CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Eti akikuwa anaenda kukagua soko!

Kukagua soko kama nani? Yeye si anasema hayo ni maendeleo ya vitu?

Huyu jamaa safari hii NEC wamtoe kabisa kwenye ugombea ili akawakilie hao mabwana zake vizuri
Crimea usishabikie u dhalimu "je Mheshimiwa Lissu alifungwa kifungo cha ndani au lah?sasa amewambia Atalala pale mpaka wamruhusu sasa nani atapata hasara. Nina uhakika Jeshi la polisi itabidi limlinde kwa gharama kubwa mana wangekua wamemucha aendelee...sioni kama kungekua na tatzo mana haendi kwenye kampeni!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Wabonyeze media za kimataifa zije hapo zimuhoji kwa lugha ya kimalikia na ICC the HAGUE wajue anavyonyanyaswa. Ila Lissu anawanyima usingizi polisi wote unawatoa kweny malindo waende kuzuia tu basi daah.
 
Huna akili wewe huyo n m/mwenyekiti anadhamana ya kofia yake kwenda na kumnadi mgombea yoyote, Majaliwa anatembea Nchi nzima Kama nani?? Pumbavu wewe
Tangu kini mwenyekiti wa chama ukaenda kukagua soko?

Umejenga kwa heka za chama chako?
 
Unajua nadhani mtu akishakula advance ya mabeberu atafanya kila njia kuwaridhisha maboss zake. Hicho ndiyo kinampata Lissu
Mabeberu NDO WANAOLIPA MISHAAHRA HADI YA LUMUMBA,HUONI MIRADI NI HISANI YA WATU WA MAREKAN
 
Huyo n m/mwenyekiti anadhamana ya kofia yake kwenda na kumnadi mgombea yoyote, Majaliwa anatembea Nchi nzima Kama nani??
Majaliwa kapewa adhabu na tume? Jaribu kuwa muelewa basi we kaka. Mbona mnatia aibu jukwaani jamani?
 
Huyu si kapewa adhabu asifanye kampeni. Hivi huyu mbona mzito sana kuelewa huyu? Anataka nn huyu? Ametumwa na nani huyu? Kwanini anafanya fujo lakini huyu?
Kwani amezuiwa akiwa anapanda kwenye jukwaa kuhutubia?
 
Jane Lowassa,

Anayefanya fujo ni Nani Kati ya aliyeshika bunduri na kuzuia raia wasipite na huyu mwingine yeye Hana shida anapita kwa barabara? Unajua lisu anakoelekea ? my be anaenda kusalimia friends kwa nini wamzuie?
 
Hiki ni kipindi cha kampeni, siyo shughuli nyingine za kisiasa. Muwe mnaelewa basi nyie wapinzani siyo kupingapinga tu.
Sheria ipi inasema kuwa wakati wa kampeni shughuli nyingine za kisiasa kama vile vikao vya ndani haviruhusiwi?
 
Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Hizi propoganda uchwara bado unazitumia 2020? Lissu ndo ameamrisha hao police watoke vituoni?
 
Crimea usishabikie u dhalimu "je Mheshimiwa Lissu alifungwa kifungo cha ndani au lah?sasa amewambia Atalala pale mpaka wamruhusu sasa nani atapata hasara. Nina uhakika Jeshi la polisi itabidi limlinde kwa gharama kubwa mana wangekua wamemucha aendelee...sioni kama kungekua na tatzo mana haendi kwenye kampeni!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yeye ni kibaraka wa mabeberu ndio maana unaona kuna nguvu kubwa ya wanachi kumpinga.
Hakuna mgombea urais toka chadema aliwahi kupingwa na wanachi waziwazi kama huyu!

Tulisema toka awali yule beberu wa Lisu ndugu Amsterdam ana mharibia mteja wake kwa kutoa matamko ya kutishia taasisi za selikali toka nchi huru kama hii,, kwa kitendo hicho Lisu hawezi kuungwa mkono na taasisi kama usalama au jeshi.

Sasa leo anaenda eti kukagua soko yeye kama nani?
 
Sasa ni dhahili bin shahil kwamba vita hii imefikia patam kati ya CDM ya Lissu na CCM yenye DOLA.

Kwa sisi wachambuzi wa siasa tunaelewa kwamba hakuna chama tawala ambacho hupokonywa DOLA kirahisi rahisi. Haya wala si mambo ya kushangaza saana kwa chama tawala chenye wasiwasi wa kupoteza DOLA.
 
Back
Top Bottom