Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu akiwa Wazir Mkuu hakuna mwengine anaeruhudiwa kwenda mshachanfanyikiwa MadiktetaKibaha uko yupo waziri mkuu huyo mjinga anataka kuvuruga
Yap,jeshi la Polisi alitaki mchezo kabisa na wavuruga amani.Wamfunze adabu kidogo ili aheshimu mamlaka! Heko jeshi la polisi
Lisu atadhibitiwa kila anapokanyaga! Hatutaki vibaraka hapa nchiniJamani jamani Magufuli kaumiza watu. Haisemeki kiwango cha maumivu kilichopitiwa. Kaumiza watu jamani jamani jamani. Hivi ni kuwa watu hawaelewi au wamelipwa waje kumfanyia kampeni?
Hawezi kwa Tanzania wapiga kura atawapata lakini waunga mkono vurugu hapatiLissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Watanzania wa wapi unawasemea? Kwani watanzania unafiki ni wapumbavu kama wewe? Vituko gani kafanya? Lisu hajafanya mkutano wowote yeye ana Safari zake za kutembeleana mashina ya chama acheni ujingaKaona watanzania hata hawana muda naye baada ya kufungiwa akaona aanze vituko walau aonekane anataka watanzania wavunjwe miguu kama yeye .Hapati mtu
Kuzuiwa kampeni ni kuanzia kwenye mashina.Hatakiwi kufanya popoteWatanzania wa wapi unawasemea? Kwani watanzania unafiki ni wapumbavu kama wewe? Vituko gani kafanya? Lisu hajafanya mkutano wowote yeye ana Safari zake za kutembeleana mashina ya chama acheni ujinga
Ni ujinga tu unasumbua watu. Kulazimisha kupendwa na kutawala watu kwa nguvu za dola ni tatizo sana. Kama Taifa hatuwezi kufanikiwa kwa kutawala watu kwa kutumia nguvu.Hapa ndio Chadema waone kuwa ni makosa ya kiufundi kweli kweli kukubali Lissu kutii lile kosa la kutofanya kampeni siku 7. Ilitakiwa siku ile ile waonyeshe msimamo. Sasa same strategy inafanyika pia kwa wagombea wengine! Watajiteteaje wakati ya mgombea uRais tu walitii!
Hii nchi huyu Jiwe anaipeleka wapi? Mbona ameshupaza shingo hivi? Kwa nini haelewi kuwa huko anakotaka twende wananchi hatupataki? Anaona askari kusimama na mitutu ya bunduki mbele ya raia hivyo ni jambo la kawaida kabisa?
Eeeh Bojo,Kibaha uko yupo waziri mkuu huyo mjinga anataka kuvuruga
Uzalendo wa CCM ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani kuiba trilion 1.5 kumtoa CAG kafara kula 10% ununuzi wa Ndege kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge ndiyo Uzalendo wa CCM, Uzalendo wa CCM ni Uzalendo haramu wa kishetaniHuo ndio uzalendo wa kitanzania.
Kweli wewe Mpumbavu sana.
Yaani hata mimi namshangaa huyu Lissu anavyolazimisha kukubalikaNi ujinga tu unasumbua watu. Kulazimisha kupendwa na kutawala watu kwa nguvu za dola ni tatizo sana. Kama Taifa hatuwezi kufanikiwa kwa kutawala watu kwa kutumia nguvu.