Unakuwaje waziri bila kuwa mbunge?Hao polisi walikuwa kwenye msafara wa waziri mkuu sasa kama mtu wenu anataka kuvuruga basi lazima athibitiwe vilivyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakuwaje waziri bila kuwa mbunge?Hao polisi walikuwa kwenye msafara wa waziri mkuu sasa kama mtu wenu anataka kuvuruga basi lazima athibitiwe vilivyo!
Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbilie zake ubelgiji akatulie zake.
Lissu Rais 2020
Mwamba ni Noma nguvu yake usipime.Duhh! Anaandamwa sana huyu mwamba.
Asisafiri akae tu ndani?Fuateni sheria bila shuruti
Una uhakika ana mfuata waziri mkuu? Kwa hiyo Magufuli akiwepo Dar Lissu harusiwi kuwa Dar kisa ataleta vurugu embu tumia ubongo kufikiri na sio matope.Hao polisi walikuwa kwenye msafara wa waziri mkuu sasa kama mtu wenu anataka kuvuruga basi lazima athibitiwe vilivyo!
How do you separate the two? It's impossible absolutely.Anafanya shughuli za chama na siyo kampeni.
Inaelekea upumbavu kwenye ukoo wako ni utajiri wenuHuyu si kapewa adhabu asifanye kampeni. Hivi huyu mbona mzito sana kuelewa huyu? Anataka nn huyu? Ametumwa na nani huyu? Kwanini anafanya fujo lakini huyu?
Kazuiwa kutembea?Fuateni sheria bila shuruti