Ukiona hilo Jeshi la Polisi linatumia nguvu hivyo kumdhibiti huyo Tundu Lissu, ujue hao watawala wa CCM weshaona maji yako shingoni!
Hilo Jeshi la Polisi, kwa kujua au kutojua, wanampaisha mno huyo Tundu Lissu.
Ukombozi kamili tayari ushakaribia mno.
Tarehe 28/10/2020 twende tukamalize kazi.
Watanzania wana jambo lao kwenye sanduku la kura