzuri sana kwenye kuvuta attention ya watu kumsikiliza anapokuwa anaongea na hugusa maeneo ambayo hugusa hisia za walio wengi! Lakini Chama chao kitaona nani anwafaa!
Ulikuwa ushauri wangu tu 2025 Lissu anafaa na ataleta changamoto kubwa kwa CCM,
Britanicca
Kwa hiyo waache kujiandaa na uchaguzi ambao upo miezi mitatu ijayo (serikali za mitaa) na ule wa mwaka mmoja ujao badala yake watulie na kitu kimoja kuendelea kupigania katiba mpya tu kwa kuwa hawatatangazwa katika uchaguzi.?Nafikiri Bw. Tundu Lissu, CHADEMA, pamoja na wanachama wengine wa vyama vya Siasa hususani wapinzani kwa sasa hivi wajikite zaidi Kupigania upatikanaji wa Katiba Mpya itakayokuwa nzuri. Waachane na haya mambo ya kutaka kugombea vyeo, wafikirie suala la kubadilishwa kwa Katiba ya nchi kwanza ndipo masuala mengine yafuatie.
Tundu Lissu anataka kugombea Urais kwa kupitia kwenye Katiba ipi ambayo anafikiri kwamba atatangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi endapo kama atapata kura nyingi zaidi? Kwa sababu Katiba iliyopo hivi sasa hairuhusu jambo hili kufanyika. TAL Atakuwa anajisumbua nafsi yake bure na kupoteza wakati wake na rasilimali zake bure kabisa. Kwa Katiba hii iliyopo hapa Tanzania hata kama atapata Kura kwa Asilimia 99 ya Kura zote kabisa za Wagombea wa Kiti Cha Urais, KAMWE hataweza kutangazwa kuwa ni Mshindi wa Uchaguzi kwa kiti Cha Urais. Badala yake Mgombea wa CCM ndiye atakayetangazwa kuwa ni Mshindi.
Hiyo katiba inayo madaraka kuzidi madaraka ya wananchi?Tundu Lissu anataka kugombea Urais kwa kupitia kwenye Katiba ipi ambayo anafikiri kwamba atatangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi endapo kama atapata kura nyingi zaidi? Kwa sababu Katiba iliyopo hivi sasa hairuhusu jambo hili kufanyika.
Na hii ndiyo ingekuwa ni ajenda kuu ya CHADEMA kuanzia sasa hadi uchaguzi kuisha.Sheria za uchaguzi ndio kikwazo cha upinzani kuingia ikulu, jina la mgombea wa upinzani halijawahi kuwa tatizo.
Samia whichSio na ww. Ww hiyo kura yako mpe Samia.
Fatma KarumeNaunga mkono hoja Lissu agombee, na mgombea mwenza atafutwe mwanamke msomi na mwenyekuweza kujenga hoja
Jibu hojaHaters
Huyu si ACT? Harafu hawezi public speech yuko too professionalFatma Karume
Hata hili pia sio Tatizo. Shida inajulikana illipoNi hivi: Mimi nawasihi CHADEMA wawahimize waTanzania wengi sana kwenda kupiga kura kuchagua viongozi wao wanao wataka wao.
Wananchi hao hao wahimizwe kuhakikisha kuwa kura zilizo pigwa zina hesabika na mshindi kutangazwa bila ya hila!
Labda watakusikia...Nchi inamuhitaji yule kijana/mzee- Lissu aje atunyooshee mustakabali na njia ya maendelo yetu...Maliasili zetu zinakwisha na hatuoni mtanzania mmoja mmoja ananufaikaje na utitili wa maliasili zetu kama wenzetu wa kule Norway wanavyogawiwa na serikali yao matunda ya rasilimali zao...Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke
Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee kwa sasa. Ni mzuri sana kwenye kuvuta attention ya watu kumsikiliza anapokuwa anaongea na hugusa maeneo ambayo hugusa hisia za walio wengi! Lakini Chama chao kitaona nani anwafaa!
Ulikuwa ushauri wangu tu 2025 Lissu anafaa na ataleta changamoto kubwa kwa CCM,
Britanicca
Kwa Tanzania, jibu ni ndiyo, Katiba ya nchi hii ina madaraka makubwa zaidi kuzidi madaraka ya Wananchi.Hiyo katiba inayo madaraka kuzidi madaraka ya wananchi?
Wewe ndio hauelewi na wala haueleweki unazungumzia kitu gani. Inavyoonekana hata haujui nguvu iliyonayo Katiba ya nchi hii kuhusiana na suala hili la Chaguzi za Siasa.Hata sielewi unazungumzia kitu gani hapa!
You are completely Wrong and out of point.Na hii ndiyo ingekuwa ni ajenda kuu ya CHADEMA kuanzia sasa hadi uchaguzi kuisha.
Bila kujali hizo sheria za uchaguzi, CHADEMA wajikite katika HAKI za wananchi kupiga kura; na usalama wa kura hizo.
Kama hizo kura zinaharibiwa kwa sababu ya "sheria za uchaguzi", hizo si sheria bali ni maelekezo ya uhalifu, ambao ni HAKI ya wananchi kuukataa na kuuzuia.
Ni hivi: Mimi nawasihi CHADEMA wawahimize waTanzania wengi sana kwenda kupiga kura kuchagua viongozi wao wanao wataka wao.
Wananchi hao hao wahimizwe kuhakikisha kuwa kura zilizo pigwa zina hesabika na mshindi kutangazwa bila ya hila!
Ni wananchi wenye uelewa pekee wanao weza kuifanya kazi hii, na hizo "sheria za uchaguzi" hazina zuio lolote wakiazimia kulinda haki zao zisivurugwe.
Mimi naamini inawezekana sana; hasa katika huu uchaguzi unaofuata.