Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wewe masikini endelea kupigania elfu 7 za mwisho mwisho, CCM inaondoka 0ctoba 2020 bila huruma yoyoteRais wa chumbani kwa Amsterdam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe masikini endelea kupigania elfu 7 za mwisho mwisho, CCM inaondoka 0ctoba 2020 bila huruma yoyoteRais wa chumbani kwa Amsterdam
Haki ya kuota ndoto mchana bado haijafutwa na serikali tukufu ya JPM. Endelea kufurahia haki hiyo.Mkuu ondoa shaka Lissu anaiondoa ccm 2020 , watajaribu kugoma lakini watang'oka
Lisu ni debe tupu,Haki ya kuota ndoto mchana bado haijafutwa na serikali tukufu ya JPM. Endelea kufurahia haki hiyo bwana mdogo.
Sasa yeye akikuwa anaenda kukagua soko kama nani?Lisu hafanyi kampeni ebu kuwa na Akili kidogo hata za kufulia bukta basi, Lisu yupo kwenye kazi zingine za chama Yaani hutaki atekeleze majukumu mengineyo ya chama?
Kwani ile adhabu mliyompa inasemaje? Hata kutoka nje haruhusiwi?Mwambieni ajifunze kutii sheria bila shuruti. Nothing less nothing more.
Kama Mtanzania wa kawaida kwani ana mipaka ya kumzuia kutembea kawaida tu?Sasa yeye akikuwa anaenda kukagua soko kama nani?
Kukagua soko...! Kipindi hiki alichozuiliwa na NEC. KWENYE SOKO kuna wanachama pekee wa Chadema!? Nina wasiwasi hizo " akili" unazoandika hapa kama kweli unazielewa!?Lisu hafanyi kampeni ebu kuwa na Akili kidogo hata za kufulia bukta basi, Lisu yupo kwenye kazi zingine za chama Yaani hutaki atekeleze majukumu mengineyo ya chama?
Si kila siku anasema hayo ni maendeleo ya vitu?Kama Mtanzania wa kawaida kwani ana mipaka ya kumzuia kutembea kawaida tu?
Kukagua soko?Kwani kuzuiwa kufanya Kampeni maana yake akae ndani tu??haruhusiwi kusafiri??
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nani kakwambia kuwa hapo anafanya kampeni?Huyu si kapewa adhabu asifanye kampeni. Hivi huyu mbona mzito sana kuelewa huyu? Anataka nn huyu? Ametumwa na nani huyu? Kwanini anafanya fujo lakini huyu?
Umaarufu wa Lissu ndio kwanza unapaa isivyo kawaida.Mwamba ni Noma nguvu yake usipime.
Mkuu, mumueleze Lissu kuwa zile teknikalitiizi anazotumia mahakamani kuwachanganya wanasheria wenzake na kukwapua haki ya walengwa haziwezi kutumika kila mahali!!! Ajifunze!!Kama Mtanzania wa kawaida kwani ana mipaka ya kumzuia kutembea kawaida tu?
Kutoka nje anaruhusiwa lakini hapaswi kufanya kampeni. Kitu gani hamuelewi nyie magwanda? You guys did you go to school? I am shocked at the way you misunderstand very basic things.Kwani ile adhabu mliyompa inasemaje? Hata kutoka nje haruhusiwi?
Huyo siyo mjuaji, huyo anajua. Angekua anajufanya mjuaji mbina angedhibitiwa kitambo na watu mngelala usingiziUtanyooka tu. Ujuaji mwingi utakunyoosha.
Kwani kafanya kampeni wapi? Lini?Kutoka nje anaruhusiwa lakini hapaswi kufanya kampeni. Kitu gani hamuelewi nyie magwanda? You guys did you go to school? I am shocked at the way you misunderstand very basic things.