CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Hapa ndio Chadema waone kuwa ni makosa ya kiufundi kweli kweli kukubali Lissu kutii lile kosa la kutofanya kampeni siku 7. Ilitakiwa siku ile ile waonyeshe msimamo. Sasa same strategy inafanyika pia kwa wagombea wengine! Watajiteteaje wakati ya mgombea uRais tu walitii!

Hii nchi huyu Jiwe anaipeleka wapi? Mbona ameshupaza shingo hivi? Kwa nini haelewi kuwa huko anakotaka twende wananchi hatupataki? Anaona askari kusimama na mitutu ya bunduki mbele ya raia hivyo ni jambo la kawaida kabisa?
 
Ameshapata media attention
Ameshapigwa picha

Sasa asubiri kipigo
Lissu kila anachofanya ni kampeni ndio maana magufuli mwoga sana. Na sasa kampeni tena imefufuka kwa kumtumia Lundo la wanajeshi. Hizo footage zinaendelea kuwa ushahidi kwa taifa na mataifa.

Nadhani kuna vikosi vinamhujum Jpm bila yeye kujua.
 
Jane Lowassa,

kwahiyo umambiw aKiluvya kuna kampeni?
Ukiambiw ananeda kula KITI MOTO kiluvya utasema nini?
akisema anend akwenye msiba Kiluvya utasema je?
Ukiambgiw anaenda kuonga Mgonjwa kiluvya utasemaje?
 
kiki tayari aite waandishi wa habari aseme aliyotaka kusema asisahau kufafanua whitepaper
JAMANI MUNIOMBEE
1601980358744.png
 
Dah! Kama Somalia vile wakati tunajinasibu kama nchi ya amani. Lissu, ukifanikiwa kuupata Urais napendekeza mtu wa kwanza kumng'oa awe IGP.
 
kwahiyo umambiw aKiluvya kuna kampeni?
Ukiambiw ananeda kula KITI MOTO kiluvya utasema nini?
akisema anend akwenye msiba Kiluvya utasema je?
Ukiambgiw anaenda kuonga Mgonjwa kiluvya utasemaje?
Ina maana alipotoka hamna kitimoto? Acheni sababu za uongo nyie magwanda. Huyo mgombea wenu lazima ajifunze kutii mamlaka; otherwise, tutamnyoosha hadi ashike adabu.
 
Back
Top Bottom